dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,956
- 8,344
Nyani Ngabu leo wakati napita daily mail nimeona statement ya bwana mmoja anaitwa Tony Bobulinsk kuhusu ukweli wa email za hunter zilizotolewa na new york times!
anakiri kwamba yaliyoandikwa yote ni kweli, na kwamba the bidens walimzunguka wakala mpunga wa wachina!
swali langu, hii inaweza kuwa na implication kwenye kampeni ya biden? na vipi akichaguliwa huku ana skendo kama hizi? itakuaje?