zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,239
- 39,816
- Thread starter
-
- #141
Mkuu mie nimemuelewa nyabhingi alikuwa anaongea sarcastically kuhusu Quran ila haimaanishi anasupport maneno hayo aliyoquoteMbona unaniacha kwenye mataa tena mkuu? wewe ndio umekuja kusema Qur'an inasema jua linazama kwenye matope,yani jua likizama kumbe huwa linazama kwenye matope hivyo ndio Qur'an inavyofundisha. Sasa nimetaka ufafanuzi juu ya hilo matokeo yake unasema hayakuhusu wakati wewe ndio umeleta suala hili.
Usibanie elimu mkuuu,nijuze hayo matope ya wapi na hayakauki?
Vya kipagani ni kama Book of jasher na book of Enock ambavyo vinakinzana na Biblia zaidi ya 70% ila bado vimekuwa Quoted na Biblia ndio maana najiuliza kivp Biblia itumie vitabu ambavyo viko termed kama vya kipagani kwa kupachikwa jina la Pseudepigraphi?? Na kama wao waliquote je na sisi tukiviquote tutakuwa tunakosea??vitabu vipi vya kipagani?tambua vipo vitabu vingi na magombo mbalimbali ya manabii wa kale vimepotea,ving havikujumuishwa kwenye bibilia,kumbuka bibili ni mkusnyiko wa vitabu mbalimbali vilivvyoandikwa na watu tofauttoafauti kwa vpindi tofauti vya karne.
Kitu kimoja ambacho najaribu kuwafunda watu wa kidini kila siku na kuwaasa
Ni kwamba mjifunze kumpenda shetani mliye simuliwa toka Enzi za utoto wenu kuwa ni adui yenu
Mkiweza hilo mtabadilika
Na ndiyo Tuzo ya kuwa Anunaki aliyekamilika [emoji3][emoji16][emoji16]
Sasa watunge maneno yote yale na kujaza kitabu kisa tu wadai ni maneno ya Mungu? Wewe hilo linakuangia akilini?vitabu vilitungwa na watu waksema eti ni maneno ya mungu
Ok Yuda kafanya reference ya kitabu cha Henoko ambacho nimeshakiweka humu JF kinapingana kabisa na baadhi ya mafundisho ya Biblia mfano wakati Biblia inasema dhambi ndio zilisababisha gharika yeye Henoko anasema malaika walivyozini na wanadamu ndio ikasababisha gharika maana Mungu alikwazika pia Biblia inasema Nuhu ndio alijenga safina ila Henoko anasema malaika ndio waliojenga hiyo meli..... lakini licha ya ukinzano huu kuna mistari zaidi ya 12 agano jipya ambayo ni direct copy kutoka book of Enoch ndio sasa nauliza je kitabu cha Henoko sio cha kipagani?? Na kama sio cha kipagani nani mkweli kati ya Henoko au Biblia??? Nisaidie hapaMkuu, kwenye hizo reference ulizotoa, wapi umeona "VITABU VYA KIPAGANI!?" Katika kitabu cha Yohana (Injili) kuna sehemu imeandikwa hivi, "..yapo na mambo mengine ambayo YEsu aliyafanya na hayakuandikwa katika kitabu hiki, laity kama kila kitu kingeandikwa then vitabu visingetosha..." NAtaka kuonesha, yes yapo mambo mengi tu ya manabii, wafalme, makuhani nk ambayo yalifanywa, kutenda au hata kufundisha lakini hayana reference ndani ya Biblia, swali langu, hapo vitabu vya kipagani we umetoa wapi!?
Kwa mfano leo mtu akiwa anafundisha kanisani, aka fanya reference kwenye nyimbo za tenzi za rohoni, injli, mwimbieni Bwana, nyimbo za wokovu nk. Hizo reference sio za Kibiblia but again huwezi kusema hivyo vitabu ni vya kipagani! Hebu njoo tena na uthibitisho wako kwamba Biblia imeruhusu kufanya reference kwenye vitabu vya kipagani, otherwise mi umeniacha njiapanda, sijaelewa!
Niwaulize nani tena wakati wewe ndio umetuambia kuwa Qur'an inasema jua linazama kwenye matope,maana sijawahi kusikia waislamu wakifundishana kuwa jua linazama kwenye matope.ok,nafikiri ungewauliza waislam au allah kuhusu hilo sababu kisayansi jua kuzama kwenye bwawa la maji ya mmatope ni upuuzi usiomithilika
Hivyo vitabu nilivyoweka hapo hata kimoja umesoma?? Je ukikuta kinakinzana na Biblia uko tayari kuwajibika??Hebu jiridhishe uhusiano wa hao watu na Mungu ndio utajua maandishi yao yanaweza kua na SIFA ya KIPAGANI! Hao ni miongoni mwa manabii wa Mungu, mfano huyo Nathan ndiye aliyekwenda kumuonya mfalme Daudi baada ya kuanguka dhambini kwa kuzini na mke wa mmoja ya askari wake. Au labda neon UPAGANI ndio labda hatuelewani maana yake.
Mimi hiyo hakuwa hoja yangu na wala sijajikita huko bali nilichokerwa ni mtoa mada kumkataza mtu asitoe reference nje ya Biblia kuhusu tuhuma zake kwa Daudi hivyo nimeleta uzi huu maalum kabisa tujadili kwamba kivp waandishi wa Biblia wamequote vitabu nje ya Biblia tena wakaenda mbali zaidi kusema STORI YOTE MWANZO MWISHO YA DAUDI ipo kwenye vitabu A B C..... Ilihali leo hii mtu akitaka kujengea hoja kupitia vitabu hivyo mnapingaLabda angefanya hivi, aeleze kwenye hivyo vitabu vinavyo elezwa hapo sehemu inayosomeka kwamba Daudi aliwahi kuishi kindoa na mtu wa jinsia yake (ya kiume)
Mkuu Quran na Talmud na Biblia vyote vinadai ni maneno ya Mungu lakini ukisoma unakuta vinapingana sasa cha kujiuliza je Mungu anaweza kujipinga mwenyewe?? Na kama hawezi kujipinga sasa kivipi viwepo vitabu 3 vya dini kuu za Abrahamic alafu vijipinge??Sasa watunge maneno yote yale na kujaza kitabu kisa tu wadai ni maneno ya Mungu? Wewe hilo linakuangia akilini?
labda nikwambie kwamba hawakupata tabu sana,wali-plagiarize maandiko yaliyokuwepo kabla mfano maandiko ya wamisri kwenye kitabu kinachoitwa the papayrus of aniSasa watunge maneno yote yale na kujaza kitabu kisa tu wadai ni maneno ya Mungu? Wewe hilo linakuangia akilini?
quran 18:86Niwaulize nani tena wakati wewe ndio umetuambia kuwa Qur'an inasema jua linazama kwenye matope,maana sijawahi kusikia waislamu wakifundishana kuwa jua linazama kwenye matope.
Wewe unajua kabisa kuwa kulikuwa na mitume na walikuwa na vitabu,sasa hoja ingekuwa kipi kimepotoshwa na yapi yameongezwa katika hayo mafundisho yaliyo kwenye hivyo vitabu?Mkuu Quran na Talmud na Biblia vyote vinadai ni maneno ya Mungu lakini ukisoma unakuta vinapingana sasa cha kujiuliza je Mungu anaweza kujipinga mwenyewe?? Na kama hawezi kujipinga sasa kivipi viwepo vitabu 3 vya dini kuu za Abrahamic alafu vijipinge??
Huoni hapo mmoja ndio yuko sahihi wengine wamefoji maandiko kama anavyosema mkuu nyabhingi ?? Sasa swali linabaki je ni nani huyo ambaye ndio amefoji maneno ya Mungu??
nini maana ya mtume?Wewe unajua kabisa kuwa kulikuwa na mitume na walikuwa na vitabu,sasa hoja ingekuwa kipi kimepotoshwa na yapi yameongezwa katika hayo mafundisho yaliyo kwenye hivyo vitabu?
Ndio nini sasa?quran 18:86
unajitoa ufahamu sio!!!!!!!Ndio nini sasa?
Nimekuuliza hayo matope yapo wapi na hayajakauka? huna majibu unaniambia niwaulize waislamu,nimekwambia sijawahi kusikia waislamu wakifundishana kuwa jua huzama kwenye matope.unajitoa ufahamu sio!!!!!!!
Until, when he reached the setting of the sun, he found it setting in a spring of dark mud, and he found near it a people. Allah said,
nimerekebisha,wanasema linazama kwenye bwawa la majiNimekuuliza hayo matope yapo wapi na hayajakauka? huna majibu unaniambia niwaulize waislamu,nimekwambia sijawahi kusikia waislamu wakifundishana kuwa jua huzama kwenye matope.
Upo sawa kabisa but ungerekebisha hilo neon,UPAGANI cause reference uliofanyia kwenye vitabu vyako nje ya Biblia bado waandishi wake ni watu wa Mungu, Manabii so vitabu vyao haviwezi kua vya KIPAGANI, hiyo ni kwa mtazamo wangu, sina hakika na hao wengineMimi hiyo hakuwa hoja yangu na wala sijajikita huko bali nilichokerwa ni mtoa mada kumkataza mtu asitoe reference nje ya Biblia kuhusu tuhuma zake kwa Daudi hivyo nimeleta uzi huu maalum kabisa tujadili kwamba kivp waandishi wa Biblia wamequote vitabu nje ya Biblia tena wakaenda mbali zaidi kusema STORI YOTE MWANZO MWISHO YA DAUDI ipo kwenye vitabu A B C..... Ilihali leo hii mtu akitaka kujengea hoja kupitia vitabu hivyo mnapinga
Huu ndio mzizi wa mjadala hayo ya tuhuma nafikiri alishatoa maelezo vizuri sana tukamuelewa mkuu Elungata kwenye uzi nilioquote.
Ni hayo tu