Biblia na reference ya vitabu vya kipagani

Nabii gadi kitabu chake kinakuwaje apocrypha ,correct me if I'm wrong lakini nijuavyo apocrypha age ilikuwa bado sana maana ipo mbele huku nyakati za makabayo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza ujue agano la kale hakuna kitabu cha Biblia hata kimoja kilichowahi kupotea.Sababu wayahudi walitunza hadi Leo.Biblia ya wayahudi Hebrew bible INA vitabu 39 kama vilivyo kwenye biblia ya King James Version agano la kale

Hivyo vilivyoongezwa ohhh sijui vilipotea sijui nini uhuni tu huo.Torah au Jewish Bible haijawahi potea hata ukurasa mmoja
Vitabu vya agano la kale kanisa lili copy biblia ya wayahudi na Ku paste tu bila kuongeza au kupunguza kitu.Hayo matabu mengine sijui makabayo,henoko nk ni matabu yaliyookotwa majalalani na kuandikwa na wahuni
 
Yaani kitabu cha reference kiandikwe na mtu mwenye kupakwa mafuta ya kipekee kama Nabii Samuel,,au nabii Gadi au nabii Elisha watu wenye roho ya tofauti ndani yao na wewe uite vitabu vyao kuwa vya kipagani??? Mtu wa kawaida kama wewe mwandishi Unaweza kuhoji credibility ya kitabu kilichoandikwa na Nabii mwenye permanent connection na mbingu?? Uwezo wako ungehoji credibility ya vitabu vya Charles Darwin,,au da Vinci.
Wayahudi wenye hao manabii hawaviamtbui hivyo vitabu wala hawana Wala hawatambui waandishi wake Wala hawana kwenye maktaba zao .Na hawajawahi vitumia hekaluni!!!!

Wewe mndengereko umeviokota wapi wakati wenye manabii wao hawana hivyo vitabu?

Hivyo vitabu vya Gadi au Elisha ni waandishi wa kindengeteko au?

Wenye manabii hawavijui na hawavitambui
 
Mleta mada vitabu vilivyokataliwa kwanza vingine vilijaa uongo Wa wazi kabisa ambao mfano hauendani na mafundisho ya Yesu

Mfano kitabu cha Henoko kinatamka wazi kuwa gharika ilikuja sababu malaika walioa na kuzaa na wanadamu .Wakati Yesu alitamka wazi kuwa malaika Hawaoi wala kuolewa na hawazai

Kuhusu agano la kale kanisa halikupata shida kubwa kusema vitabu vipi likubali na vipi likatae sababu waisrael wana Biblia yao tayari.Na ndio agano la kale linawahusu na walitunza kumbukumbu zake vizuri sana .Kuanzia vitabu vya Musa kiongozi wao.
.Wana Biblia yao inaitwa Biblia ya waebrania au Hebrews Bible .Kwa hiyo kanisa lilichukua yote kama ilivyo na kuiweka kama agano la kale.Bila kuongeza wala kupunguza maneno

kwa Agano vilichukuliwa vitabu vile tu vilivyoandikwa na mitume Wa Yesu sio wengineo.Hivyo vingine vikatupwa nje

Kwa hiyo Agano la kale wanalo wayahudi na wanavitumia hadi Leo ndio walikabidhi kanisa.Vitabu ambavyo wayahudi hawavitumii na hawavitambui kanisa pia halivitambui

Kwa hiyo habari zako za vitabu vyote vya agano la kale vilivyokataliwa na wayahudi kanisa halivitambui.Kiwe kitabu cha Henoko sikui japher sijui Jehu na matapeli wengine

agano jipya pia nje ya walichoandika mitume Wa Yesu hakikubaliki.
Mkuu sikufahamu nje ya jukwaa la siasa una reasoning kubwa hivi!!
Anyway hoja yako ina mashiko sana lakini swali langu ni kwanini kuwepo na double standards?

Joshua 10:13
13 Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia,Hata hilo taifa lilipokuwa limekwisha jipatiliza juu ya adui zao. Hayo, je! Hayakuandikwa ndani ya kitabu cha Yashari?

Hapo tunaona Yoshua akiwapa reference waisrael kupitia kitabu cha Jasher. Kama hoja yako inasema ni cha kitapeli na uongo je ni kwanini Yoshua alikitumia??

Kumbuko hiyo ndio source ya story ya Jua kusimama, sasa kama unapinga hiki kitabu then unapinga authenticity ya kitabu cha Yoshua.

Na kama Alichofanya Yoshua ni sawa je ni kwanini na sisi tukimuiga kwa kufanya reference kwenye vitabu hivi vya pseudepigrapha kama hiki Jasher mnatupinga humu??

Naomba utusaidie huu mkanganyiko

Cc: Tlg
 
1. Mkuu unaweza kutuambia hiyo Hebrew Bible
(a) Ina vitabu vingapi?
(b) vitaje.
2. Umesema kanisa lilipokea biblia ya kale kutoka kwa Hebrews na wakaitunza Kama walivyopewa bila kubadilisha chochote. Iweje leo zinatofautiana idadi ya vitabu?

3. Umesema hivi vitabu nje ya Bible Ni vya kitapeli mfano jasher, gadi,etc. Mbona biblia imevifanya reference?

Sent using LEAGOO M12
Aiseee mkuu nakutunuku PhD ya heshima. Haya maswali yako ni objective sana.
 
Mleta mada anasema Joshua 10:13
13 Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia,Hata hilo taifa lilipokuwa limekwisha jipatiliza juu ya adui zao. Hayo, je! Hayakuandikwa ndani ya kitabu cha Yashari?

Hapo tunaona Yoshua akiwapa reference waisrael kupitia kitabu cha Jasher. Kama hoja yako inasema ni cha kitapeli na uongo je ni kwanini Yoshua alikitumia??

Jibu ni hili

Kuna Mambo mawili Kwanza hicho kitabu dini ya kiyahudi hawana lakini kwa Nini Joshua Ali quote?

Kuna diary ya mtu binafsi as individual kwenye biblia inaita kitabu lakini in reality ni diary au kitabu Cha matukio Cha individual ni Kama file la Mambo binafsi ya mtu .Kwa hiyo Yoshua Ali quote kitu kilichokuwa kwenye diary ya jasher .Na hivyo vilikuwa mali ya mtu.Sio public book.Ndio maana wayahudi hawajawahi tumia hicho kitabu Cha jasher,henoko,Gadi nk kwenye masunagogi yao Wala kwenye maktaba zao .Havipo.

Wafalme pia walikuwa na diary zao za kuandika matukio makubwa ya watu mbali.mbali ukisoma Biblia kitabu Cha Esta mfalme aliitisha kitabu Cha mordekai kilichokuwa na Mambo ya mordekai akasoma akauliza huyu mtu kwa mema yake alipewa zawadi gani? Nk Hicho kitabu Cha mordekai na Mambo yake sio kitabu ni diary.
Hizo diary hazipo Tena wayahudi hawakuzihifadhi Wala kuzitumia katika maisha yao iwe kidini au nje ya dini.

Sababu havijawahi tumiwa kidini popote kwa wayahudi na sehemu ya yoyote ya dini hiyo Kwao Hadi Leo na hakuna myahudi ana vi quote hivyo vitabu.Kanisa likarithi kwa wayahudi Biblia yao yenye agano la kale lisilokuwa na hivyo vitabu sababu Musa mwenyewe hajawahi vitumia na hakuna myahudi wa enzi hizo Hadi Leo anavitumia sababu mojawapo ni kuwa hizo zilikuwa diary za watu binafsi Hivyo wayahudi hawakuzihifadhi sehemu ya Biblia

Hivyo vitabu ndio maana Hadi waandishi wake ni Siri walijificha hata majina

Yoshua hicho alichokitaja alikiona ni diary ya mtu lakini matapeli wakaandika vitabu vyenye majina hayo ili wauze wapate pesa na vingi limeandikwa miaka ya karibuni tu wakisingiza vitabu vilivyopotea ili wapige pesa
 
Mkuu nimeshakuelewa toka mwanzo kuwa Hizo Jasher cjui Enock ni ''DIARY'' tu hivyo hazifai.

Sasa mimi nachohoji ni kwanini Joshua aliquote hizo "DIARY" ilihali alijua sio kitabu Credible for public consumption?

Pia niliuliza original "DIARY" ya jasher iko wapi ili tulinganishe na ulichoita ni forgery zake.

Nasema hivi sababu kwenye theology lectures nilizohudhuria hivi vitabu vimetambulika kama pseudepigrapha yaani vitabu vya kiyahudi ila havikuwepo kwenye main canon sababu vina walakini fulani mfano kukinzana na main stream bible,Waandishi kutojulikana n.k

Sasa swali langu kama ni pseudepigrapha kwanini Bible ilivitumia kufanyia reference vitabu hivi visivyo na uhalali?

Kingine Book of Enoch kinatumika Na Tawahedo orthodox church ambalo limekuwa na biblia yake tokea enzi za Mfalme suleiman yaani OT nzima ya hebrew bible jumlisha na zile maccabees, bool of Enoch 1-4 n.k na ndio kanisa la kwanza Africa je unazungumziaje ili??

Pia la mwisho unapodai utata wa forgery za vitabu kma ndio sababu mbona mfano kitabu cha Mwanzo hakikuandikwa na Musa ila kimeandikwa miaka zaidi ya 600 baada ya yeye kufa ila kinatambulika kuwa credible ila Hizo Yasher ndio zikiandikwa baadae sana hazina credibility??

Tuondolee hii double standard imayojitokeza mkuu kwa faida ya wasomaji wote

Karibu
 
Mleta maada shindwa na ulegee.
Mkuu hapa ni hoja tu kama huna unalofahamu kuhusu Bible we subiri tu kupiga vigeregere jumapili na kurukishwa mafuta ila hata huelewi chimbuko la imani yako.

Nina uhakika hata pasaka utasherekea hata hujui imeanza wapi na lini na kwa malengo gani!!

Kwa aina hii ya washirika ndio maana manabii feki wanazidi kujazana tu
 
Bible haikufanya reffrence no Yoshua Kama yeye ndie alifanya reffrencee.Hakunq ubaya kufanya refference private for private consumption

Vitabu vyote vya Biblia agano la kale hakuna Cha kuwa kanisa lilikaa kuvikubali au kuvikataa kwa kuwa tayari vilikuwepo 39 vikiwa vimetunzwa vizuri tu na wayahudi wakivitumia kwa mafundisho Karne na Karne kabla hata Yesu kuzaliwa na Ukristo kuwepo duniani

Achana na wanatheolojia na porpjo zao na Mambo yao ya kuokoteza.Agano la kale wanaololijua ni wayahudi .Kwingine kote kulijaa upagani mtupu.
Hivyo vitabu wajua dini yao na wenye manabii wao walikataa kuviweka

Na Kama mtu ku kote misemo labda ya kitabu Cha Nyerere kwenye mahubiri huwezii sema kakosea au ukasema sasa kihalalishwe misemo ya Nyerere iwe sehemu ya Biblia na vitabu vyake mtakatifu Nyerere viwekwe kwenye Biblia.

Yaweza kuwa msemo huo tu mmoja ulio quotiwa ndio wa maana na wa kweli.
Ukinukuu mfano padre au papa akinukuu habari iliyoko gazeti la Nipashe kwa hiyo gazeti la Nipashe liwe sehemu ya mafundisho ya kanisa katoliki?

Joshua ka quote kipande kidogo tu Cha diary au kitabu Cha jasher ,au henoko,au Gadi sio leseni la Hilo tabu kuwa sehemu ya mafundisho iwe ya kiyahudi au kikristo.

Kurani kwa mfano ina quotation za Biblia lakini waislamu hawajawahi ifanya Biblia kuwa kitabu Chao Cha dini.

Kuhusu forgery ushahidi uko.kibao mfano kitabu Cha henoko kimejaa uongo mwingi mfano kinasema Malaika ndio.mungu aliwaambia wajenge safina!!!! Na ndio walijenga!!!!!! Eti

Joshua Ali quote kisehemu kidogo mno sio.leseni ya Hilo diary kuwa sehemu ya Biblia
 
Pasaka , Christmas ,Jumapili zote zilikuwa siku za wapagani wakristo tukawapora tufanyie mambo yetu ya kikristo .Inakuuma? vipi wewe ni mpigania haki za wapagani ? Unataka tuwarudishie siku zao?
 
Kanisa la kwanza halijanzia Roma Italia wala Ethiopia lilianzia uyahudi alikozaliwa Yesu na mitume wake .Kanisa lilianza baada ya Yesu kuzaliwa sio kipindi cha mfalme suleimani!!!!

Agano la kale Dini ya kiyahudi tu ndio wanavyo vitabu vya agano la kale ambavyo ni 39 viko kwenye Biblia yao .Miaka na miaka hivyo vitabu makabayo sijui henoko ni utapeli Wa kiafrika Wa hillo kanisa.Kwenye biblia ya dini ya wayahudi havimo
 
Biblia haikufanya reference ila joshua?? Kwani Biblia so compilation tu ya maandiko ya watu ama?? Hivyo anachoandika Joshua au Nabii fulani sisi tunahesabu ndio msimamo wa Biblia na sio maoni binafsi unless specified.

2. Hapa ndio utata unapoanzia kusema 39 books zilikuwepo tu, ipi unayosema maana nachojua biblia ya kiebrania iliyotafsiriwa huko Alexandria ilikua na vitabu mpaka vya apocrypha ingawa vilitengwa kimaudhui yaani vikawekwa katikati ya OT na NT. Pia ukumbuke wayahudi wa Samaria nao Canon yao inatambua pekee vitabu vya Pentateuch nao ni waisrael, hao wayahudi unaowataja hivi unajua nao wamefocus kwa torati za musa tu hivyo vitabu vingine walivipuuzia sasa ni wayahudi gani hao ambao walitunza 39 books?? Je hao wa samarita, council of Jamnia, Alexandria ama wapi?? Tuwe specific apa maana hata wao wana factions tofauti sio kitu kimoja kama unavyodai hapa.

3. Padri Jerome alipotafsiri Biblia ya kiebrania kwenda kilatin alitafsiri pia apocrypha hizo ila alizitenga kma ambavyo wayahudi wa Alexandria (Walikua uhamishoni) walivyovitenga kwahiyo sio kweli kuwa vilikua fixed canon ya 39 books unless uje na earlier version ya nadharia yako.

4. Nipashe ni purely secular ila Book of Enoch ni purely spiritual so huwezi linganisha katika credibility zao kwenye mafundisho ya kanisani na ndio maana Kuna makanisa yanatumia book of Enoch hasa ya eastern orthodox church ikiwemo la Tawahedo ambalo limedumu kwa miaka mamia.

5. Kuquote kitabu cha kiimani ili kujengea hoja yako ina maana kesho mtu akijengea hoja pia kutumia hiko kitabu usimkosoe sasa. Yaani Ushahidi wa jua kusimama Joshua katoa kwa book of jasher then mimi nikisema Melchizedek hakufa ila alitoweka then ushahidi natoa kwa book of jasher eti nipingwe?? Sasa kwanini waquote kitabu cha kiimani ilihali wanajua sio credible source? What if na hiyo habari ilipotoshwa?

6. Unasema Henoko ina forgery kisa hio issue ya Malaika je basis ya kusema hivo ni nini?? Yaani kwanini yeye awe amedanganya ila mwandishi wa kitabu cha Mwanzo 6 ndio awe sahihi??. Kama issue ni forgery basi tueleze kivipi gospel moja ionyeshe mwaka wa kuzaliwa yesu ni 6 AD nyingine iseme ni 4 BC, ama kivp moja iseme wale wafungwa wote walimtukana Yesu ingine iseme mmoja wao alimuomba rehema, contradiction zipo kibao mkuu sasa kma hyo ndio hoja kwanini hizo gospel moja wapo haijafutwa ili isikinzane na nyingine?? Kumbuka mpaka leo napoongea waandishi wa hizo gospel 4 hawajulikani ila bado vinatumika, je kwanini double standard?
 
Kanisa la kwanza halijanzia Roma Italia wala Ethiopia lilianzia uyahudi alikozaliwa Yesu na mitume wake .Kanisa lilianza baada ya Yesu kuzaliwa sio kipindi cha mfalme suleimani!!!!

Agano la kale Dini ya kiyahudi tu ndio wanavyo vitabu vya agano la kale ambavyo ni 39 viko kwenye Biblia yao .Miaka na miaka hivyo vitabu makabayo sijui henoko ni utapeli Wa kiafrika Wa hillo kanisa.Kwenye biblia ya dini ya wayahudi havimo
Naposema kanisa ni ile imani kwa Mungu YAHWEH hivyo wote walioamini hicho kitabu chake na uwepo wake ndio Kanisa kwa definition alichofanya Yesu ni reformation tu sio kwamba alikuta hawatumii Biblia au kumuomba Mungu.

Kumbuka Nabii Obadiah sio myahudi wala Ayubu hakuwa myahudi kabisa ila vitabu vyao vimewekwa kwenye Canon ya wayahudi kwahiyo sio kweli eti wayahudi ndio wanajua zaidi kuhusu OT kuliko watu wa mataifa mengine ilihali hata biblia yao wameandika wakiwa Babylon huko.

Alafu narudia tena unaposema wayahudi ni wayahudi wa wapi unaongelea?? Kumbuka Biblia imekua compiled kipindi wayahudi wapo uhamishoni enzi za kina moderchai sasa ni muhimu uelewe walitawanyika mahali tofauti. So wale wa Misri walikua na canon yao ita Alexandria scripts wale waliorudi pia canon yao, Wale wa Samaria pia wana canon yao ya vitabu 4/5 pekee vya OT. So usigeneralise kana kwamba walikua na single source ama walikua unified hao jews.

Mfalme suleiman kipindi chake ndipo interaction na Kush ilipoanza hivyo walipewa mtiririko wa imani za kiyahudi na maandiko kadhaa orally. Hivyo kama wamepotoka ina maana basi wayahudi walishakua wamepotoka sababu kivipi wawape book of Enoch ilihali ni upotoshaji??

Hizo maccabees sio utapeli ila ni accurate sana havijawekwa kwa hebrew canon sababu wanadai vilitokea kipindi cha silent period hivyo havikua na uvuvio wa Mungu!!

Na kwa maneno ya Martin luther mwenyewe alisema hizo macabees na apocrypha zingine sio credible kiroho ila ni nzuri kwa mafundisho!!
 
Pasaka , Christmas ,Jumapili zote zilikuwa siku za wapagani wakristo tukawapora tufanyie mambo yetu ya kikristo .Inakuuma? vipi wewe ni mpigania haki za wapagani ? Unataka tuwarudishie siku zao?
Umeenda mbali mkuu nilichohoji ni kwamba huyo mkristo mfuata upepo haelewi imani yake hata ukimuuliza kwanini tunasherekea pasaka haelewi kitu, yaani kwanini kifo cha Yesu msalabani ni ukombozi wa wakristo hawezi jibu kabisa!!

Anasubiri kupotoshwa na manabii feki kuwa ikifika Ijumaa kuu ''panda mbegu'' ya pesa ili Yesu akifufuka hyo pasaka afufuke na ubilionea wako!!!

Na huyu jamaa atapiga AMEN kubwa!!
 
Alafu narudia tena unaposema wayahudi ni wayahudi wa wapi unaongelea?? Kumbuka Biblia imekua compiled kipindi wayahudi wapo uhamishoni enzi za kina moderchai sasa ni muhimu uelewe walitawanyika mahali tofauti. So wale wa Misri walikua na canon yao ita Alexandria scripts wale waliorudi pia canon yao, Wale wa Samaria pia wana canon yao ya vitabu 4/5 pekee vya OT. So usigeneralise kana kwamba walikua na single source ama walikua unified hao jews.

Mfalme suleiman kipindi chake ndipo interaction na Kush ilipoanza hivyo walipewa mtiririko wa imani za kiyahudi na maandiko kadhaa orally. Hivyo kama wamepotoka ina maana basi wayahudi walishakua wamepotoka sababu kivipi wawape book of Enoch ilihali ni upotoshaji??
Wayahudi ninaoongelea ni wale original na conservative siongelei wayahudi Koko ma half cast wa kisamaria au watoto wa Malaya wa Kush yaani wayahudi wa Ethiopia hao wayahudi ngozi nyeusi kizazi Cha Malaya malkia wa sheba hawara wa mfalme Suleiman na genge lake lililofanya umalaya na wanawake wa kiafrika .Na kuzalisha hao wana haramu wayahudi weusi walioanzisha kanisa lenye vitabu Hadi haramu vya henoko na makabayo.Kizazi Cha uzinzi hicho hakijui dini.

Nazunguzia dini ya kiyahudi ya wayahudi conservative ambao wameshikilia dini ya kiyahudi bila ku dilute hao ndio wenye vitabu 39 vya agano la kale
 
Haaahaaa hili povu imebidi nicheke kwa nguvu 🤣 🤣
Anyway back to mada, wayahudi original ndio wapi hao maana nachojua wote at some point walienda utumwani na wakiwa huko ndio biblia ilikua compiled na kuandikwa ili wasisahau imani yao!!

Sasa nisaidie unaposema original ni kina nani hasa? Bear in mind makabila zaidi ya 10 yameshapotea utumwani
 
Vipo vingi lakini moja ya kigezo ilikuwa credibility hasa kutoka kwa wayahudi.Yani kiliaminiwa na wayahudi na walikitumia ,?? For old testament.
N

NaZani wewe ni MTU uliyejibu hoja wengine hawakutaka Hata kuvisikia hivyo vitabu vya reference

Nikuulize aliecombine bible alitumia vigezo gani kuweka vitabu na kutoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko Hapo unapodai mabinti walidhani ulimwengu mzima umeteketea,lutu aliishi sodoma lakini nduguye Abraham aliishi SI mbali na hapo,
Sawa na tuchukue umbali toka kariakoo Hadi pugu ama ubungo,Hapa nakisia,lakini hata kwa Leo ukipima um

Sijui ulitaka bible iandike waziwazi,kitendo Cha bible kudai mwana wa Saul alimpenda Daud Ni redflag,
Kitendo Cha sauli kumgombeza mwanae kuwa ameitia aibu family kwa urafiki wake na Daud pia Ni gunsmoke
Nitakujibu.
1. Soma mwanzo 19:31
"Yule mkubwa (bintiye lutu) akamwambia mdogo,baba yetu ni mzee,wala hakuna MTU mume katika nchi nchi kama ilivyo desturi ya dunia yote." Mwisho wa kunukuu

Soma biblia tena hio passage usibishe kutoka kichwani

2.kwa kesi ya Daud mnaforce biblia imemaanisha ushoga hakuna ushaidi zaidi ya hisia zako tuu hapo.

Biblia inaandika tu maovu kama yalifanywa mbona Daud alizini na mke wa MTU imeandikwa kweupeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom