Biblia na reference ya vitabu vya kipagani

Biblia na reference ya vitabu vya kipagani

Mkuu hoja yako ni contradictory kabisa.

Nachosema ni kwanini mfano Joshua achukue simulizi za Book of Jasher kuwaeleza issue ya jua kusimama alafu mimi nikichukua simulizi za kitabu hiko hiko nionekane sipo credible?

Kama ina mashaka kwanini Joshua alitumia

Unaweza ukatuweka sawa hapo
Hamna contradiction hapo mkuu Zitto jr wewe na Joshua mmeishi katika kipindi tofauti more than 2500 years

Hivo vitabu Hamna uhakika kama vililuwa well preserved kwakuwa utunzwaji wake ni washaka!!

Katika copies na kutembea na generation nyingi hatuna uhakika navyo hence haviaminiki.

Vina some facts yes but vina madudu mengi tu ya waziwazi vipo corrupted Vinci vyao. ndomana nikakuambia kama unauhakikaka book of jasher unayosoma ndio aliyoitumia Joshua kwa utimilifu wake asilimia 100% wewe tumia tu unakila haki lakoni kama huna uhakika kwanini u gamble knowledge usionauhakika nayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu najaribu kujenga picha kwa muktadha wa Nabii wa Mungu kazaa na mabinti zake!! Yaani hata uleweshwe kweli ubakwe tu na mabinti zako kirahisi hivyo?? Kwanini isingetokea radi iwamalize hao watoto??

Nachosema ni hiki..... Kila binadamu yuko prone kwa dhambi bila kujali status yake kwenye Biblia

Mfalme suleiman tunaambiwa ndio mwenye hekima zaidi ila ndio mfalme aliyepelekea anguko la Israel, Samson cjui daudi wote walipotea kabisa kisa ngono ndio sembuse nani??

Yaani nini cha ajabu hadi Daudi ashindwe kutenda dhambi?
Sasa Habari za kupigwa na radi mzee mimi nawewe pia madhambj yetu tupigwe na radi

Mungu ananamna ya kuadhibu atakavo yeye uwezi mpangia namna ya kutoa adhabu.

Hafu lutu sina uhakika kama ninabii labda unielimish kwa hili kwakuwa najua alikuwa ndugu tu wa Abraham ambae alikuwa mcha Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Padre jerome wakati ana tafsiri Bible aliigawa hivyo yaani NT,OT na vile alivyohisi havina uvuvio vikawekwa kipengele cha Apocrypha whether kiliandikwa kabla au wakati wa silent period!!

Otherwise vinaitwa pseudepigraphi kwamba ni vitabu halali kabisa ila vina utata mahali fulani ndio maana vikaachwa

Lakini cha kujiuliza Song of songs na Hebrews ni pseudepigrapha ila havijatolewa kwa bible? Unaweza kutupa maoni yako
pseudepigraphi maana yake false attribution. Waandishi wa vitabu hawafahamiki au uhakika hakuna kuhusu their authenticity.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu najaribu kujenga picha kwa muktadha wa Nabii wa Mungu kazaa na mabinti zake!! Yaani hata uleweshwe kweli ubakwe tu na mabinti zako kirahisi hivyo?? Kwanini isingetokea radi iwamalize hao watoto??

Nachosema ni hiki..... Kila binadamu yuko prone kwa dhambi bila kujali status yake kwenye Biblia

Mfalme suleiman tunaambiwa ndio mwenye hekima zaidi ila ndio mfalme aliyepelekea anguko la Israel, Samson cjui daudi wote walipotea kabisa kisa ngono ndio sembuse nani??

Yaani nini cha ajabu hadi Daudi ashindwe kutenda dhambi?
Hamna sehemu ambayo nimesema Daud akutenda dhambi zaburi yote itaniumbua nikisema hivo.

Daud alifanya dhambi nyingi tu lakini elewa alitubu na alikufa katika haki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa anashangaa Daud kuwa gay,Samson mwenyewe kwa mujibu wa Bible alikua muuaji mkubwa,anaua watu 1000 ili awakate magovi ya kulipa betting,Moses alikuwa muuaji,abrahamu alikuwa tapeli akimtumia mke wake kutega ugoni alipwe mifugo,Solomon alikua womaniser,etc
Big allegations anzisha Uzi watu wajadili haya.Tatizo unatafuta knowledge ya bible kwenye site za kishoga unategemea nini!!!

Habari za Samson kuua kawaida tu alikuwa muamuzi tatizo tu aliua nani ??

Hata Abraham sawa aliuwa sana tu tena alikuwa mahiri wa vita alipiga jeshi kubwa kwa ambush ya watu wachache sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitakujibu.
1. Soma mwanzo 19:31
"Yule mkubwa (bintiye lutu) akamwambia mdogo,baba yetu ni mzee,wala hakuna MTU mume katika nchi nchi kama ilivyo desturi ya dunia yote." Mwisho wa kunukuu

Soma biblia tena hio passage usibishe kutoka kichwani


2.kwa kesi ya Daud mnaforce biblia imemaanisha ushoga hakuna ushaidi zaidi ya hisia zako tuu hapo.

Biblia inaandika tu maovu kama yalifanywa mbona Daud alizini na mke wa MTU imeandikwa kweupeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Waliona hakuna mtu mme katika nchi Kama ilivyo desturi ya dunia nzima,,
Kumbe walijua bado Kuna dunia nzima ila nchi yao ndo haina mme.
Tukiongolea nchi,hivi sodoma ambayo ilikuwa karibu na Jordan river inaqualify kuwa Ni nchi Tena iliyokua mbali Sana na jamii zingine?kiasi kwamba wale binti walikosa option?
 
Hamna ushoga hapo, hao walikuwa maadui Jonathan aliside upande wa maadui

Hio site iliyokujaza hizo fikra ni yakutetea ushoga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Saul alimtukana mwanae,"we,mtoto wa Malaya umeutia aibu uchi wa mamako".
Ina maana Hapo Jonathan alitia aibu mamake kwa kumzaa Kama kidume lakini kinyume na matarajio kumbe kadhaa kituko,sidhani Kama ugomvi wa Saul na Daud ulihusisha mambo ya kisiasa vinginevyo neno,nakedness lisingehusika.
Ukichunguza utaona asili ya Saul kukosana na Daud Ni mahusiano ya Daud na Jonathan,
Kabla ya Hilo,Daud alifanya kazi kwa Saul na Kama sikosei Daud alioa kabisa binti wa Saul,bifu ilianza baada ya Daud kumuua Goliath akaenda na kichwa chake kwa mfalme,kuanzia Happ Jonathan akampenda na Happ ndo tatizo lilianzia
 
Waliona hakuna mtu mme katika nchi Kama ilivyo desturi ya dunia nzima,,
Kumbe walijua bado Kuna dunia nzima ila nchi yao ndo haina mme.
Tukiongolea nchi,hivi sodoma ambayo ilikuwa karibu na Jordan river inaqualify kuwa Ni nchi Tena iliyokua mbali Sana na jamii zingine?kiasi kwamba wale binti walikosa option?
Mkuu hapo umepewa sababu sasa kataa au kubali hio ndo sababu ya kufanya hilo tendo. Mengine hapo ni speculation tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Big allegations anzisha Uzi watu wajadili haya.Tatizo unatafuta knowledge ya bible kwenye site za kishoga unategemea nini!!!

Habari za Samson kuua kawaida tu alikuwa muamuzi tatizo tu aliua nani ??

Hata Abraham sawa aliuwa sana tu tena alikuwa mahiri wa vita alipiga jeshi kubwa kwa ambush ya watu wachache sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu,nenda kasome Wikipedia kuhusu mahusiano ya Daud na Jonathan utakuta wameweka details kuhusu uwezekano wa mahusiano kuwa intimacy.
Ama kuhusu Abraham kupigana na majeshi makubwa Happ waandishi Kama walifanya wishfull thinking,
Abraham hakuwa mtawala Wala chifu wa nchi yeyote,
Abraham aliishi chini ya utawala wa king Abimelek,alipewa tu sehemu ya kuchunga mifugo yake na wakaweka mkataba na wafilist kutoingiliana maeneo ya machungo
 
Saul alimtukana mwanae,"we,mtoto wa Malaya umeutia aibu uchi wa mamako".
Ina maana Hapo Jonathan alitia aibu mamake kwa kumzaa Kama kidume lakini kinyume na matarajio kumbe kadhaa kituko,sidhani Kama ugomvi wa Saul na Daud ulihusisha mambo ya kisiasa vinginevyo neno,nakedness lisingehusika.
Ukichunguza utaona asili ya Saul kukosana na Daud Ni mahusiano ya Daud na Jonathan,
Kabla ya Hilo,Daud alifanya kazi kwa Saul na Kama sikosei Daud alioa kabisa binti wa Saul,bifu ilianza baada ya Daud kumuua Goliath akaenda na kichwa chake kwa mfalme,kuanzia Happ Jonathan akampenda na Happ ndo tatizo lilianzia
Unachoandika hakipo.unaquote mstari wa Bible mmoja au miwili
Hafu unajaza mistari mia ya mawazo yako.

Wapi wameandika Daud alikuwa shoga???

Kwanini umekazania hio verse au unaupenda ushoga?? Maana Hamna evidence yoyote hapo ya allegations zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana mkuu,nenda kasome Wikipedia kuhusu mahusiano ya Daud na Jonathan utakuta wameweka details kuhusu uwezekano wa mahusiano kuwa intimacy.
Ama kuhusu Abraham kupigana na majeshi makubwa Happ waandishi Kama walifanya wishfull thinking,
Abraham hakuwa mtawala Wala chifu wa nchi yeyote,
Abraham aliishi chini ya utawala wa king Abimelek,alipewa tu sehemu ya kuchunga mifugo yake na wakaweka mkataba na wafilist kutoingiliana maeneo ya machungo
Mkuu umekazanja ushoga ,,,!!! Unatisha sasa aisee una ajenda gani???


Umewahi andika kitu shuleni ukaweka reference wikipedia?? Yani wikipedia open source wanahariri watu mbalimbali wenye interest tofauti.

Kwenye Bible unakosa ushahidi unautafuta wikipedia !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Abraham alikuwa MTU mwenye Mali na wafuasi wengi sana.

Hafu chakushangaza Habari za abimelech umetoa humohumo kwenye waandishi wanao fanya wishful thinking!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachoandika hakipo.unaquote mstari wa Bible mmoja au miwili
Hafu unajaza mistari mia ya mawazo yako.

Wapi wameandika Daud alikuwa shoga???

Kwanini umekazania hio verse au unaupenda ushoga?? Maana Hamna evidence yoyote hapo ya allegations zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo unabase kujibu majadiliano kiimani zaidi, intellectual kibao wameandika kuhusu hili,pia hiyo verse katika matoleo mengine wamebadilisha meaning,na hivyo utakuta baadi ya version nyingi,hiyo verse iko tofauti,yaani wameondoa neno,whore na nakedness,. Kwanini unadhani wamefanya hivyo.
 
Mkuu Abraham alikuwa MTU mwenye Mali na wafuasi wengi sana.

Hafu chakushangaza Habari za abimelech umetoa humohumo kwenye waandishi wanao fanya wishful thinking!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba Abraham alikuwa na wafuasi wengi,hakunaga andiko,,tawala ambazo Abraham anadaiwa kupigana nazo Ni tawala zilikuwa established,mfano utawala wa Damusca,historically proved,
Abrahamu hakuwa na jeshi.kwamba Vita ilupiganwa one day,jioni ushindi ukapatikana na kawakumbiza adui Hadi Damusca,
Kwani alikua anatumia ndege?,maana hata marekani hawezi kucover hiyo distance ndani ya siku moja
 
Mkuu umekazanja ushoga ,,,!!! Unatisha sasa aisee una ajenda gani???


Umewahi andika kitu shuleni ukaweka reference wikipedia?? Yani wikipedia open source wanahariri watu mbalimbali wenye interest tofauti.

Kwenye Bible unakosa ushahidi unautafuta wikipedia !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wikipidia wanaweka source,Wikipedia Ni online encyclopedia Kama ilivyo britanica encyclopedia,vyote maandishi huwekwa na watu,sio ng'ombe,
Sio kwamba nimestick kwenye ushoga Bali Ni sehemu mjadala umeelekea
 
Mkuu Abraham alikuwa MTU mwenye Mali na wafuasi wengi sana.

Hafu chakushangaza Habari za abimelech umetoa humohumo kwenye waandishi wanao fanya wishful thinking!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu Cha kuzingatia mkuu,
Abimelek kiuhalisia siyo jina la mtu,
Abimelek maana yake Ni ,"Baba wa mfalme".
Abi-baba-father of..
Melek-mfalme.-king

Abimelek Ni sawa na Abumalik.
Abi-Abu
Melek-Malik
Neno Melek au Malik,linamaanisha kumiliki kwa kiswahili,so wafalme waliitwa Malik or Melek
 
Nadhani kwa maoni yangu tunajaribu kuigeuza Bibilia kitabu cha kubishania badala ya Kitabu cha mahusiano kati ya Mungu na wanadamu.
Picha kubwa ya biblia ambayo kila mtu anapaswa kuiona ni
1:Mungu aliumba Dunia na Wanadamu wakamilifu.
2:Adam na hawa wakachagua kumsikiliza shetani badala ya kauli ya Mungu na kutuingiza wanadamu wote katika shida japo Wapo kama wakina henoko na Abraham walitembea kwa Imani Mungu akawatukuza.
3:Mungu aliandaa mpango wa Wokovu, Kupitia Yesu Kila amwaminie na kumtii apate uzima wa milele na raha wenda zaidi ya ile ya adam na hawa bustanini baada ya hukumu ya Haki.

Picha kubwa kati ya Pambano la Wema na uovu na hitimisho lake Haipaswi kuhafifishwa na story nyingine yoyote.
Hii inaitoa Bibilia kwenye level ya Kitabu cha Kisomi na kukifanya Kitabu kinachomtambulisha Mungu muumbaji kwa kiumbe chake kilichopotea. Bibilia ni kitabu chenye lengo la kuleta mahusiano kati ya Mwanadamu na Mungu. Hii ndiyo inatakiwa kuwa output ya mtu kusoma bibilia. ie Daily connection with God until restoration.

Kuchimbua mambo ili kuhalalisha au kuharamisha mawazo flani ni kutoka nje ya BIG PICTURE YA KWA NINI BIBILIA.
Nilitegemea baada ya hii point mujarab uzi ungefungwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za jioni wana JF natumaini wote humu ni wazima.
View attachment 885770
Nlipokuwa naipitia uzi huu Mjue Yoabu - Jenerali Mkuu wa Mfalme Daudi, Katili na asiyeogopa chochote! - JamiiForums

Mkuu Elungata aliibua hoja kuhusu Daudi kuwa na mahusiano ya jinsia moja na nathan ila muanzisha uzi alipotaka ushahidi aliuwekea condition hii.




Baada ya kusoma hii comment nilisikitika sana na nilijiuliza sana kwamba inakuaje kila story ya watu waliotajwa kwenye bible watu wanataka reference kutoka ndani ya Biblia pekee as if Biblia imeandika kila kitu?? Kwanini tunapenda kujifunga akili kiasi hicho?


Baada ya kuona mentality hiyo imeanza kukua humu JF intelligence nikaona nilete mada jinsi Biblia yenyewe imetutuma tukasome vitabu vingine nje ya Biblia ili tuongeze ufahamu kuhusu baadhi ya watu na matukio ambayo Bibila yenyewe haikuandika yote kwa upana wake, hivyo nia ya uzi huu ni kwa wale waliojifunga kwenye kusoma maandiko pekee wabadilike na kuwa na fikra huru na kuruhusu maarifa kutoka kona zote kwa mithiri ya kujifunza zaidi na kupanua uelewa wa mambo.
View attachment 885772
Kwa kuanzia tu labda nitumie nafasi hii kumjibu mkuu wangu maishapopote kuwa hata biblia yenyewe inakiri kuwa maisha yote ya Daudi yameelezewa vizuri zaidi nje ya Biblia hivyo imetutuma tukasome vitabu hivyo mnavyoita vya kipagani ili tujifunze kwa ufanisi zaidi

1 NYAKATI 29:29
29 Basi habari za mfalme Daudi, mwanzo na mwisho, angalia, zimeandikwa katika tarehe ya Samweli, mwonaji, na katika tarehe ya Nathani, nabii, na katika tarehe ya Gadi, mwonaji.

Vitabu vilivyotajwa hapa ni Book of Gad the seer,Book of Nathan the prophet, Book of Samuel the seer (Sio samuel 1&2) ambavyo kwenye biblia havikuwekwa . Sasa kama Biblia inakiri kuwa sio kila story yake imeongelewa kwa upana wake katika biblia je kwanini siku hizi watu wakijengea hoja kuhusu personality za biblia mnalazimisha reference iwe ndani ya bible pekee??? Ina maana waandishi wa Biblia ni wajinga hadi watutume tukasome hivyo vitabu vingine ambavyo mnaviita vya kipagani??

MAANDIKO
Hapa chini nimeambatanisha vifungu vya Biblia hivyo ningeomba tuisome kwa makini kabla ya kuchangia hoja. Neno Tarehe kwenye maandiko haya kwa kiswahili rahisi inamaanisha Nyaraka/rekodi/kitabu au kwa kizungu book/journal/Annal.
View attachment 885773

1. Kitabu cha Yehu

2 Nyakati 20:34
34 Na mambo yote ya Yehoshafati yaliyosalia, ya kwanza na ya mwisho, angalia, yameandikwa katika tarehe ya Yehu mwana wa Hanani, iliyotiwa katika kitabu cha wafalme wa Israeli.

2. Kitabu cha Nabii Gadi muonaji/ Kitabu cha shemaya

2 Nyakati 13:22
22 Na mambo ya Abiya yaliyosalia, na njia zake, na maneno yake, yameandikwa katika kitabu cha maelezo cha nabii Ido.

2 Nyakati 12:15
15 Basi mambo yake Rehoboamu, ya kwanza na ya mwisho, je! Hayakuandikwa katika tarehe za Shemaya nabii na Ido mwonaji, kwa jinsi ya kuandika nasaba? Kulikuwa na vita kati ya Rehoboamu na Yeroboamu siku zote.

1 Nyakati 29:29
29 Basi habari za mfalme Daudi, mwanzo na mwisho, angalia, zimeandikwa katika tarehe ya Samweli, mwonaji, na katika tarehe ya Nathani, nabii, na katika tarehe ya Gadi, mwonaji.

3. Kitabu cha mfalme Ahasuero

Nehemiah 12:23
23 Wana wa Lawi, wakuu wa mbari za mababa, wameandikwa katika kitabu cha tarehe, hata siku za Yohana mwana wa Eliashibu

Pia kinatajwa Esther 10:2, 2:23, 6:1

4. Matendo ya Mfalme suleiman

1 wafalme 11:41
41 Nayo yaliyosalia ya Sulemani, mambo yake na yote aliyoyafanya, na hekima yake, je! Hayo siyo yaliyoandikwa kitabuni mwa mambo yake Sulemani (Book of Acts of Solomon)

5. Nyakati za wafalme wa Israel & Yuda

1 wafalme 14:19
19 Na mambo yake Yeroboamu yaliyosalia, ya kupigana na ya kutawala, tazama, yameandikwa katika kitabu-cha-tarehe cha wafalme wa Israeli.(chronichles of the kings of israel/Judah)

6. Kitabu cha Hozai

2 Nyakati 33:19
19 Sala yake pia, na jinsi Mungu alivyomtakabali, na dhambi yake yote, na kosa lake, na mahali alipopajenga mahali pa juu, na kupasimamishia maashera na sanamu za kuchonga, kabla ya kujinyenyekeza; tazama, hayo yameandikwa katika tarehe ya Hozai.

Hivi ni kwa uchache tu ila kuna vitabu vingine zaidi ya 20 vinatajwa kama reference point kwenye biblia ilihali havipo kwenye Biblia na wala havitambuliki na kanisa lakini leo hii akijengea mtu hoja anaonekana shetani!!
View attachment 885774

HITIMISHO
Baada ya uzi huu nisingetegemea tena kusikia wana JF wakitaka reference kutoka kwenye biblia pekee ilihali Biblia yenyewe inataka tukarefer kwenye vitabu vingine ambavyo vingi ni vya kipagani tu ili tupate uelewa zaidi ya watu muhimu kwenye bible.

However ningependa tujiulize maswali haya ili kupanua fikra zaidi

1. Kwanini vitabu hivi ambavyo Biblia inaturefer tukasome ili kuelewa baadhi ya matukio havikuwekwa kwenye biblia??

2. Na kama havikuwekwa kwa sababu yeyote ile je ina maana ni vya kipagani??

3. Na kama ni vya kipagani ni kwanini vimekuwa referred kwenye bible?

4. Kuna vitabu vingine ambavyo vimenakiliwa hapa ni halali kabisa katika kanisa la kale lakini kwa sasa viko categorized kama vitabu vilivyopotea.... Je nini hatma ya Biblia kama maneno ya Mungu ilihali yanaweza kupotea??

5. Na kama yamepotea je ina maana biblia haijakamilika sababu sehemu ya stori yake imepotea??

Naomba kuwasilisha

Cc: Wana JF intelligence wote bila kuwasahau kina Mchawi Mkuu Malcom Lumumba Elungata Da'Vinci Mshana Jr Eiyer Kudo900 Vi rendra N J subi Bujibuji Kipanga boy Kiranga Che mittoga Ip man 3 mitale na midimu Mzee wa Torano Blaki Womani Grahnman za chembe jimmykb197 911sep11 afsa Francis3 mtu chake NJOLO Msolo Shubiri Pori Pendael24 Mr Miller Elli Khalifavinnie Kennedy Son of Gamba Kanungila Karim Mgambilwa ni mntu Mr FCB Mr Q geesten66 Jerry Ekky Mnabuduhe Chrisvern Dabby Jr kibuyu180 IGWE SALA NA KAZI
Wick Dukeson lifecoded Daimler monde arabe mtu watu


JE, HIZI SIFA ZA AJABU ZA MUHAMMAD NI ZA KITUME?

1. Muhammad alizini na kijakazi
2. Muhammad alikuwa na changu doa
3. Muhammad alinyonya ulimi wa mwenzake
4. Muhammad alikuwa Mlevi
5. Muhammad alikuwa amerogwa
Wengi wenu labda hamkuwa mnazifahamu hizi siri ambazo Waislam wanazificha kila siku. Naam, naziita siri kwasababu huwa hawasemi huu ukweli wa Muhammad Mtume wa Allah.

MTUME MUHAMMAD ALIFUMANIWA NA KIJAKAZI WA MKEWE
Siku moja mtume (s.a.w) Alikuwa Nyumbani kwa Mkewe Hafsa bint Umar, Hafsa akaenda kwa Baba yake kumjulia hali, Mtume (s.a.w) alimwita Mjakazi wake bibi Mariya Alqbitiyya, akawa nae Chumbani, Aliporudi Hafsa Akasema Maneno makali kwa Mtume juu ya tendo hilo (s.a.w) Mtume akasema nakuhakikishia Kuwa: Kuanzia Leo Sitamwingilia tena, mjakazi wako.
(Tafsir Ibn Kathir J. 6 Uk. 367)
Je, huku kufumaniwa ndio sifa za kitume?

MTUME MUHAMAMD ALIKUWA NA CHANGU DOA
Sunan Abu-Dawud, Kitabu 38, Namba 4458: Amehadithia Ali ibn AbuTalib: "Mtumwa wa Kisichana ambaye alikuwa mali ya nyumba ya Mtume wa Allah aligawa Uroda kwa Rafiki ya Muhammad. Basi Nabii wa Allah akasema kwa Ali: Nenda na ukampe adhabu Muasherati wangu kwa kufanya Ngono bila ya ruhusa yangu. Ali akaharakisha kwenda alipo yule Mtumwa wa Kisichana wa Muhammad na kuona damu ilikuwa inatiririka kutoka kwake, na bila kuacha. Hivyo Muhammad alikwenda kwake na akasema: Mwache damu iendelee kutiririka mpaka itakopo simama; kisha mpe adhabu kwa mujibu wa dhambi yake".
Je, kuwa na chagu doa ni sifa ya kiutume?

MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN
Hadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah.
Mnaona tabia chafu ya Nabii wa Allah? Eti akikula denda na kukulamba midomo basi wewe huto kwenda Jehannam. Pia alisema, "Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chahe mpaka akalala. Hivi ndivyo Allah alivyo taka Ali afanyiwe na Nabii wake
Je, Muhammad kunyonya ulimi watu wa jinsia yake, ni sifa ya kitume?

MTUME MUHAMMAD ALIKUWA MLEVI
Sahihi Muslim 3753:'' Sisi tulikuwa pamoja na Mtume wa Allah, na Yeye Mtume wa Allah alikuwa na kiu na mtu mmoja akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, Je, UNATAKA KUNYWA MVINYO? Mtume Muhammad akasema: NDIO. Basi yule Mtu alikwenda kuleta mvinyo. Mtume wa Allah akamwambia: Lete MVINYO ULIO MKALI ILI NINYWE; Basi Mtume wa Allah alipo kunywa ule MVINYO MKALI ALILEWA
Je, kula ulabu ni sifa ya kitume?

MTUME MUHAMMAD ALIKUWA AMEROGWA
Pia, kwa mujibu wa Sahih Bukhari juzuu ya 4, Kitabu cha 54, Hadithi namba 490 na Sahih Bukhari, juzuu ya 7, kitabu cha 71, hadithi namba 658; Muhammad alirogwa na akazurika na uchawi. Kisa cha mtume kurogwa na kuzurika na uchawi pia kinasimuliwa katika quran Tafsiri ya Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy ukurasa wa 977 na 978.
Je, kurogwa ni sifa ya utume?

MASWALI:
(a) Ikiwa uchawi ni ukafiri, kuna uhusiano gani kati ya Allah na ukafiri mpaka atelemshe uchawi?
(b)Mtume Muhammad alirogwa na wachawi wa kiislam au wachawi wengine?
(c) Mtume Muhammad alirogwa na uchawi ulioteremshwa na malaika wa Allah au uchawi mwingine?
(d) Mtume au nabii gani mwingine alirogwa na akaathirika na uchawi?
Kama Muhamamd alikuwa Mtume wa Mungu, mbona tabia zake si za kitume na hazifanani na mitume walio tangulia kbala yake?
Hakika huyu Muhammad hakuwa Mtume wa Mungu bali Allah ambaye ni Mpinga Mungu.
 
Back
Top Bottom