Biblia na reference ya vitabu vya kipagani

Sawa mkuu ila sidhani kama huo ukweli utakujakupatikana kwa mazingira haya haya yaliyopo.
 
Sorry mkuu i meant jonathan sio nathan

All in all nachouliza je Daudi hakufanya uzinzi?? Kama alifanya ina maana alikuwa na uwezo wa kufanya uzinzi mwingine wowote si ndio maana yake??hapo ndio mzizi wa swali.

Yaani ni sawa na mvuta bangi je hawezi kuvuta na sigara pia?? Nsaidie hapa

Kuhusu kuwa jehanum kwanini?? Si anatubu yanaisha ama?? Mbona Alitubu baada ya kuiba mke wa mtu??
 
Aiseeeee.Full rahaa


Yaani ni Full raha mkuu wangu....ebu soma mambo hayo kutoka kwenye kitabu cha kipagani. Kumbe beef la shetani na Adam lilianzia mbali..

But when Adam had seen her and the devil with her, he wept and cried aloud and said: 'O Eve, Eve, where is the labour of thy penitence?

4 How hast thou been again ensnared by our adversary, by whose means we have been estranged from our abode in paradise and spiritual joy?'

xi 1 And when she heard this, Eve understood that (it was) the devil (who) had persuaded her to go out of the river; and she fell on her face on the earth and her sorrow and groaning and wailing

2 was redoubled. And she cried out and said: 'Woe unto thee, thou devil. Why dost thou attack us for no cause? What hast thou to do with us? What have we done to thee? for thou pursuest us with craft? Or why doth thy malice

3 assail us? Have we taken away thy glory and caused thee to be without honour? Why dost thou harry us, thou enemy (and persecute us) to the death in wickedness and envy?'

xii 1 And with a heavy sigh, the devil spake: 'O Adam! all my hostility, envy, and sorrow is for thee, since it is for thee that I have been expelled from my glory, which I possessed in the heavens

2 in the midst of the angels and for thee was I cast out in the earth.' Adam answered, 'What dost

3 thou tell me? What have I done to thee or what is my fault against thee? Seeing that thou hast received no harm or injury from us, why dost thou pursue us?'

xiii 1 The devil replied, 'Adam, what dost thou tell me? It is for thy sake that I have been hurled

2 from that place. When thou wast formed. I was hurled out of the presence of God and banished from the company of the angels. When God blew into thee the breath of life and thy face and likeness was made in the image of God, Michael also brought thee and made (us) worship thee in the sight of God; and God the Lord spake: Here is Adam. I have made thee in our image and likeness.'

xiv 1 And Michael went out and called all the angels saying:

'Worship the image of God as the Lord God hath commanded.'

And Michael himself worshipped first; then he called me and said: 'Worship the image of God

3 the Lord.' And I answered, 'I have no (need) to worship Adam.' And since Michael kept urging me to worship, I said to him, 'Why dost thou urge me? I will not worship an inferior and younger being (than I). I am his senior in the Creation, before he was made was I already made. It is his duty to worship me.'

xv 1,2 When the angels, who were under me, heard this, they refused to worship him. And Michael saith, 'Worship the image of God, but if thou wilt not worship him, the Lord God will be wrath

3 with thee.' And I said, 'If He be wrath with me, I will set my seat above the stars of heaven and will be like the Highest.'

xvi 1 And God the Lord was wrath with me and banished me and my angels from our glory; and on

2 thy account were we expelled from our abodes into this world and hurled on the earth. And

3 straightway we were overcome with grief, since we had been spoiled of so great glory. And we

4 were grieved when we saw thee in such joy and luxury. And with guile I cheated thy wife and caused thee to be expelled through her (doing) from thy joy and luxury, as I have been driven out of my glory.

xvii 1 When Adam heard the devil say this, he cried out and wept and spake: 'O Lord my God, my life is in thy hands. Banish this Adversary far from me, who seeketh to destroy my soul, and give

2,3 me his glory which he himself hath lost.' And at that moment, the devil vanished before him. But Adam endured in his penance, standing for forty days (on end) in the water of Jordan.
 
Daudi alifanya Uzinzi na adhabu alipewa ambayo ilikua kubwa.....ila Kama pia angerudia Tena kufanya uzinzi adhabu ya ya huoUzinzi ungewekwa wazi na adhabu ingekua kubwa zaidi


Daudi mwanzo aliukumiwa kwa ile dhambi ya uzinzi ndomana mtoto aliezaa na yule mwanamke wa uria alikufa wakati alimwomba BWANA asimwue yule mtoto pia tunaona laana ya familia yake Kama BWANA alivyosema ilitokea Soma 2 samweli sura ya 13 kwaio Daudi hakusamehewa.....alichosamehewa Mfalme Daudi ni kutopata adhabu ya Kifo kwakua alikua Masihi wa BWANA .


Kwaio hoja ya kwamba angetubu Tena haina mashiko kwani hata dhambi ya Kwanza Toba yake haikukubaliwa
 



Isaiah 1:18

18 β€œCome now, let us settle the matter,”
says the Lord.
β€œThough your sins are like scarlet,
they shall be as white as snow;
though they are red as crimson,
they shall be like wool


ISA. 1:18
Haya, njoni, tusemezane, asema BWANA. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu.
 
Weka sawa hapa "sunan abu 3991". Kuna kitu kimemiss hapo.

Nasubiri jibu hapo niendelee nilipoishia.
 

Hivi bro wewe unafanya utafiti wapi ? Mbona hufaidiki na utafiti wako mzee ?

Kufanya utafiti nako kuna hitaji elimu. Yaano kuna masharti na nguzo za kufanya utafiti. Ila wajinga mnapenda kuongea sana.

Sasa ukweli huo ni upi ?

Msipende kuwapotezea watu muda kwa ujinga wenu.
 
sababu quran na biblia nazijua na nina uwezo wa kuchallenge maandiko yake
Hapa ndipo huwa nawadharau watu kama nyinyi. Yaani mnaandika uongo wa dhahiri kabisa.

Kaka Qur'an huijui wewe,hata kuisoma huijui,sasa huu ujasiri wa kuzungumzia jambo msilolijua sijui huwa mnapata wapi. Hili sishangai sababu wajinga wengi ndio mlivyo.

Uwezo wa kui challange Qur'an huna ndio maana unaishia kusema uongo na wasi wasi tele.

Narudi.........
 
Angalia muktadha wa Dhambi huyu alikua Masihi wa BWANA akafanya kosa la kwanza akaadhibiwa je afanye kosa la pili linalofanana vile vile Tena la Ulawiti halafu tusione adhabu yake? Embu anzia hapo .
 
Angalia muktadha wa Dhambi huyu alikua Masihi wa BWANA akafanya kosa la kwanza akaadhibiwa je afanye kosa la pili linalofanana vile vile Tena la Ulawiti halafu tusione adhabu yake? Embu anzia hapo .


Kumbe Mungu ni mbaguzi kiasi hiki????
 
Mbona hoja yako dhaifu aisee

Halafu umefatilia mada stoked mwanzo?



Nimeuliza swali kutokana na hoja yako kuwa Daudi asingeweza kusamehewa kosa la pili kwa sababu alikuwa masihi wa Mungu (Maana mwanzani mkuu zitto alikuja na hoja kuwa Daudi alitubu akasamehewa ila wewe ukasema hakusamehewa pamoja na kuomba msamaha kwa bwana kuwa yule mtoto aliyezaa na mke wa askari wake bwana asimuuwe ila bwana akamuuwa)....Hapo ndo nikakuwekea andiko la Isaya 1:18....wewe ukaja na hoja kuwa Daudi alikuwa Masihi wa Mungu kwa hyo akustahili msamaha wa kosa la pili hata kama aliomba msamaha (kwa maelezo yako)...Ndo nikasema Mungu atakuwa mbaguzi maana kama wengine wanafanya makosa tena zaidi ya mara moja na kuomba msamaha na kusamehewa (Msingi wa Isaya 1:18) inakuweje inapokuja kwa masihi wake inakuwa tofauti????Rejea kisa cha Sauli


Najua mwishowe utakuja na zile hoja zenu kuwa biblia haisomwi kama gazeti....Waiting for that...
 
mohamed ibn abdulah alipasua mwezi vipande viwili? nasubiri jibu
 
mohamed ibn abdulah alipasua mwezi vipande viwili? nasubiri jibu


Mpaka atakimbia...Kuna mmoja kashakimbia tayari...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hoja ni kwamba Daudi Ilo kosa hajafanya mi nilikua nimesimamia hapo Nikawa Nampa Vifungu Mkuu Zitto

Point yangu ya msingi Daudi hakufanya Dhambi ya Ulawiti


Na Kama source zengine nje ya biblia inaonyesha kafanya tungeona adhabu ambayo Daudi alipewa baada ya kufanya Dhambi ya pili

Kuhusu kutokusamehewa na kumwita Mungu mbaguzi ni hoja nyingine.
 
mohamed ibn abdulah alipasua mwezi vipande viwili? nasubiri jibu
Nacheka sana. Hakuna nabii au mtume anaefanya muujiza kwa uwezo wake,bali muujiza ni kwa idhini ya Allah,ili kwa watakao amini waamini na kinyume chake.

Mwezi ulipasuka kwa idhini ya Allah kupitia kwa mtume wake,hii ni miongoni mwa miujiza ya mtume Muhammad amani ya Allah iwe juu yake.

Nakuuliza na wewe :

1. Wewe umeumbwa ?

2. Je maneno yako yameumbwa ?

3. Una kiwango gani cha elimu kuhusu Qur'an na sunnah za mtume Muhammad amani ya Allah iwe juu yake.

Ukijibu nakuja kuendelea hapa nilipo ishia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…