Biblia na biashara ya utumwa wa mtu mweusi Marekani

wakurochi
Si unaona sasa unavyojichanganya mbona nimequote kitabu cha Tito?? Au Tito ipo kwenye torati pia?? Efeso ipo kwa torati?? Mkuu kajifunze kwanza jinsi ya kudeal na midahalo kama kule Quora watu wanapambana kwa hoja za kiimani bila matusi na ssi wasomaji tunajifunza ila haya ya mtu kuleta hoja unamdhani ni shetani hayajengi hata cku moja sasa imagine unakutana na mpagani anahoji hili ili aokoke je ungeweza kweli kumhubiria?? Au ndio ungemtukana na kuondoka zako?? Je Yesu angewajibu hivi mafarisayo waliomchallenge leo hii kungekuwa na ukristo duniani??

JF tubadilike this is so low of us
 
[/QUOTE]
Mkuu Wakurochi! Salaam!
Naheshimu mchango wako na mimi nipo tayari kukubaliana kutokukubaliana na mtu yeyote katika mijadala! haijalishi mtoa mada ana lengo gani nyuma ya pazia;lakini kama naweza kuchangia nitachangia kwa kiasi changu.
Nilichofundishwa na kujifunza ni kuwa KUSHINDA mjadala sio lazima uwe sahihi,unaweza ukashinda mjadala bado ukawa hauko sahihi.
Katika Mijadala anayoiibua Bwana Zitto Jr. Ni masuala ambayo katika kanisa huwa hayazungumziwi mara kwa mara! ndio maana yanaonekana hayana Majibu - Lakini yana majibu tele.Kwa kukubali kuyajadili twaweza kupata majibu mazuri au kupanua uelewa wetu zaidi.
Nakuomba Mkuu kuwa mvumilivu hata pale unapoona Imani yako imechafuliwa au kuelezwa vibaya,yawezekana mtoa mada hakukusudia ama anatafuta kuelewa.
Asante.
 
Ndugu mwandishi wa uzi,

Mi ningependa kujibu HOJA zako kwa maswali mawili madogo sana, pia kama hutakua na jibu sahihi, ningefurahi miongoni mwa wasomi wa uzi huu kutupatia jibu, kwa mwenye jibu.

Je, hio biblia ulio "quote" hapo verse zake, ni AGANO LA KALE au AGANO JIPYA.?

Na kama ni agano jipya. Je,ni nani alieliandika/alielifanyia mabadiliko ya biblia ya mwanzo.? Na kwanini.?

NB: sina nia mbaya kwa hoja nlizoweka, bali ni kumvua lawama MUNGU kwa makosa tuliofanya sisi wanaadamu. Sisi wanaadamu twapaswa kujilaumu sisi kwa mambo tunayo yafanya na kuyapa mgongo tuliyo ambiwa.

Naomba mniwie radhi kama ntakua nimemkwaza mtu.
ushaona aya chakufanya shika biblia tafuta then soma, kama hutoona kale nenda jipya
 
hizo mbona zinafundiswa hata jeshini tu...law zinazogovern ukatiri mbona zinategemea na mind yako...ili law isikugharimu inabidi ucut off connection ya mind yako na universal awareness juu ya ukatiri huo...

usipofanya hivo the law of karma itakufundisha adabu vizuri.
Aisee jombi kichwa yako inavitu vizitooo
 
Mimi Msabato, Ila huyu mama EGW huwa sipendi kumuita Nabii na siamini kama ni Nabii sijui kwanini ila mimi siamini na simuiti Nabii. (Sijajibu hoja nimetoa ya moyoni tu)
 
halikutakiwa kuwa swali bali maelezo
achana na hizo dini,ni uongo mtupu uliotungwa na warumi kuwacontrol watu wa kipindi hicho
tupa biblia jalalani,ni kitabu cha ovyo kabisa
Ukishatupa fanya uasherati, uzinzi, mauaji, kunywa pombe kali kali ulewe, usiiheshimu wakubwa, hapo Biblia itakuwa imetulia jalalani kusubiri kuchomwa! Hongera mkuu, ila kama unaichukia Biblia kiasi icho, kuna kitu nafsi huwa inakusuta unapotaka kukifanya kwasababu Biblia imekataa.
Tupo karne ya 21, kuwa huru ndugu. We itupe jalalani acha wengine waifate ila wape mwanga zaidi kwamba wasitawaliwe na kilichomo😊
 
acha ujinga wewe
musa alipoua misri alikimbia kwa kuogopa kushitakiwa
kama binadamu walikuwa hawajui kuua ni kosa kwa nini musa alikimbia kesi>
halafu tumeumbwa na natural instincts ya kujua jema na baya
kuniambia eti kuna jehanamu ni upuuzi
amri kumi unazoita eti ni za mungu wako wa israel zilikopiwa na musa kutoka kwenye kitabu kinachoitwa the egyptian book of the dead,kiliitangulia biblia kwa miaka zaidi ya 2000
get knowledge black man
 
Haha! Unapaniki nini wewe, huo mfano wa Musa umeutoa jalalani au vipi? Unanyoosha kidole kwangu wakati ujinga unaufanya wewe. Biblia ilianza jana? au juzi? Au unahisi neno Biblia lenyewe linatosha kuita ni "torati"? We jamaa vipi? Torati zipo tangu Edeni, ndo maana waliambiwa "Msile tunda" pengine "wapumzike siku ya Saba". Huna point rudi kufikiri ndugu!
 
tatizo watu kama nyinyi hata biblia hamuijui
kwa hiyo hutaki kuwa musa aliua mtu misri na alikuwa anatafutwa?!!!!
 
Ndo nakuuliza hicho kisa cha Musa ulikitoa jalalani? Sasa kama unasema Biblia ni ya kutupa jalalani kwanini utoe mfano humo? Una tatizo moja wewe, unajifanya mjuaji sna kumbe mweupe tu! Be civilised! Wapo watu humu wanajua mambo ila wametulia tu, we ndo unajikuta mjuaji wa mambo basi kila comment unataka urukie rukie. (Mimi najua machache na ntaendelea kujifunza kila siku)
 
level ya kudebate bible na mimi ni papa francis,na yeye namkalisha

Exodus 2:11-15
11 In the course of time Moses grew up. Then he went to see his own people and watched them suffering under forced labor. He saw a Hebrew, one of his own people, being beaten by an Egyptian. 12 He looked all around, and when he didn’t see anyone, he beat the Egyptian to death and hid the body in the sand.

13 When Moses went there the next day, he saw two Hebrew men fighting. He asked the one who started the fight, “Why are you beating another Hebrew?”

14 The man asked, “Who made you our ruler and judge? Are you going to kill me as you killed the Egyptian?” Then Moses was afraid and thought that everyone knew what he had done.
 
Nahangaika kukuelewesha kumbe unatafuta ushindi. You won bro!🏆🏆
 
akili ya kunielewesha umeipata wapi?
kama ni mkristo unayemuabudu yesu wa nazareth kama bwana na mwokozi wa maisha yako basi huna hata hadhi ya kukaa na kula chakula na mimi
 
yesu ndo nani??? Hunijui ndugu na akili zako matope hizo, tulia unyolewe! Naona unapaniki haraka sana hata nyuma ya keyboard😂😂😂
 
Hongera kwa kufikilia kwa kina japo majibu yanaweza yakawa wazi au yasiwe wazi kutokana na uelewa wa kila mmoja wetu kwa kadri alivyopata kuelewa ..

Kwanza kabsaa naomba nikuhakikishie kuwa utumwa unaozungumziwa kwenye biblia sio wa ngozi nyeusi tu,bali mtumwa anayezungumzwa mule ni mtu ambaye hajawa na concious awareness ya kusynchronise mental ambility yake na universe(The giver of everything) ambaye ndo controller wa yote..
Mtumwa anayezungumziwa kwenye biblia siyo mwafrica wala mzungu ,ni mtu yeyote asiyeelewa chochote kinaendelea katika mfumo unaoendelea kushikilia vitu katika ulimwengu huu..

View attachment 871700

Mwanzoni kabisa tangu mwanadamu kuingiliana na beings( viumbe toka dunia za mbali) mojawapo ya makubaliano yaliyofanywa ni kuuficha ukweli ni wapi power,knowlege,Intelligence pamoja na inspiration zinatoka..

Kwa hiyo Makubaliano yaliyofikiwa ni kutoruhusu mwanadamu atakayeendelea kuzaliana kutojua ile iliyo kweli inayoshikilia nguvu yote jinsi mambo yalivyo ,..

kwa hiyo ajenda ya kwanza ilikuwa ni kutafuta kundi kubwa la watu bila kuangalia ni jamii ipi ili kuficha ukweli na kuruhusu kundi kubwa litakalobaki liwe sample space kwa kazi maalumu ambaye imepangwa kufanyika katika dunia tunayoishi..

Basi mataifa mengi Ulaya,Asia ,South America yalielewa ule mpango mapema sana hivyo yakaanza kuelimishana juu ya mpango kabambe unaoenda kuipumbaza akili ya mwanadamu juu ya imani inayoenda kuelezewa juu ya nguvu iliyopo..
yanichampishwa majarida vikiwemo vitabu vitakatifu ili hali kumpoteza mwanadamu asigundue kuwa tayari ana uwezo wa kufree mind yake na kutoka kwenye utumwa wa akili potofu juu ya utengemezi wa kitu chochote toka kwenye nguvu isiyoonekana..

View attachment 871702

Mwanzoni kabsaa nchi chache kama Ugeruman zilielewa juu ya umuhimu wa free will ambayo ndo msingi pekee wa kuiunganisha mind ya mwanadamu na Nguvu kubwa basi ilipelekea kuwaelimishwa watu wake na kuanza kuwateka watu baki kama mataifa mengine mpaka pale elimu hiyo ilianza kutolewa kwa nchi nyingi za wenzetu ambapo kila mtu alipata kufahamu juu ya nguvu ambayo kapewa ndani yake na inaweza ikamfanya akasynchronize na higher beings na kumfanya aadvance katika kila civilization aliyokuwa anaitaka..

Ndo mana nchi nyingi za ulaya zilianza kuwa watumwa wao kwa wao (wenyewe) kabla ya kuja huku Africa make utamdanganya nani juu ya ukweli make kila mtu alikuwa tayari kashafree mind yake na kumfanya apate conciousness ya hali ya juu sana na wengi walijikuta wanaamsha pyschic powers za hali ya juu ,tena kama nchi za china huko ndo zimekuja kuidominate hiyo elimu mpaka sasa maendeleo yao ni makubwa sana na ikumbukwe kuwa unampomfundisha nguvu hii mtu mwingime akikuzidi ni shida kwani atakuwa na uwezo wa kusynchronize na universe ambayo kimsingi ndo mtoa wa kila kitu..

kwa hiyo ilipelekea nchi nyingi kupata elimu hiyo japo ilikuwa siyo kwa wote ila idadi kubwa iliapata kulewa ukweli wa kila kitu huku idadi ndogo ikiachwa iliniendelee kufanya physical work ..
View attachment 871708

kwa hiyo hayo machapisho na majarida yaliyokuwa yanaelezea au kusapoti slave ni mpango wa kuficha ukweli juu ya free will determination ambayo ndo msingi pekee wa mwanadamu katika kuraise na kushunt back negative awareness ambayo inakufanya uwe mbali wa nguvu inayoshikilia kila kitu..

Nguvu inayoshukilia kila kitu haina upendeleo kwa anayejua kuitumia,ni kitendo cha kuiamuru fanya hiki kwa kufuata sheria na taratibu ( Universal laws) ambazo ndo zinaruhusu flow pathway ya nguvu hizo..

Kwa hiyo mataifa mengi Ulaya yalipeana elimu hii na chimbuko lake ni wapi na ni kwa jinsi gani unaweza unganisha mind ya mwanadamu na universe energy field kuwa kitu kimoja kinachofanya kazi kupitia human mind power..kwa sababu kila mtu hapa duniani yuko connected na universal grid kias cha kuifanya iruhusu flow ya knowlege kwako na kuitumia utakavyo..

Tunaposema kuwa kila mind ya kiumbe yoyote yule ipo indirectly connected na universal energy field( super concious mind) ambayo haina upendeleo na mtu yoyote, just kuiset mind yako( free your mind to get complete access to universal power).
View attachment 871709

Kwa hiyo mwanadamu ulipaswa kufahamu hili jambo tangu zamani lakini wachache wamekuzika ndani ya shimo refu kisha kukutia moshi wenye ukungu mweusi kiasi kwamba ni nguvu kujifahamu mwenyewe..

View attachment 871710

Ndo mana unaambiwa ufalme wa Mbingu upo katika ufahamu wako Luke 17:21.( The kingdom of God is within you) hapa akimanisha uwezo wa kuicontrol dunia kw akuiamuru ifanye jambo lolotr upo ndani yako wewe,ndo mana tunaona nchi zilizoendelea zikiishi maisha yanayostahiki..
change your mind,be connected to the source ,forget about keeping playing and seeking help from others,you are the slave to the knower..

tuendeleeee sasa...........

Baada ya mataifa mengi ulaya kugundua kuwa uwezo wote upo katika akili ya mwanadamu ila kinachohitajika ni meditation na kufunuliwa ukweli wote juu ya wapi tumetoka na tupo hapa kwa lengo gani ,basi elimu ya kufree mind iliendelea kutolewa kwa usiri mkubwa sanaambapo tayari mwanadamu alikuwa na uwezo wa kuconnect mind yake na universal energy ( hapa tunaongelea nguvu au source ya kukuweka wewe hapa duniani..) hivyo nchi nyingi ziliamua kuachana na habari za kutesana kifikra na hatimaye kaunza kuelimishana katika viunga ( Shule maalumu) .
..
Katika kipindi cha kutoa elimu hiyo kwa siri iliwafanya waanze kutafuta mataifa mengine ambayo yangepelekwa nchini kwao kwa ajili ya kuendeleza kufanya kazi ngumu ambazo zilikosa mtu wa kuzifanya make kila mtu alikuwa bize anafundishwa elimu tambuzi ya siri juu ya jinsi akili( mind) ya mwanadamu inavyoweza kufanya mambo mazito kama itakuwa connected katika high concious field area..

Hivyo kukapelekea Bara la Africa kuchukuliwa kama sehemu ya kupata labour power( utumwa) kwani ndo sehemu pekee ambapo watu wake walichelewa kupata elimu tambuzi..

Hivyo watu wengi walipelekwa south America( Brazil), North America( U.S.A) na baadhi wakipelekwa Uarabuni ..

Kumbuka mtumwa wa kwanza ni yule aliyekuwa karibu na yule anayekuwa amefahamu mapema elimu tambuzi,na ukiangalia kweli Mwarabu alikuwa mtu wa kwanza kupata taabu sanaa, kwani ndo mtu pekee ambaye alichukuliwa akafanye kazi ngumu huko Ulaya huku wazungu wakiendelea kupewa elimu tamu yenye mambo mazito kwa siri sana.

,Ndo mana ilikuwa ni marufuku kwa mzungu kusogeleana na mwarabu na ukionekana umesogeleana ulikuwa unapewa sumu au kupigwa risasi kwani ilikuwa ni siri kubwa sana kumhuruhusu mwarabu ajue ..

Hali hiyo iliendelea mpaka pale mwarabu alipopata ufahamu zaidi juu ya kinachoendelea na kuanza mbinu za kuibia mafundisho yale mpka pale aliposamehewa kwa sharti moja tu la kutakiwa awe agent wa kutafuta ndezi wengine ili wakamliplace huko ulaya ,,.
Ndipo alipoanza kumkamata Mwafrica na kumpeleka huko kwenye soko za Watumwa..

Biashara hii iliendelea kunoga kwani nchi nyingi zilikuwa bize kupeana elimu tambuzi huku Mwafrica akigeuka kuwa mashine mbadala huku wazungu wakiendelea kupata elimu tosha mpaka mpale transition period ilipoisha ambapo sasa kila ngozi nyeupe ilikuwa tayari ishapata mwanga mwingi juu ya kutengenezea mashine ambazo zitaenda kumsaidia mwanadamu kazi( Replacement of human power) ..

Lakini kipindi hiki kilienda sambamba na Industrial revolution ( Mapinduzi ya viwanda) ,kwani baada ya mzungu kujifungia akila elimu tosha ndipo group dogo la wazungu lilikuwa linabadilisha elimu ile aiu linaifanyia kazi elimu ile kwa kuunda mashine kisa kuifanyia kazi kwa kumtumia yule yule mwafrica kama source ya Kuandaaa maligafin (raw materiol)..

Uhuru kamili wa mwafrica
umekuja kupatikana baada ya super industrial revolution with machine to machine replacement ) uliokuja kumruhusu mwanadamu hasa ngozi nyeusi isiendelee kufanya kazi ngumu kwani tayari mashine zilikuwa na uwezo wa kuandaaa na kuprocess kila kitu bila msaada wa binadamu..

Conclusion........

Nahitimisha kwa kusema kuwa Bible,quran na majarida mengine yalichochea utumwa wa kifikra wa mwanadamu lakini utumwa uliokuwa unaelezewa ni free mind knowlege kwa wote lakini kutokana na upendo waliokuwa nao wenzetu walipeana elimu bila kufichana kuliko sisi ambao mpaka leo ukimwambia mtu kuwa Dini ni man made scriptures kwa lengo maalumu anakataa..

Free your mind ,you wana raise up conciousnes and ability to attain power to do anything..

Karibuni na wengine muendele..
Asante sana
 
Habari za jioni wana JF leo nina mada sensitive kidogo ila ni muhimu sisi waafrika tujifunze mambo haya ili tuweze kufahamu historia yetu na wapi tunaelekea ila nahitaji utulivu unaposoma ili ujifunze kitu na ningeomba pia tusikashifiane kidini maana sio lengo la uzi huu, nashukuru kwa ushirikiano wenu.

View attachment 871542UTANGULIZI
Tukirudi nyuma marekani mwaka 1619, ambapo ulikuwa mwanzo wa karne mbili za wanadamu wa jamii ya Negroid yaani ngozi nyeusi kutoka bara la Afrika kutumikishwa kwenye mashamba na makazi ya wazungu lakini cha kushangaza zaidi na kinachoumiza zaidi ni kwamba uhuni huu ulipewa support kubwa na viongozi wa dini na makanisa ya huko marekani sio tu madhabahuni bali pia madarasani.

Kwa mfano kati ya miaka 1700 mchungaji William Graham alikuwa anakaribishwa kwenye vyuo mbalimbali huko Washington hasa siku za mahafali ili kuwaeleza umuhimu wa biashara ya utumwa na mbaya zaidi alitumia biblia kuhalalisha hilo.
View attachment 871540
BIBLIA INASEMAJE??
TITO 2

9 Watumwa na wawatii bwana zao, wakiwapendeza katika mambo yote; wasiwe wenye kujibu,
10 wasiwe waibaji; bali wauonyeshe uaminifu mwema wote, ili wayapambe mafundisho ya Mwokozi wetu Mungu katika mambo yote.

EFESO 6:5
5 Enyi watumwa, watiini wao walio bwana zenu kwa jinsi ya mwili, kwa hofu na kutetemeka, kwa unyofu wa moyo, kana kwamba ni kumtii Kristo;

Walawi 25:44
44 Tena katika habari za watumwa wako na wajakazi wako, utakaokuwa nao; mataifa walio kando-kando yenu, katika hao mtanunua watumwa na wajakazi.
45 Tena katika wana wa wageni wakaao kati yenu mtajinunulia, na katika jamaa zao walio pamoja nanyi, waliowazaa katika nchi yenu; wao watakuwa milki yenu.

Kutoka 21:20
20 Mtu akimpiga mtumwa wake, au kijakazi chake, kwa fimbo, naye akifa mkononi mwake, hana budi ataadhibiwa.
21 Lakini akipona siku moja au mbili hataadhibiwa; maana, ni mali yake

SABATO
Hata wakati ukoloni ukichachamaa huko America Nabii wa kisabato Hellen G White alionyesha wazi kusupport ukoloni wa watu weusi kwa kutumia Biblia hata kwenye mkusanyiko wa maandiko yake yaliyoitwa selected messages (Book 2) Hellen alisema "Kusiwepo na muingiliano wa ndoa kati ya weupe na watu weusi". Na akaenda mbali zaidi na kusema watu weusi wasijaribu kujiweka daraja moja na weupe sababu wao ni watumwa hivyo kibiblia hawawezi kuwa level moja na Bwana wao (wazungu) hapa nanukuu kutoka kitabu cha Testimonies volume ya 9

"The Colored People should not urge that they be placed on an equality with White People."

View attachment 871541
UKATOLIKI
Wakatoliki nao hawakuwa nyuma kwenye kutumia biblia kuhalalisha ukoloni, tokea mwaka 1517, hata Askofu mmoja aitwaye Las Casas wa uingereza aliagiza meli yenye watumwa kutoka Afrika na ombi lake likakubaliwa na mfalme Charles wa 5. Kibaya zaidi hata mapadre wa kikatoliki maarufu kama Capuchin missionaries walifungiwa na kanisa katoliki baada ya kudai watumwa wapandishwe hadhi huko marekani. Hata waasisi wa mwanzo wa kaniasa kina St.Augustine kwenye maandiko yake alisema utumwa ni taasisi iliyotokana na Mungu hivyo ni faida kwa mtumwa na Bwana wake. Na hata uongozi wa juu kabisa wa kanisa yaani ofisi ya Papa walisupport utumwa mfano Papa Martin 1 mwaka 650 AD alitoa waraka kuagiza kutimuliwa kanisani kwa viongozi wowote watakaofundisha watumwa kujikomboa ama kupinga ukoloni?? Na mafundisho haya walitumia vifungu hivi vya Biblia kuhalalisha.

HOJA
1.Sasa basi mie najiuliza swali moja kama Mungu alituumba wote kwa usawa kwanini basi kuna wanadamu wanahesabika ni daraja la pili hadi aruhusu wauzwe na kununuliwa kama bidhaa na kuwa mali ya mtu milele?

2. Kama utumwa ni halali kibiblia je ina maana wote waliopinga utumwa na ubaguzi wa rangi hapa duniani wote wamefanya dhambi hivyo wataishia kuzimu?

3. Je msimamo wa kanisa wa sasa kupinga utumwa haukinzani na mafundisho ya biblia juu ya kuhalalisha biashara hii ambayo wanaiita haramu kwa sasa??

View attachment 871543
HITIMISHO
Huenda Biblia ilitumia muktadha wa kipindi hicho kuelezea suala hili la utumwa ila viongozi wa kanisa wakayatafsiri vibaya maandiko haya kwa maslahi yao ila ningependa tufahamishane kuhusu suala hili kama lina baraka za biblia kweli au viongozi wa kanisa walidanganya wao kama wao kwa sababu zao binafsi??

Naomba kuwasilisha

Mkuu elimu hii bila Shaka unayo Sasa kwanini usituandalie makara wa Africa wenzio ili nasi tuone Yale utakayo zikwa nayo siku ukifa pasipo MTU yeyote kujua?

Niombi langu kwamba Kama unajua vema juu ya haya yote Basi ungetuandalia makara ambayo itatu weka huru na huu ufungwa wa kifikra

Nina Imani Siri hizi zipo na wapo waafrica WANAO zijua na wamezifanya Siri na wanakufa nazo na kuziacha jamii zao zikiteseka

Kunafaida gani kufa nahizi Siri zenye msaada mkubwa kwa jamii zetu? Nina tumaini HUNA mda mwingine wa kuisaidia jamii yako zaidi ya huu ulio nao tunaomba makara mkuu tafadhari🙏🙏🙏🙏
 
Ushetani kabisa huu!
cereal3.jpg
 
Mkuu unachosema ni kweli kabisa na kuna mada nilifungua kuhusu hili swala la KJV kugundulika ina mistari mingi iliyoongezwa nafikiri ukipita huku utaona michango ya watu na maybe unaweza ridhika na majibu yao ingawa wengi waliishia kusema nakufuru na kwamba natumika na shetani!!

Siri iliyofichwa kuhusu BIBLIA - JamiiForums
tunahitaji mada kuntu Kama hizi mkuu nahuu ndiyo Uhuru wa kufikilia barikiwa
Habari za jioni wana JF leo nina mada sensitive kidogo ila ni muhimu sisi waafrika tujifunze mambo haya ili tuweze kufahamu historia yetu na wapi tunaelekea ila nahitaji utulivu unaposoma ili ujifunze kitu na ningeomba pia tusikashifiane kidini maana sio lengo la uzi huu, nashukuru kwa ushirikiano wenu.

View attachment 871542UTANGULIZI
Tukirudi nyuma marekani mwaka 1619, ambapo ulikuwa mwanzo wa karne mbili za wanadamu wa jamii ya Negroid yaani ngozi nyeusi kutoka bara la Afrika kutumikishwa kwenye mashamba na makazi ya wazungu lakini cha kushangaza zaidi na kinachoumiza zaidi ni kwamba uhuni huu ulipewa support kubwa na viongozi wa dini na makanisa ya huko marekani sio tu madhabahuni bali pia madarasani.

Kwa mfano kati ya miaka 1700 mchungaji William Graham alikuwa anakaribishwa kwenye vyuo mbalimbali huko Washington hasa siku za mahafali ili kuwaeleza umuhimu wa biashara ya utumwa na mbaya zaidi alitumia biblia kuhalalisha hilo.
View attachment 871540
BIBLIA INASEMAJE??
TITO 2

9 Watumwa na wawatii bwana zao, wakiwapendeza katika mambo yote; wasiwe wenye kujibu,
10 wasiwe waibaji; bali wauonyeshe uaminifu mwema wote, ili wayapambe mafundisho ya Mwokozi wetu Mungu katika mambo yote.

EFESO 6:5
5 Enyi watumwa, watiini wao walio bwana zenu kwa jinsi ya mwili, kwa hofu na kutetemeka, kwa unyofu wa moyo, kana kwamba ni kumtii Kristo;

Walawi 25:44
44 Tena katika habari za watumwa wako na wajakazi wako, utakaokuwa nao; mataifa walio kando-kando yenu, katika hao mtanunua watumwa na wajakazi.
45 Tena katika wana wa wageni wakaao kati yenu mtajinunulia, na katika jamaa zao walio pamoja nanyi, waliowazaa katika nchi yenu; wao watakuwa milki yenu.

Kutoka 21:20
20 Mtu akimpiga mtumwa wake, au kijakazi chake, kwa fimbo, naye akifa mkononi mwake, hana budi ataadhibiwa.
21 Lakini akipona siku moja au mbili hataadhibiwa; maana, ni mali yake

SABATO
Hata wakati ukoloni ukichachamaa huko America Nabii wa kisabato Hellen G White alionyesha wazi kusupport ukoloni wa watu weusi kwa kutumia Biblia hata kwenye mkusanyiko wa maandiko yake yaliyoitwa selected messages (Book 2) Hellen alisema "Kusiwepo na muingiliano wa ndoa kati ya weupe na watu weusi". Na akaenda mbali zaidi na kusema watu weusi wasijaribu kujiweka daraja moja na weupe sababu wao ni watumwa hivyo kibiblia hawawezi kuwa level moja na Bwana wao (wazungu) hapa nanukuu kutoka kitabu cha Testimonies volume ya 9

"The Colored People should not urge that they be placed on an equality with White People."

View attachment 871541
UKATOLIKI
Wakatoliki nao hawakuwa nyuma kwenye kutumia biblia kuhalalisha ukoloni, tokea mwaka 1517, hata Askofu mmoja aitwaye Las Casas wa uingereza aliagiza meli yenye watumwa kutoka Afrika na ombi lake likakubaliwa na mfalme Charles wa 5. Kibaya zaidi hata mapadre wa kikatoliki maarufu kama Capuchin missionaries walifungiwa na kanisa katoliki baada ya kudai watumwa wapandishwe hadhi huko marekani. Hata waasisi wa mwanzo wa kaniasa kina St.Augustine kwenye maandiko yake alisema utumwa ni taasisi iliyotokana na Mungu hivyo ni faida kwa mtumwa na Bwana wake. Na hata uongozi wa juu kabisa wa kanisa yaani ofisi ya Papa walisupport utumwa mfano Papa Martin 1 mwaka 650 AD alitoa waraka kuagiza kutimuliwa kanisani kwa viongozi wowote watakaofundisha watumwa kujikomboa ama kupinga ukoloni?? Na mafundisho haya walitumia vifungu hivi vya Biblia kuhalalisha.

HOJA
1.Sasa basi mie najiuliza swali moja kama Mungu alituumba wote kwa usawa kwanini basi kuna wanadamu wanahesabika ni daraja la pili hadi aruhusu wauzwe na kununuliwa kama bidhaa na kuwa mali ya mtu milele?

2. Kama utumwa ni halali kibiblia je ina maana wote waliopinga utumwa na ubaguzi wa rangi hapa duniani wote wamefanya dhambi hivyo wataishia kuzimu?

3. Je msimamo wa kanisa wa sasa kupinga utumwa haukinzani na mafundisho ya biblia juu ya kuhalalisha biashara hii ambayo wanaiita haramu kwa sasa??

View attachment 871543
HITIMISHO
Huenda Biblia ilitumia muktadha wa kipindi hicho kuelezea suala hili la utumwa ila viongozi wa kanisa wakayatafsiri vibaya maandiko haya kwa maslahi yao ila ningependa tufahamishane kuhusu suala hili kama lina baraka za biblia kweli au viongozi wa kanisa walidanganya wao kama wao kwa sababu zao binafsi??

Naomba kuwasilisha
Mkuu kupitia Uzi huu tutajua Siri nyingi Sana🥰🥰🥰
 
Back
Top Bottom