zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,065
- 28,712
- Thread starter
- #261
Sijaoengelea karatasi naongelea lugha,geography,siasa zote zimebase kwenye 6 century BC na ndio maana niliweka link mkasome documentary hypothesis ambayo wanatheolojia wengi credible wanakubali kuwa kitabu cha mwanzo kiliandikwa na watu 4 tofauti kwa gap ya miaka zaidi ya 400 ila naona wafia dini bado mnabishana na wasomi wa Biblia kisa tu mmekaririshwa kanisani kuwa Musa aliandika pentateuch nzimaWe jamaa kazi ya ma rabbi ilikuwa nini sasa?
Maandiko yanatunzwa kwa kuandikwa upya kila baada ya we unataka copy yenye maandiko ya mussa mwenyewe kweli wewe chenga
Pitia huu uzi wangu nimeongelea hilo swala
Je, Musa hakuandika kitabu cha Mwanzo?? - JamiiForums