Inferior Complex
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 3,655
- 5,008
popote pale unapotaja jina la YESU haijalishiMkuu umegusia jina la Yesu ningependa unisaidie jambo mfano Yesu kwa kiswahili ukienda nchi nyingine unakuta anaitwa Yashuah au uingereza utakuta ni JESUS.... Na kuna maeneo mengine duniani kama Asia Yesu au Jesus ina maana tofauti kabisa na wanatumia jina tofauti kumaanisha Yesu...
Sasa nachojiulizaga inayofanya kazi ni LILE jina la mwana wa Mungu tunalotaja kwa makabila Yetu au ni ile imani kichwani inayotengeneza connection kati ya sisi wanadamu na mwana wa Mungu (bila kujali anaitwa Yesu kiswahili au yashuah kiebrania)....
Naomba unisaidie ingawa nimetoka nje ya mada
unataja kwa kilugha au kwa kibongo
but mapepo yana Hali ya utambuzi
na jina la YESU NI fireee kweli kweli.
so mapepo yatatambua kuwa umemgusia YESU mwana wa MUNGU
kuna tofauti kubwa Kati ya YESU mwana wa Mungu na issa bint Maryam
dats Y? kwa waislamu hata ukisema kwa jina la issa bint Maryam Pepo hazitapata tabu sanaaa
but washa moto kwa kibwagizo cha jina la YESU KRISTO mwana wa Mungu aseee.
Ni sawa na kusema kwa damu ya YESU na kwa damu Ya issa
All in all Jina la YESU litaendelea kuwa Kubwa kuliko hata jina la Mtume (SAW)