tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 25,826
- 25,116
- Thread starter
- #41
Mambo ya kanisa yanaingiaje hapa mkuu? Wewe unafahamu miiili ya ndugu zetu ilipo tuchukue tukazike?Bibi katumwa na kanisa ,zile ramli za wachungaji wake kwamba Gwajima atakuwa Rais anaona zimeeenda hovyo...Kabaki anapiga domo na kuambiwa cha kusema