Bibi Tina wa Mwananyamala

Ungewatia vitasa. Hivi uchawi una faida gani?
Eti mshana jnr kwani wachawi wanafaidika nini na uchawi wao. Kuua watoto wao, kutembea usiku....huwa wanapata nini, na je ni kwa nini huwa hawaachi?
 
Yaani mimi ni siku moja tu nduki! Sidhani kama naweza kuvumilia vitimbi vyote hivi!
 
Ungewatia vitasa. Hivi uchawi una faida gani?
Eti mshana jnr kwani wachawi wanafaidika nini na uchawi wao. Kuua watoto wao, kutembea usiku....huwa wanapata nini, na je ni kwa nini huwa hawaachi?
Hawafaidiki na lolote basi tu.. Ni sawa na madawa ya kulevya.. Kutoka ni shida japo mtu anatamani kutoka
 
Alafu hajasema waliyamaliza vipi,,,nina wasiwasi mshana jr walimalizana kama bibi tina alivyokua anafanya kwa evarist lakini hii akawa live
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ungewatia vitasa. Hivi uchawi una faida gani?
Eti mshana jnr kwani wachawi wanafaidika nini na uchawi wao. Kuua watoto wao, kutembea usiku....huwa wanapata nini, na je ni kwa nini huwa hawaachi?
Nilikua chembamba enzi hizo hata nguvu za kutia mtu vitasa sina.

Ila nikagundua mchawi ukimchana live anakasirika na kuanza kuogopa.
 
Naomba kujua ina maana ukichoma UDI mchawi anateseka?..Mkojo wa janaba ndio ule mkojo ukitoka chapa dem ule unaofata au ukichapa usiku usiende oga lala ile asubuhi ndio mkojo huo!?..Mchawi hata Panga anaogopa kumbe!?.
 
bila kusahau kigogo yote wanga watupu
 
Naomba kujua ina maana ukichoma UDI mchawi anateseka?..Mkojo wa janaba ndio ule mkojo ukitoka chapa dem ule unaofata au ukichapa usiku usiende oga lala ile asubuhi ndio mkojo huo!?..Mchawi hata Panga anaogopa kumbe!?.
UDI unaalika nguvu nyingine za kiroho, mchawi hapendi,..., mkojo wa janaba ni uchafu unakinzana na nguvu za kichawi.. Mkojo wa janaba ni ule mkojo baada ya kufanya ngono.... Panga ukilipiga kwa ubapa ukutani linatoa sauti kubwa.. Wao kilichowastua ni sauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…