Bibi bwana.

Bibi bwana.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Tukiwa msibani kijijini eneo la makaburi,bibi mmoja akiwa kambeba mjukuu wake mgongoni alisikika akilia kwa uchungu;'jamani huyu kijana kafa bado mdogo kabisa,inatia uchungu sana,bora ningekufa mimi mzee nimeyafaidi maisha kiasi cha kutosha'.Akiwa katikati ya kilio chake,mara ghafla nyoka toka mtini akamdondokea mtoto mgongoni kwa bibi.Bibi alimfungua mtoto fasta na kumtupa chini,akatoka mbio kama caster semenya huku akipiga mayowe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom