Bibi aliyeshinda bingo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bibi aliyeshinda bingo

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Kamaka, Aug 2, 2010.

 1. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  BIBI MMOJA ALISHINDA BINGO (milioni 100)KUTOKANA NA HALI YAKE KUDHOOFU(UGONJWA WA MOYO) BINTI ZAKE WALISHAURIANA JINSI YA KUMPA TAARIFA ,WAKAFIKIA UAMUZI WA KUMPA MAJUKUMU HAYO DAKTARI WAKE ,NAYE MARA MOJA AKAFIKA NA KUMWELEZA BIBI MAONGEZI YAO YAKAWA YAFUATAYO:DK:BIBI UNAENDELEAJE?DAKTARI: NAENDELEA VIZURIDK: HIVI BIBI UKIPATA MILIONI 100 SASA HIVI UTAZIFANYIA NINI?BIBI: HAKI YA MUNGU MWANANGU NIKIZIPATA HIZO PESA ,NTAKUPA ZOTE.Daktari alianguka kwa mshtuko na kufa papo hapo.!!!!!!!!!
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Tusubiri msururu wa wafu watarajiwa
   
 3. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  :smile-big:
   
Loading...