mjukuum
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 5,257
- 2,849
Umeishiwa hoja umeanza kutafuta pa kutokea hatuko mahakamani Mkuu kuwa hurj tuFata ethics za uandishi.... SBB ndo nn!?..
Umeishiwa hoja umeanza kutafuta pa kutokea hatuko mahakamani Mkuu kuwa hurj tuFata ethics za uandishi.... SBB ndo nn!?..
Sijakataa kama anapendwa!!Dadavua! Sio matukio ni upendo wa dhati,
Toa hoja... acha porojo,
Sio Tanzania ni Africa mashariki na baadhi ya nchi za SADC wanategemea sana soko la kariakooBiashara zimesimama kariakoo..
Hivi unajua ni kwa jinsi gan kariakoo inategemewa hapa nchini...
Amesema Mungu ilo la Miungu umelisema wewe.Miungu wapo wengi
Salaam Comrades,
Katika hali isiyo ya kawaida leo tarehe 25.1.2017 biashara zimesimama kwa muda wa saa kadhaa.
Leo ndo mradi wa mabasi ya haraka unazinduliwa na Mh.Rais, kinachotokea muda huu Wamachinga kwa moyo mmoja asilimia kubwa wameacha fanya biashara zao na kwenda kumlaki kipenzi cha wanyongwe Mh. Rais Dr Magufuli na hii haijawai tokea kwakweli.
Nawasikia wanazungumza kuwa Mh. Rais ni kipenzi cha wanyonge na anatekeleza ilani kwa vitendo... na anasimamia ile dhima ya chama Binadamu wote sawa na kila mtu lazima afurahie mafanikio ya nchi yake.
Nimekubali Mh. Rais anapendwa had wamachinga wote wameacha biashara kwenda tu kumshangilia. Tanzania mpya naiona kwa kweli.
Ahsante Mh. Rais... Tuna imani nawe na tunakupenda na kukuombea Mpendwa wetu. Live long.
Magufuli ni chaguo la Mungu.
Kwenye uchaguzi wa juzi hao wapinzani uchwara wameambulia kata mojaOooh my God this is ridiculous watu wanaongea utadhani hawako Tanzania!! Unafikiri uchaguzi ukifanyika now huyu aliyepo atapita??
Mtu anapeleka hela yote central government wakati hakuna production ya maana inayoendelea ili bidhaa zishuke bei, wakati huo huo kodi ya importation inapandishwa, then what do you expect?? And then you come out and praise him?! Dont be scum
Tena atashinda kwa zaidi ya 80%.
Amini mkuu.
kwa sasa asilimia kubwa ya wapiga kura wanaangalia mtu na sio chama anacho toka.
chaguo Mungu linatoaga maneno kama Mwafwaaa??Magufuli ni chaguo la Mungu.
Kati ya wapiga kura 10,binadamu ni 3 na watu ni 7 hivyo sishangai sana.Cc: Salary Slip Chakaza Mmawia The Boss njoeni muone mahaba mwanana kwa kipenzi chetu sote!
Kunyweni maji mengi ili kukata hangover ya kipigo cha tarehe 22!
Maana wengi mmepotea humu!
Ukichaguliwa na Mungu unakufa, ndiposa tunasema "Mungu amempenda zaidi"Vitendo vinaonesha...