yekini
Senior Member
- Jan 11, 2015
- 144
- 91
Salaam Comrades,
Katika hali isiyo ya kawaida leo tarehe 25.1.2017 biashara zimesimama kwa muda wa saa kadhaa.
Leo ndo mradi wa mabasi ya haraka unazinduliwa na Mh.Rais, kinachotokea muda huu Wamachinga kwa moyo mmoja asilimia kubwa wameacha fanya biashara zao na kwenda kumlaki kipenzi cha wanyongwe Mh. Rais Dr Magufuli na hii haijawai tokea kwakweli.
Nawasikia wanazungumza kuwa Mh. Rais ni kipenzi cha wanyonge na anatekeleza ilani kwa vitendo... na anasimamia ile dhima ya chama Binadamu wote sawa na kila mtu lazima afurahie mafanikio ya nchi yake.
Nimekubali Mh. Rais anapendwa had wamachinga wote wameacha biashara kwenda tu kumshangilia. Tanzania mpya naiona kwa kweli.
Ahsante Mh. Rais... Tuna imani nawe na tunakupenda na kukuombea Mpendwa wetu. Live long.