Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 26,800
- 38,836
21-1Hapana, huyu Mungu wa Chato akitoka katika mipaka yake anaabudiwa pia na idadi ndogo ya watu wa Chamwino na Lumumba.
21-1Hapana, huyu Mungu wa Chato akitoka katika mipaka yake anaabudiwa pia na idadi ndogo ya watu wa Chamwino na Lumumba.
Mkuu, huo mkubwa ndo atashinda kwa kishindo amini maneno yangu... Dalili imeoneshwa kwa uchaguzi mdogo kuonesha jins watu walivyo na imani na chama chao...Oooh my God this is ridiculous watu wanaongea utadhani hawako Tanzania!! Unafikiri uchaguzi ukifanyika now huyu aliyepo atapita??
Mtu anapeleka hela yote central government wakati hakuna production ya maana inayoendelea ili bidhaa zishuke bei, wakati huo huo kodi ya importation inapandishwa, then what do you expect?? And then you come out and praise him?! Dont be scum
Salaam Comrades,
Katika hali isiyo ya kawaida leo tarehe 25.1.2017 biashara zimesimama kwa muda wa saa kadhaa.
Leo ndo mradi wa mabasi ya haraka unazinduliwa na Mh.Rais, kinachotokea muda huu Wamachinga kwa moyo mmoja asilimia kubwa wameacha fanya biashara zao na kwenda kumlaki kipenzi cha wanyongwe Mh. Rais Dr Magufuli na hii haijawai tokea kwakweli.
Nawasikia wanazungumza kuwa Mh. Rais ni kipenzi cha wanyonge na anatekeleza ilani kwa vitendo... na anasimamia ile dhima ya chama Binadamu wote sawa na kila mtu lazima afurahie mafanikio ya nchi yake.
Nimekubali Mh. Rais anapendwa had wamachinga wote wameacha biashara kwenda tu kumshangilia. Tanzania mpya naiona kwa kweli.
Ahsante Mh. Rais... Tuna imani nawe na tunakupenda na kukuombea Mpendwa wetu. Live long.
We una yako Mkuu, hali halisi inaonesha, uko maeneo gani wewe!?..
machinga hawatoi risiti lkn wanalipa kodi kwa mfumo mwingne uliowekwa kisheria [HASHTAG]#kaka[/HASHTAG] steveHivi Machinga wanatoa Risiti?
Sehemu nyingine tujifunze tu kunyamaza.
Magufuli ni chaguo la Mungu.[/QUOT
hapana mngefanya weekend nimekwazika sana leoPole... sio foleni endelevu, mana watembea kwa miguu nao lazima tuwaangalie mana wengi wanavuka kumkimbilia Mh. Rais kumsikilza ndo mana. Kipenzi Chetu Mh. Rais
huo ndo utanzania unaotakiwa [HASHTAG]#stella[/HASHTAG] kwan hata wazee wetu walitembea zaman umbali mrefu sana cha msingi unavyotembea uwe unajifunza mambo na changamoto mbali mbali unazokutana nazo njiani ili iwe chachu ya mafanikio yako sisterHapa miguu inaniuma nimetembea kwa miguu toka mivinje to kariakoo shida tupu