Nae Mpenda sifa tu kila se hem yeye tu huwezi kuwa na nchi boraKwanza kuna ufisadi hapo hawarudishi chanji watu wanalalamika sana chanji zao kubaki hapo..........
Mungu wa udogo sawaMagufuli ni chaguo la Mungu.
SawaIla tutafika na serikali yetu sikivu...
Usidhubutu kuufanya ukweli wako uwe kwa kila mtuKwenye ukweli tujifunze kukubali Watanzania wenzangu,
LONG MAY HE REIGN JPJMSalaam Comrades,
Katika hali isiyo ya kawaida leo tarehe 25.1.2017 biashara zimesimama kwa muda wa saa kadhaa.
Leo ndo mradi wa mabasi ya haraka unazinduliwa na Mh.Rais, kinachotokea muda huu Wamachinga kwa moyo mmoja asilimia kubwa wameacha fanya biashara zao na kwenda kumlaki kipenzi cha wanyongwe Mh. Rais Dr Magufuli na hii haijawai tokea kwakweli.
Nawasikia wanazungumza kuwa Mh. Rais ni kipenzi cha wanyonge na anatekeleza ilani kwa vitendo... na anasimamia ile dhima ya chama Binadamu wote sawa na kila mtu lazima afurahie mafanikio ya nchi yake.
Nimekubali Mh. Rais anapendwa had wamachinga wote wameacha biashara kwenda tu kumshangilia. Tanzania mpya naiona kwa kweli.
Ahsante Mh. Rais... Tuna imani nawe na tunakupenda na kukuombea Mpendwa wetu. Live long.
Uko wapi wewe sasa hivi na ubora wake baba jescar huwezi kuwa kwa machinga pekee wakati watu wanakufa njaa huko machinga wanashangilia kwa SBB aliruhusu kufanya biashara kila wanapotaka bila kufuata utaratibu sijui kama unajuahata kama jambo liko wazi!? Yanini kuongopa?
Fata ethics za uandishi.... SBB ndo nn!?..Uko wapi wewe sasa hivi na ubora wake baba jescar huwezi kuwa kwa machinga pekee wakati watu wanakufa njaa huko machinga wanashangilia kwa SBB aliruhusu kufanya biashara kila wanapotaka bila kufuata utaratibu sijui kama unajua