Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,692
Nani chaguo la shetani?Magufuli ni chaguo la Mungu.
Nani chaguo la shetani?Magufuli ni chaguo la Mungu.
[emoji87] [emoji85] [emoji188] [emoji188] [emoji188] [emoji188]Magufuli ni chaguo la Mungu.
Miungu wapo wengi
Kama wew ni Mungu basi ni chaguo lakoMagufuli ni chaguo la Mungu.
Kabla ya uchaguzi mdogo mlisema hivyo hivyo.Oooh my God this is ridiculous watu wanaongea utadhani hawako Tanzania!! Unafikiri uchaguzi ukifanyika now huyu aliyepo atapita??
Mtu anapeleka hela yote central government wakati hakuna production ya maana inayoendelea ili bidhaa zishuke bei, wakati huo huo kodi ya importation inapandishwa, then what do you expect?? And then you come out and praise him?! Dont be scum
Miungu wapo wengi
Salaam Comrades,
Katika hali isiyo ya kawaida leo tarehe 25.1.2017 biashara zimesimama kwa muda wa saa kadhaa.
Leo ndo mradi wa mabasi ya haraka unazinduliwa na Mh.Rais, kinachotokea muda huu Wamachinga kwa moyo mmoja asilimia kubwa wameacha fanya biashara zao na kwenda kumlaki kipenzi cha wanyongwe Mh. Rais Dr Magufuli na hii haijawai tokea kwakweli.
Nawasikia wanazungumza kuwa Mh. Rais ni kipenzi cha wanyonge na anatekeleza ilani kwa vitendo... na anasimamia ile dhima ya chama Binadamu wote sawa na kila mtu lazima afurahie mafanikio ya nchi yake.
Nimekubali Mh. Rais anapendwa had wamachinga wote wameacha biashara kwenda tu kumshangilia. Tanzania mpya naiona kwa kweli.
Ahsante Mh. Rais... Tuna imani nawe na tunakupenda na kukuombea Mpendwa wetu. Live long.
Kama ndio huyo Mungu aliemuinua huyu unaemzungumzia, kuna uwezekano mkubwa watanzania tutakuwa tumepewa jaribu la kutest imani yetu.Naamini wamuaminio Mungu wa kweli ni wengi kuliko wasio amini, kwahiyo tutalishinda jaribu hili.Mungu aliye hai, Mungu wa Miungu,
the God of Abraham, and the God of Isaac, and the God ofJacob'? He is not God of the dead, but of the living.”
Yap, Mh. Magufuli ni chaguo la Mungu..100%
mungu yupi mana hata Shetani nae anajiita munguMagufuli ni chaguo la Mungu.
Hata bomu likilipuka watu huwa wanaacha biashara kwenda kwenye tukio kuangalia ni kitu gani kimetokea bila ya kujali kuwa bomu linaua.Salaam Comrades,
Katika hali isiyo ya kawaida leo tarehe 25.1.2017 biashara zimesimama kwa muda wa saa kadhaa.
Leo ndo mradi wa mabasi ya haraka unazinduliwa na Mh.Rais, kinachotokea muda huu Wamachinga kwa moyo mmoja asilimia kubwa wameacha fanya biashara zao na kwenda kumlaki kipenzi cha wanyongwe Mh. Rais Dr Magufuli na hii haijawai tokea kwakweli.
Nawasikia wanazungumza kuwa Mh. Rais ni kipenzi cha wanyonge na anatekeleza ilani kwa vitendo... na anasimamia ile dhima ya chama Binadamu wote sawa na kila mtu lazima afurahie mafanikio ya nchi yake.
Nimekubali Mh. Rais anapendwa had wamachinga wote wameacha biashara kwenda tu kumshangilia. Tanzania mpya naiona kwa kweli.
Ahsante Mh. Rais... Tuna imani nawe na tunakupenda na kukuombea Mpendwa wetu. Live long.
chaguo la mungu kuwaambia watu kuwa. wabebe msalaba wao wenyewe. we jinga kwlMagufuli ni chaguo la Mungu.