Return2roots
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 874
- 438
We kalia ujoni kisomo wako, kiingereza kiiingi, kireeefu, lkn ukija uchaguzi, tufanze, hata magufuli aende ukawa ukafanyika uchaguzi wa raisi wa ukawa, ujue huyo mamvi na mwingine yeyote atakaejitokeza, atabakia na manundu kwenye uso wake wa kisiasa. ..Oooh my God this is ridiculous watu wanaongea utadhani hawako Tanzania!! Unafikiri uchaguzi ukifanyika now huyu aliyepo atapita??
Mtu anapeleka hela yote central government wakati hakuna production ya maana inayoendelea ili bidhaa zishuke bei, wakati huo huo kodi ya importation inapandishwa, then what do you expect?? And then you come out and praise him?! Dont be scum