imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,432
Mbona wana wa israeli hawafiUkichaguliwa na Mungu unakufa, ndiposa tunasema "Mungu amempenda zaidi"
Mbona wana wa israeli hawafiUkichaguliwa na Mungu unakufa, ndiposa tunasema "Mungu amempenda zaidi"
Najua itakuwa mitaa ya gerezani.......Kariakoo hipi hiyo? Mbona hii kariakoo niliyopo biashara zinaendelea kama kawaida.
Ndio wapo! wengi tu,prof lipumba,cheyo,Hashim rungwe spunda,kasambala,Kuna wapinzani bado wanategemea Kushika Nchi...
UMEONGEA LA MAANA DADA YANGUSehemu nyingine tujifunze tu kunyamaza.
Tumempenda wenyewe,chaguo letu wenyewe,wajanja wataendelea kuisoma namba,Mungu mbariki Rais wetu.AmenSalaam Comrades,
Katika hali isiyo ya kawaida leo tarehe 25.1.2017 biashara zimesimama kwa muda wa saa kadhaa.
Leo ndo mradi wa mabasi ya haraka unazinduliwa na Mh.Rais, kinachotokea muda huu Wamachinga kwa moyo mmoja asilimia kubwa wameacha fanya biashara zao na kwenda kumlaki kipenzi cha wanyongwe Mh. Rais Dr Magufuli na hii haijawai tokea kwakweli.
Nawasikia wanazungumza kuwa Mh. Rais ni kipenzi cha wanyonge na anatekeleza ilani kwa vitendo... na anasimamia ile dhima ya chama Binadamu wote sawa na kila mtu lazima afurahie mafanikio ya nchi yake.
Nimekubali Mh. Rais anapendwa had wamachinga wote wameacha biashara kwenda tu kumshangilia. Tanzania mpya naiona kwa kweli.
Ahsante Mh. Rais... Tuna imani nawe na tunakupenda na kukuombea Mpendwa wetu. Live long.
Acha Uongo na Kupotosha watu wewe..Salaam Comrades,

Hamia nchi jirani kama kenya au Gambia ambako bado nafasi ya kupiga dili ipo, kwa hapa tz hilo jambo halipo tena ndiyo maana inakuchanganyaHii nchi inanichanganya sana
Sielewi kabisa
Tifauti ipo kwenye kuteuliwa na kuchaguliwa.Mbona wana wa israeli hawafi
Oooh my God this is ridiculous watu wanaongea utadhani hawako Tanzania!! Unafikiri uchaguzi ukifanyika now huyu aliyepo atapita??
Mtu anapeleka hela yote central government wakati hakuna production ya maana inayoendelea ili bidhaa zishuke bei, wakati huo huo kodi ya importation inapandishwa, then what do you expect?? And then you come out and praise him?! Dont be scum
Kasome Mithali 28 mstari wa 16 kwanza alafu urudiAmesema Mungu ilo la Miungu umelisema wewe.
Akutukanae hakuchagulii tusi .Magufuli ni chaguo la Mungu.
Hujaelewa kwanini nimesema siielewi kwa mahaba uliyonayo umekuja mbio mbio kukoment.Hamia nchi jirani kama kenya au Gambia ambako bado nafasi ya kupiga dili ipo, kwa hapa tz hilo jambo halipo tena ndiyo maana inakuchanganya