Biashara zangu 5 za wakati wote kwa hapa Dar es Salaam

Boss hizo ni intro za biashara tu ila kuna biashara nyingi sana za kufanya

sehemu za kufanyia biashara si lazima pembezoni mwa barabara,Fungua akili Mkuu.
Sasa nina mtaji kama wa laki mbilii hivii
 
Nyumba unaweza kununua nguo ya 2000 ukaiza elf 8,ya 500 ukaiuza 2000 kwa hiyo
 
Mtu anakaa mwezi mzima ndio aje tena upate hiyo elfu mbili, hii haina mzunguko mkubwa,hizo nyingine sawa......

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Kwani gas unamuuzia mteja mmoja tu? Elfu mbili mbona Kubwa sana Mkuu

Mimi Gas Point zangu mitungi midogo nachukua faida ya BUKU tu,na nalaza

Faida sio chini ya 100k kwa hizo buku buku unazozichukulia Poa, Usichukulie Poa Buku Arif...

Kuna mtu anaweka Faida ya Jero na Anakuzidi wewe faida unaepata Kitu kimoja 5000 (faida)

Kuna mwingine anakuzidi faida na biashara yake vitu vyake faida ni 100-500 wewe mwenye

vitu unauza kimoja faida unakunja 50,000 usikute Moto wa huyo jamaa,Biashara ni Mahesabu Boss.
 
upate hiyo elfu mbili
Calculate ningekua napata hiyo elfu mbili uliyoandika ningekua nakusanya kiasi gani per day?

siwezi pandisha bei kuweka buku mbili maana nitakimbiza wateja na sitaki kuuza sura na mitungi

wakati naweza pata Buku chap chap,kufika usiku mida nafunga hesabu yangu huwezi kuta wewe Boss...

Hiyo n hesabu ya mitungi midogo ya faida buku buku,hatujaja kwenye size ya kati (15kg) na ile baba Lao 48kg oryx au 38kg (Mihan) au 40kg (manjis).

Tukipiga Total Per day nadhani utaelewa kwanini nimeiweka GAS kama Biashara zangu BORA za wakati wote hapa DAR.
 
Kwani gas unamuuzia mteja mmoja tu? Elfu mbili mbona Kubwa sana Mkuu

Mimi Gas Point zangu mitungi midogo nachukua faida ya BUKU tu,na nalaza

Faida sio chini ya 100k kwa hizo buku buku unazozichukulia Poa, Usichukulie Poa Buku Arif...

Kuna mtu anaweka Faida ya Jero na Anakuzidi wewe faida unaepata Kitu kimoja 5000 (faida)

Kuna mwingine anakuzidi faida na biashara yake vitu vyake faida ni 100-500 wewe mwenye

vitu unauza kimoja faida unakunja 50,000 usikute Moto wa huyo jamaa,Biashara ni Mahesabu Boss.
Watu wengi hii biashara ya gesi hawaielewi inafanyikaje
 
Naomba kujua budget ya kuanzisha biashara ya vinywaji kwa jumla.
1. Maji yote
2. Juice zote
3. Soda zote
4. Vinywaji vikali baadhi
 
Back
Top Bottom