franktemu123
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 1,400
- 1,451
6kgs=12,000Gesi ndogo wanauzaje bei ya jumla na bei ya dukani wanauzaje.
6kgs=12,000Gesi ndogo wanauzaje bei ya jumla na bei ya dukani wanauzaje.
Sawa Dada Mimi nasubiri amri yako tu unipe, nianze kutafuta shamba lako komkongaviungo vya chai was my first business nilipata tenda kubwa sana ila sikuwa na ujuzi wa kutosha ikaniponyoka
hii kitu ipo kwenye mafile yangu nitaiweka kwenye namna ya kipekee mno next year nikijaliwa uzima nitakuja nayo ikiwa kamili.
nitaanzia shamba mpaka kwa mlaji .. wakuu msiogope kujaribu vitu vidogo vidogo vina faida ndogondogo ambayo ukiikusanya unapata kubwa.
NITUMIE NO YAKO KESHO NAJASawa Dada Mimi nasubiri amri yako tu unipe, nianze kutafuta shamba lako komkonga
I will call you, usijali.NITUMIE NO YAKO KESHO NAJA
Mtaji wa hiyo biashara plzWakala wa kubet pia ni biashara nzuri. Ukipata eneo lenye mzunguko wa vijana wengi especially bodaboda. Posibility ya kupiga commission ndefu ni kubwa.
Hahahaha we jamaa sio nifike chalinze simu yako isipatikane 😂Nyumbani kumenoga
Duuuu...kutoka 16,000/= mpaka 23,000/=???Jumla
Mihan/Taifa = 16,000
Oryx = 16,500
Hii ni Bei ya Kubadilisha...
Naomba abc hapa......Wakala wa kubet pia ni biashara nzuri. Ukipata eneo lenye mzunguko wa vijana wengi especially bodaboda. Posibility ya kupiga commission ndefu ni kubwa.
Ila wewe jamani.Pia Kuna biashara ya kanisa inalipa Sana.
Biashara ya uganga wa kienyeji
Biashara ya danguro lazima utoboe
Jamaa nomaIla wewe jamani.
Controla kuhusu biashara ya majiko ,vinu napata shida kidogo maana sasa hv wenye vibiashara vidogo hawatakiwii pembezoni mwa barabara sasa hapo sisi wenye mitaji tyu sijui inakuwajeNi hatari sanaaa,Mama anafungua nchi
Boss hizo ni intro za biashara tu ila kuna biashara nyingi sana za kufanyaControla kuhusu biashara ya majiko ,vinu napata shida kidogo maana sasa hv wenye vibiashara vidogo hawatakiwii pembezoni mwa barabara sasa hapo sisi wenye mitaji tyu sijui inakuwaje
Pia ni pm unipatie namba yako bro nipate mengi zaidiii plz