Biashara zangu 5 za wakati wote kwa hapa Dar es Salaam

Viungo vya chai was my first business nilipata tenda kubwa sana ila sikuwa na ujuzi wa kutosha ikaniponyoka

Hii kitu ipo kwenye mafile yangu nitaiweka kwenye namna ya kipekee mno next year nikijaliwa uzima nitakuja nayo ikiwa kamili.

Nitaanzia shamba mpaka kwa mlaji .. wakuu msiogope kujaribu vitu vidogo vidogo vina faida ndogondogo ambayo ukiikusanya unapata kubwa.
 
viungo vya chai was my first business nilipata tenda kubwa sana ila sikuwa na ujuzi wa kutosha ikaniponyoka

hii kitu ipo kwenye mafile yangu nitaiweka kwenye namna ya kipekee mno next year nikijaliwa uzima nitakuja nayo ikiwa kamili.

nitaanzia shamba mpaka kwa mlaji .. wakuu msiogope kujaribu vitu vidogo vidogo vina faida ndogondogo ambayo ukiikusanya unapata kubwa.
Sawa Dada Mimi nasubiri amri yako tu unipe, nianze kutafuta shamba lako komkonga
 
Nimeielewa sana hiyo biashara ya vinywaji mkuu. Ukiwa na vinywaji pendwa vyote basi unapiga ela nzuri hasa ukiwa eneo lenye pilikapilika nyingi.
 
Ni hatari sanaaa,Mama anafungua nchi
Controla kuhusu biashara ya majiko ,vinu napata shida kidogo maana sasa hv wenye vibiashara vidogo hawatakiwii pembezoni mwa barabara sasa hapo sisi wenye mitaji tyu sijui inakuwaje

Pia ni pm unipatie namba yako bro nipate mengi zaidiii plz
 
Controla kuhusu biashara ya majiko ,vinu napata shida kidogo maana sasa hv wenye vibiashara vidogo hawatakiwii pembezoni mwa barabara sasa hapo sisi wenye mitaji tyu sijui inakuwaje

Pia ni pm unipatie namba yako bro nipate mengi zaidiii plz
Boss hizo ni intro za biashara tu ila kuna biashara nyingi sana za kufanya

sehemu za kufanyia biashara si lazima pembezoni mwa barabara,Fungua akili Mkuu.
 
Back
Top Bottom