dudupori
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 1,795
- 1,923
We manengelo mbona umekomalia sana binti atakua mpigaji? Yawezekana kama mdau mmoja alivyosema binti akawa na makosa ya kutoa au kutuma miamala kwa usahihi, umakini tu unahitajika kwenye hizi kazi...
Hakuna Cha kujuanhesabu Wala nini...bibie anazipiga..akitaka aamini akamkabidhi polisi..within a min ataitwa na polisi kupewa jibu...khaaa Ila watu wazito hapa duniani