Biashara ya Uwakala na upotevu wa pesa

Biashara ya Uwakala na upotevu wa pesa

[emoji813][emoji813][emoji813] Unaandikaga kwa kucement vyema Sana...Kuna sauti anayoitaka yeye ..sio advices...
Mkuu ni kweli biashara nyingi Sana zimefungwa..lakini apart kusinhizia Hali yetu ya uchumi % kubwa Sana ya wafanyabiashara/wajasiriamali wa kitz hatupo serious ..yaan nadhani ndo asili yetu ..walioamua kujinasua ndo hao unawaona wanapiga hatua..
Cheki huu Uzi had unawaza hivi tuko serious kweli na biashara??? Mtu analalamika ameibiwa zaidi ya 600k lakini amerelax akisubiria miujiza ...mtu unaibiwa daily hela hushtuki .unaanza tupia nyanya sijui limao dah[emoji1732][emoji1732]!

Jamani biashara ni Kama dini....ifateni misingi yake. Be honest wapi unafeli...mbona utaona kaunafuu!! Way back 15yrs dingi alikua ananicrush mno mno nikimwambia nataka kuwa successful ..alikua ananiambia kitu kimoja ambacho Sasa hv napanbana nacho mnoo...
Alikua anasema huez kufanikiwa Kama utaendelea kuwa mzembe .unaacha hela popote tu mradi umeweka..nilikua namchukiaaaa.lakini Sasa hivi namwelewa Sana... Biashara sio mziki kusema utabadilisha steps utakapotaka wewe. Biashara ni maagano na dhamira yako unataka kufika wapi... Nadhan mitaji ya kupewa inatufanya tuone dunia ni rahisi tu ..! Yaani tupo tu hatujuelewi ..hizo droo zitawekwa mkaa ,limao..ndimu..majibu..chumvi, mapumba,mashudu lakininusipoamua kusimama na kuwa makini utajikuta kila mwaka umerudi kwenye zero...unalaumu kila mtu..serikali,Hali ya hewa,wateja,frame mbaya,etc etc..kumbe shida ni wewe mwenyewe KIMEO![emoji1732]
Unamaanisha pesa ziwekwe wapi?
 
Habari Wanajamvi

Naomba mnisaidie jambo moja kwa watu wenye uelewa na hili swala la mambo ya wakala wa huduma za kifedha katika mitandao ya simu na huduma za Kibank.Mimi nafanya huduma hizi jambo linalonisumbua wanajamvi ni upotevu wa pesa .kwamfano nina mtaji wa M20 nazungushia pesa hizo katika wakala huduma za kibenk na mitandao ya simu .

Kutoa na kuweka pesa sasa kila ninapofunga hesabu lazima nikute pesa pungufu Mara elf 20, 18, 30, 40, juzi nimepata loss ya laki 3. Wanajamvi nashindwa kuelewa shida inakua ni nini najitahidi kuwa makini kwa kila muamala lakini.

Bado hali ni hiyo hiyo naomba mnisadie hata mbinu au mawazo maana sijui tatizo linakua wap kwa wenye uelewa nipeni mbinu yakutokupata hasara za mara kwa mara
Biashara kichaa hiyo,matapeli ,majambazi na ma chuma ulete yote yako sambamba na wewe
 
Si mnapata statement ..weka utaratibu wa kuandika unachopata na kutoa

Mfanoo...andika (DR) zote ulizotoa..ulizolipa cash

Kisha (CR) kwa ulizo ingiza (pokea)

Uwe na daftali

Baadaye piga hesabu ya toatl kwa kila muamala utajua kosa lipo wapi...badaye unavuta statement ya siku utaona makosa yako na kama umelipa vibaya utaona
Ushauri mzuri huu
 
Kwa miamala ya kibank wateja huwa nawajazia fomu za bank husika nabaki na copy na miamala ya simu huwa siandikishi ....nakua makini kwa kila hatua ya kufanya muamala napesa cash mtu anapotoa lakini nikipiga hesabu jioni hasara inakuwa ipo
Mali bila Daftari, Hupotea bila Habari.....
 
Chuma ulete is real, Kuna mjomba wangu wamemfirisi vibaya. Alikuwa na duka lenye thamani zaidi ya m9, sasahivi thamani haifiki mil2
 
Hakuna Cha kujuanhesabu Wala nini...bibie anazipiga..akitaka aamini akamkabidhi polisi..within a min ataitwa na polisi kupewa jibu...khaaa Ila watu wazito hapa duniani
Mbona ni rahisi sana kujua kama binti anapiga au hapigi. Atenge wiki moja / siku 7 ampe binti likizo alaf akae mwenyewe ofsin.
Atapata majibu kama loss inasababishwa na binti au la.
Malyakishu umesikia?
 
Kwa miamala ya kibank wateja huwa nawajazia fomu za bank husika nabaki na copy na miamala ya simu huwa siandikishi ....nakua makini kwa kila hatua ya kufanya muamala napesa cash mtu anapotoa lakini nikipiga hesabu jioni hasara inakuwa ipo

Angalia kwa wateja unaowapa cash nshawah kuzidishiwa ef 10 nikamrudishia pesa yake ingawa nilikua na uwezo wa kukausha
 
Anza na washirika wako ktk utendaji, Kama upo na wengne unafanya nao kazi , badili password zote na mpya zijue ww tyu then chunguza walau kwa siku 3 had week
 
Hahahaha umenikumbusha kuna jamaa yangu mmoja hivi anaamini sana katika chuma ulete. pesa ikionekana ku miss moja kwa moja jamaa anajua wazee wa street wamepita nayo

Huyo jamaa alikua hana masihara kwenye swala la hela nakumbuka alimfata mzee mmoja hivi anauza madawa ya asili Kuomba ushauri kudhibiti hiyo kero ya upotevu wa hela

Mzee akamuambia weka mikaa kwenye droo yako ya pesa kisha ukipokea hela kwa mteja iweke chini kisha ikanyage na mguu ndio uiweke kwenye droo ikapigwe msasa na mkaa.

Mzee akamuambia ila kuna njia nyingine ambayo ni bora zaidi na iko very secure kukulinda na chuma ulete ila tatizo moja tu inapingana na itikadi zako

Jamaa akauliza ipi hiyo, yule docta akamwambia ni kuweka mifupa ya nguruwe kwenye droo unapo hifazia pesa zako. Ukiweka mifupa hata mamluki waje na magnetic ya kichawi hawanasi kitu

Jamaa hakumjibu mzee ila kesho yake nilimuona yuko around kwenye bucha la nguruwe
Watu wanaisema vibaya mbuzi katoliki Ila hawajui

Ile sacred meat ,Ni sakramenti

Mapepo,majini,ushirikina na ulozi unadunda kwa pork meat .

[emoji200][emoji200][emoji200][emoji200][emoji200] For life
 
Yaani watu wanaamini watu mapema Sana simply eti.mshika dini...mwaka huu nilikua napoteza hela hivihivi...mara 30,50..nikawa hata sitak kufatilia...usk nilikaa nakaa napiga hesabu kila kitu naona Kuna hela inakosekana kbs...Sasa early Feb Kuna ishu nikauza kwa 3 .8m..maana jamaa alikuja na cash..nikamuamini akanikabidi mzigo wangu nikaiweka room...nkaingia kuoga niende chap kahama kudeposit bank..nafika bank nakuta Kama 200,000/- haipo...nilitetemeka kwa hasira..sikudeposit nikaamua nilewe kwanza...nikalewaaaaa[emoji38][emoji38]hiyo ni ijumaa...nikakaa siku 3 mjini...nikarudi eneo langu la kazi..nikamweleza operator hakuamin akasema sisy inaonekana umeangusha..nikamwambia kaa mbali na mm leo nauwasha moto had polisi waje...nikaingia room kukagua hakina kitu...roho yangu ikaniamboa katika Hawa vijana wako kuna mmoja anakuchezea...Sasa namkamataje??
Nikaenda kwa mama ntilie anapopenda kula..kumbe dogo bwana kaweka Oda daily anakula wali kuku na soda[emoji38]..analipa cash...siku ya tukio alienda usk mjini kucelebrate...aisee...Sina nguvu namfanyaje huyu...nilimwita rum nilimpiga na ubao mkubwa sijapata kupiga namna Ile .si unajua mwiz ni mwizi tu akakosa cha kujitetea..kumkagua ana 85!..tukampeleka mtoni tukamgalagaza na maji baridi wakamchekecha balaa..yaan anayekuibia hatoki mbali...ni hapo hapo..Tena sikumdhania..nilomdhaniaga kaka maana ni chapombe!
We Ni noma umenipa maujanja hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3577]
 
Kama ulishwahi mtongoza jua ashajimilikisha biashara hio
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji3577.png
Ya Ngoswe,Mapenzi na Kazi!
 
Back
Top Bottom