Biashara ya Uwakala na upotevu wa pesa

Biashara ya Uwakala na upotevu wa pesa

Inaonekana huwa huhesabu vizuri pesa unazopewa na wateja.

Au ukishahesabu, unamrudishia mteja tena halafu akikupa tena huhesabu kwa kuwa ukishahesabu mwanzo.

Pili, labda kuna mtu wa karibu unaefanya naye kazi ANAJIONGEZA kidogo kidogo
Mtu akinipa pesa nahesabu vizuri na ninahakiksha hata mara tatu na ninamshine ya kuhesabia ..nahesabu na mkono pia nahakikisha na mashine
 
Nipo na binti mmoja lakini sijamfikiria ..maana nimtu kashika dini sana
Anaweza kuwa ni mwaminifu ila ana makosa kwenye kutoa chenji ama kutuma hela. Jaribu kumfanyia test, unamtajia kiasi ye akiandike kwa tarakimu chap chap. Taja kiasi kama laki moja na elfu tano, milioni moja na elfu nane mia tano nk nk.

Kwa uzoefu wangu, mawakala wengi sana wanakwama hapo na wateja 'wajanja' wakishamjua, ndio wanampiga kihivyo.

Anampa laki na elfu tano mia tano (105,500/=) binti anamtumia laki na hamsini na tano (155,000/=).

Kuna mdau pale juu kashauri urekodi transactions zote, unaweza pia kuweka vile vikaratasi kila mteja anajaza namba, jina na kiasi then vitunze ili kukiwa na mapungufu unavipitia upya jioni.

Mbali na hayo, issue za pesa zina ushirikina mwingi sana, hivyo ushauri wangu muhusishe sana Mungu kwenye biashara yako na pia weka mfanyakazi ambaye yuko active sana (mjanja) anayeweza kustudy matapeli kirahisi.

Zuia matumizi yasiyo ya lazima ya simu akiwa ofisini kwa kuwa inamuondolea umakini na piga marufuku vijana kuzoeana naye hapo na kumpa viofa vya soda kwani wakishajenga mazoea ndio 'wanampiga' kirahisi sana.

Mlipe vizuri kama kuna faida ya kutosha ili aithamini kazi yake, kama hapo kuna vifursa kama kuuza vinywaji, bites nk muwekee uwe mradi wake ili kuongeza uaminifu wake na kithamini kazi. Nina ofisi ya hivyo na inafanya vema na anayeisimamia ni binti tu me niko mbali.
 
Nafikiria kuhusu kuandika amount labda itakuwa kunamakosa yanatendeka hapo..napia kuhusu malipo nampa vizuri ..swala lakufanya biashara ndogo ndogo sijaona kama anafikiria hilo jambo...asante kwa ushauri
 
Sawa mkuu, usikate tamaa jitahidi kuyabaini mapungufu na uyafanyie kazi, hakuna kazi isiyo na changamoto.
Nafikiria kuhusu kuandika amount labda itakuwa kunamakosa yanatendeka hapo..napia kuhusu malipo nampa vizuri ..swala lakufanya biashara ndogo ndogo sijaona kama anafikiria hilo jambo...asante kwa ushauri
 
Samahani...una umri gani wewe! Dah .jamani biashara huna roho ngumu acha...yaani umejibu umerelax mwenyewe eti oh mshika dini....anywys ndo kujifunza....
Sijarelax dear... naweza nikawaza hivyo naikawa tofauti huwezi muhukumu mtu tu .ndio maana nimeomba ushauri na nitafatilia huu ushauri ninaopata na bado ikawa hvyo basi ninahaki kumuhukumu nayeye pia
 
Hata Gwajima ni askofu. Bashite ni mshika dini. Magu kiongozi wa malaika mtarajiwa na msemakweli mpenzi wa Mungu.

Nafikiri umenielewa! Jiongeze

Everyday is Saturday............................... 😎

Yaani watu wanaamini watu mapema Sana simply eti.mshika dini...mwaka huu nilikua napoteza hela hivihivi...mara 30,50..nikawa hata sitak kufatilia...usk nilikaa nakaa napiga hesabu kila kitu naona Kuna hela inakosekana kbs...Sasa early Feb Kuna ishu nikauza kwa 3 .8m..maana jamaa alikuja na cash..nikamuamini akanikabidi mzigo wangu nikaiweka room...nkaingia kuoga niende chap kahama kudeposit bank..nafika bank nakuta Kama 200,000/- haipo...nilitetemeka kwa hasira..sikudeposit nikaamua nilewe kwanza...nikalewaaaaa😆😆hiyo ni ijumaa...nikakaa siku 3 mjini...nikarudi eneo langu la kazi..nikamweleza operator hakuamin akasema sisy inaonekana umeangusha..nikamwambia kaa mbali na mm leo nauwasha moto had polisi waje...nikaingia room kukagua hakina kitu...roho yangu ikaniamboa katika Hawa vijana wako kuna mmoja anakuchezea...Sasa namkamataje??
Nikaenda kwa mama ntilie anapopenda kula..kumbe dogo bwana kaweka Oda daily anakula wali kuku na soda😆..analipa cash...siku ya tukio alienda usk mjini kucelebrate...aisee...Sina nguvu namfanyaje huyu...nilimwita rum nilimpiga na ubao mkubwa sijapata kupiga namna Ile .si unajua mwiz ni mwizi tu akakosa cha kujitetea..kumkagua ana 85!..tukampeleka mtoni tukamgalagaza na maji baridi wakamchekecha balaa..yaan anayekuibia hatoki mbali...ni hapo hapo..Tena sikumdhania..nilomdhaniaga kaka maana ni chapombe!
 
Sijarelax dear... naweza nikawaza hivyo naikawa tofauti huwezi muhukumu mtu tu .ndio maana nimeomba ushauri na nitafatilia huu ushauri ninaopata na bado ikawa hvyo basi ninahaki kumuhukumu nayeye pia

NXT month ataondoka na 2m atajifanya anaenda toilet ndo mazima..hata ukimpata atakua ameipurura..usimwamini mtu
 
Yaani watu wanaamini watu mapema Sana simply eti.mshika dini...mwaka huu nilikua napoteza hela hivihivi...mara 30,50..nikawa hata sitak kufatilia...usk nilikaa nakaa napiga hesabu kila kitu naona Kuna hela inakosekana kbs...Sasa early Feb Kuna ishu nikauza kwa 3 .8m..maana jamaa alikuja na cash..nikamuamini akanikabidi mzigo wangu nikaiweka room...nkaingia kuoga niende chap kahama kudeposit bank..nafika bank nakuta Kama 200,000/- haipo...nilitetemeka kwa hasira..sikudeposit nikaamua nilewe kwanza...nikalewaaaaa😆😆hiyo ni ijumaa...nikakaa siku 3 mjini...nikarudi eneo langu la kazi..nikamweleza operator hakuamin akasema sisy inaonekana umeangusha..nikamwambia kaa mbali na mm leo nauwasha moto had polisi waje...nikaingia room kukagua hakina kitu...roho yangu ikaniamboa katika Hawa vijana wako kuna mmoja anakuchezea...Sasa namkamataje??
Nikaenda kwa mama ntilie anapopenda kula..kumbe dogo bwana kaweka Oda daily anakula wali kuku na soda😆..analipa cash...siku ya tukio alienda usk mjini kucelebrate...aisee...Sina nguvu namfanyaje huyu...nilimwita rum nilimpiga na ubao mkubwa sijapata kupiga namna Ile .si unajua mwiz ni mwizi tu akakosa cha kujitetea..kumkagua ana 85!..tukampeleka mtoni tukamgalagaza na maji baridi wakamchekecha balaa..yaan anayekuibia hatoki mbali...ni hapo hapo..Tena sikumdhania..nilomdhaniaga kaka maana ni chapombe!
Pole...
Haa haa hongera kwa kukata hasira na kinywaji!

Nichelee kusema, wengi tumelizwa na hawa tuliowaamini! Na wao wanaamini na kujiamini hatuwezi kuwadhania ndivyo sivyo! Mbwamwitu waliojivika ngozi ya kondoo!

Everyday is Saturday................................ 😎
 
Yaani hakuna mwaka nimeibiwa Kama last yr...nimeibiwa mnoo...aisee nimewanyoosha....! Yaani inaumiza inakera..Ila nikigundua utajuta na kufurahi na roho yako ..undava undava tu
 
Back
Top Bottom