The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,998
- 48,331
Kutenganisha pesa za mpesa na za bank sijafanya hilojambo zote zipo pamoja sababu ni biashara yaaina moja .alafu matumizi na Pesa ikitoka hata kwa mtu atakayelipa badae huwa naweka record katika kitabu chake napia watu wa kukopa na kulipa badae huwa inatokea Mara chache sana tena sana
Ukitenga inarahisisha kujua tatizo liko wapi.
Ni muhimu kutafuta mtu mzoefu wa kufanya nae kwa muda ukaweka kambi hata wiki moja. Ukaona anavyoendesha kuanzia mwanzo wa siku hadi mwisho wa siku.