Biashara ya ukahaba

Duh..... balaaa@delusions
 
Hofu yangu ni kuwa, kuirasimisha ni kuwaita na wengine wengi zaidi na zaidi. Hong25.
 
Last edited by a moderator:
wapunguze bei iwe affordable atleast 3000/= per night ili huduma iwafikie wengi zaidi
 
Kuna dada namfahamu ni msomi mzuri lakini anadai ajira bongo hakuna na inabidi aendeshe maisha yake na ndugu zake! Kwahiyo anajiuza pande zote utakazo ila wateja zake wakubwa ni wadhungu maana wabongo sio watoaji pesa nzuri ila kuwapata hao wadhungu sio rahisi.
 

😱 htr sasa na hii
 
Hbr ya j2 wadau wote wa jamvi hili?Hivi ni nini hasa 7bu ya mabinti kuona kuwa kujiuza miili yao ni fursa kiuchumi?Jambo hili linazagaa kwa kasi sana krb mikoa yote Tanzania. Nini kifanyike kuwanusuru dada zetu hawa?
Serikali ipige marufuku kwa kuweka sheria kali ya kuwadhibiti. Pia ajira zitolewe.
 
Zakayo, ni kweli kbs mkuu. Inaweza saidia
 
Last edited by a moderator:
Utandawazi unaendeleza kupanua masoko. Ukisema elimu na hao watoto wa chuo wanao uza utasemaje?
Pesa imefanywa kuwa ndio dira ya maisha ya mwanadamu. Hajali kitu kingine zaidi ya pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…