Payer
JF-Expert Member
- May 10, 2014
- 824
- 189
Mmmmh..... hilo tuu?
Ni hisia njema. Wao ni shm ya jamii yetu. Tunajua maisha yao na twaweza kuwa na jambo la kuwanusuru kutoka aibu hii yenye kila harufu ya laana
Hbr ya j2 wadau wote wa jamvi hili?
Hivi ni nini hasa 7bu ya mabinti kuona kuwa kujiuza miili yao ni fursa kiuchumi?
Jambo hili linazagaa kwa kasi sana krb mikoa yote Tanzania. Nini kifanyike kuwanusuru dada zetu hawa?
Wapo waliotaka kuwanusuru lakini wameishindwa wameamua kuwaacha watakapo ona sasa imetosha wataacha wenyewe na wengine walitaka kuwanusuru wakaamishwa na vituo vya kazi wateja wao ndo hao hao wanaoweza kuwanusuru na biashara hiyo Utamu wa Ngoma ingia ucheze!!!!!
Nahisi wao wanaofanya Biashara hiyo wanaweza kuwa na majibu sahihi juu ya Maswali yako hayo!!!
soko lipo! biashara maana yake ni faida, na ni lazima awepo mnunuzi na muuzaji
wanaume siku Tusema atuwanunui wala atutaki uduma utaona wataenda kulima au hata kujishugulisha ili wapate kipato lakini tunavyowanunua ndo tunawapa kibuli cha kufanya hiyo Biashara.Hapa nimepata kitu. Wanaume ndio wa kuwanusuru hawa.