Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

Safi sn mkuu. Kwa ushauri wng mimi, milioni mbili ni ndogo sn, na inategemea ni aina gani ya stationery unataka kuanzisha.

Nasema hivyo kwa sababu, photocopier nzuri ya kisasa, ambayo ni used, ni zaidi ya hiyo milioni 2. Hapo bdo hujanunua computer na printer za rangi. Printer black & white unaweza ukatumia hyo hyo photocopier.

Hzo ni components tu ambazo ni vitendea kazi vya haraka haraka, bado hujanunua mzigo. Ni ngumu kuweka bei za mzigo kwani zinatofautiana gharama za upatikanaji wke, na inategemea upo wapi.

Kwa mikoani kuna gharama za usafirishaji kumbuka. Ungekuwa na kama mil 8 hv, ungekuwa pazuri sn.

Sent from my iPad using JamiiForums app
 
Ninafanya biashara ya stationaries, Nina photocopy machine aina ya CANON IR 1024, Photocopy hii naitumia kwa shughuli mbili ambazo ni Phocopying na printing. Napata shida kujua idadi ya kurasa zilizo printiwa (printed), mashine hii ina counter ambayo inaonyesha idadi ya kurasa zilizo toka. Counter ya Photocopying na Printing ni hiyohiyo hivyo inakuwa vigumu kujua zilizokuwa printed ni ngapi na photocopying ni ngapi

Naomba ushauri katika hili
 
mkuu tired natafuta photocopier yenye kugeuza karatasi iwe mwanza kama utaweza niconnect
 
Last edited by a moderator:

Mimi nina program hapa nadhani inaweza kukusaidia kitu.
 
mkuu tired natafuta photocopier yenye kugeuza karatasi iwe mwanza kama utaweza niconnect

kwa hilo sijui kitu, USHAURI kama unaweza nashauri upate photocopy MPYAAA. Hizi photocopy ambazo zimetumika uwa zinasumbua sana.
 
Ninafanya biashara ya stationaries, Nina photocopy machine aina ya CANON IR 1024, Photocopy hii naitumia kwa shughuli mbili ambazo ni Phocopying na printing. Napata shida kujua idadi ya kurasa zilizo printiwa (printed), mashine hii ina counter ambayo inaonyesha idadi ya kurasa zilizo toka. Counter ya Photocopying na Printing ni hiyohiyo hivyo inakuwa vigumu kujua zilizokuwa printed ni ngapi na photocopying ni ngapi

Naomba ushauri katika hili

very simple..uki comand i print test page itakuonyesha na namba za printend document...au kwenye mashine unabonyeza button imeandikwa 123 utaona idad ya scaned-printed and copied...
 
Shukrani sana. Ngoja nikaifanyie kazi
 
very simple..uki comand i print test page itakuonyesha na namba za printend document...au kwenye mashine unabonyeza button imeandikwa 123 utaona idad ya scaned-printed and copied...

Leo hii nimetekeleza ushauri wako nime print test page sijaona chochote kuhusu pages zilizokuwa photocpied na zile zilizokuwa printed. Vilevile hiyo Button yenye namba 123 haipo
 
ndugu zangu naomba mtu mwenye idear ya biashara ya stationary anijuze, hasa zaid katika capital ambayo inahitajika katika kufanya biashara hyo.

nawasilisha.
 
Mimi mwenye nataka kufungua hiyo stationary ili uone kma inakuletea manufaa yani faida faida without loss kma unafanya mwenyewe bila kuajiri ni njia gani unaweza fanya na ukaiona faida .
 
Habarini za majukumu wapendwa nina BUDGET ya TSH milioni tatu nahitaji kufungua stationary naombeni kusaidiwa kwa budget hivyo nawza nunua vitu gani vya muhimu na nikafanya kazi.

Ahsanteni :A S-fire1:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom