Mdau,
Hakuna ndoto nimekua nikiota kama biashara ya kufuga samaki hata nilikuwa najipanga nikasome somo hili, Aquaculture.
Sasa imenitokezea picha mpya! Kumbe masoko ni ya shida?
Lakini, samaki hakosi soko. Je wanauzikaje kwa piece au kwa uzito tuweze kukusaidia kutafuta masoko?
Ila changa moto kubwa hapa ni usafiri kigoma!
Let us put the initiative we shall win.