Pi!? Una mawasiliano na wenye magari ya refrigerator!?Kipindii nafanya biashara ya samakii mkoanii nilikuwa na nunua sangara kilo kwa 3000 hadi 3500 mimi nauza jumla 5000 hadii 5500.
Satoo ilikuwa ni elfu 6000 jumla supermarket napeleka kwa 8500 hii ilikuwa bahatii ila kiloo nilikuwa nauza hadii 9000.
Ila kwa saizi sijuii maana ni miaka kama 3 au niseme 4 imepitaa mpaka sasa. Japo jamaa huwa ananipigia kuniulza kama nataka kuanzaa .
Na usafirii kwa kilo 100 ilikuwa haizidii 21000 hadi 18000 kiloo zaidi ya 100 ni kuanzia 34000 hivi na zaidiii.
NdiooMambo vi
pi!? Una mawasiliano na wenye magari ya refrigerator!?
ShukraniWanakuja
Naomba nisaidie contacts zao mzee...Ndioo
Mimi nimeifanya sana pale moshi mjiniii aisee achaa.hakuna biashara inalipa kama ya samaki! hakuna biashara inakata mtaji kama samaki me naifanya nanunua nyumba ya Mungu nauza Moshi/Arusha
Mkuu naomba unipe muongozo namaliza mwezi ujao niko Moshi hapa sina A, B, C kuhusu hii biashara nahitaji mentor wa kuniongoza na kunishika mkono kunionyesha masoko na sehemu wanapochukulia..hakuna biashara inalipa kama ya samaki! hakuna biashara inakata mtaji kama samaki me naifanya nanunua nyumba ya Mungu nauza Moshi/Arusha
Samaki wa bwawa la nyumba ya mungu wana sinyaa sana akikwekwa kwenye freezer. Ukipata walio vuliwaa fresh ila wakikaa kwenye deep freezer ni hatariiMkuu naomba unipe muongozo namaliza mwezi ujao niko Moshi hapa sina A, B, C kuhusu hii biashara nahitaji mentor wa kuniongoza na kunishika mkono kunionyesha masoko na sehemu wanapochukulia..
Piga 0620899604 ndani ya siku 2 hzMkuu naweza kuja PM
Dah kudaadeki yaani vile viboti vinauzwa milioni 70.Cha kwanza kazi inayowezekana ni kuvua mwenyewe ukisema kulangua utaumia sababu watu wa siku hizi iwe wavuvi,wafugaji au wakulima hawakubali dalali au mchuuzi ale kirahisi tuu
Cha pili itakubidi uingie front mwenyewe na sio kutegemea kutuma vijana wakavue ukadhani utafanikiwa, kama utawatuma watakuzunguka hizo samaki watauzia huko huko ziwani na zana kama nyavu watauza wakisingizia zimeibwa
Kalaghabaho
Way forward to this business ingia mwenyewe , nunua boti ya kisasa bei ipo kwenye milioni 60 au 70 kwenda juu boti yenye horsepower za kutosha na injini kuanzia mbili kuendelea ili kama injini moja ikisumbua majini una washa ya backup
Nimekutxt Pmnaomba jiwe supplier wako
Broo mbona unakatisha watu tamaa Mimi nimeanza na mtaji wa shilling 160000 nimeanza kuuzia samaki kwenye deli ila kwa sasa Nina bucha ya samakiMkuu katika uanzishaji wa biashara kuna vitu vi3 vya msingi unatakiwa kuvijua au kuwa navyo
1.Capital
2.Market
3.Knowledge
Capital ya kuanzisha Bucha/Samaki unahitaji kuwa na Fremu ya kisasa yenye A/C,Mashine ya Kukata Nyama(Unaweza kununua sido) hapo Vifaa A/C+Mashine+Fremu(kodi 6months) unahitaji si chini ya 1.2m,Mtaji wa kilo 500 nyama sh 2.3m,mtaji wa samaki kilo 100,Sh 500,000/=,Deepfreezer kubwa 400,000/=,Stand za vyuma pamoja na Hooks 100,000/=,Grand Total~4.5m
=========
=========
Market,inabidi butcher lako litageti soko la mama ntilie/wauza chips na makazi ya watu,mama ntilie ndio wanunuaji wakubwa wa nyama kwani wanapika Supu na pili mboga kwa wateja,wauza chips stake wanatengenezea mshikaki!
=========
=========
Knowledge,Mkuu hapa inabidi uwe unaamka saa 3 kwenda kufata nyama au uwe unaagiza kwenye vigari vile special kwa ajili ya kubebea nyama,saa kumi na 1 alfajiri uwe upo buchani unaanza kuuza,uhifadhi wa samaki na nyama inayolala unabidi uhuzingatie,Nyama kilo moja ni kuanzia 6000 hadi 7000 na samaki sato kilo 8000 hadi 9000 wakati sangala 7000 hadi 8000.
Kazi ni kwako mkuu.
Naomba namba zako ili tuzungumze vyema kuhusu bei na upatikanaji ?Samaki wanapatikana. Mi niko mwanza tuwasiliane kuweka mchakato sawa