Mkuu nipm namba yako tuongeeBei ya sangara na sato inatofautiana. Sato siku zote iko juu. Kwenye kipindi cha mvua samaki wanapatikana wengi na kwa Bei nafuu. Kipindi hiki samaki sangara kilo kwa jumla ni 4500. Wakati sato anaenda mpaka 5500.
Samaki wanapimwa kwa kilo. Unaweza kununua moja kwa moja kutoka kwa wenye mitumbwi yao au kutoka kwa walanguzi ambao wao huzinunua kwa wingi na kuzihifadhi Kwenye mafriza baada ya kuwatoa mautumbo na mabondo.
Hawa walanguzi ndiyo wenye Bei niliyokupa hapo juu. (Ukumbuke Bei hubadilika ) walanguzi hawahawa ukitaka samaki wanakufungia vizuri na kuwapakiza Kwenye mafuso. Fuso zote zinapakulia pale urafiki freti. Ila unalipia usafiri mwenyewe.
Kuhusu kibali mlanguzi huwa anakibali na mwenye fuso anakibali cha usafirishaji. Na ushuru utalipwa na mlanguzi. (Ukitaka namba ya mlanguzi utaniambia).
Bei ya kuuza huku samaki mbichi kilo ni kuanzia elf 8-10.
Of course ukitaka kuwa na frem lazima uwe na leseni nenda halmashauri na tra lazima ikuhusu.
Ukitaka nafuu sambazia mzigo ukiwa home kwako.
Vifaranga vinapatikanaje na kwa bei gani?Nina bwawa la samaki 5000-5500 waliokomaa aina ya trapia/ngege/sato, samaki hawa wana uzito kati ya kilo 1.2 hadi kilo 5, naombeni mniunge na masoko niweze ziuza, niingize mpya. Bwawa lipo Kigoma mjini.
Asanteni sana
Mashine kariakoo ni 1.6 mKwa anaejua garama za mzani ule wa kisasa na cutting mashine tafadhari
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa na mawazo sawa na wewe, kwa sasa nipo Dodoma ila nyumbani ni Mwanza, nimefanya uchunguzi binafsi kwa mda niliokaa hapa Dodoma nimegundua kuna uhitaji mkubwa wa samaki, nimejipanga kurudi nyumbani nikachangamkie hii fursa. Kama uko tayari tunaweza kupanga namna ya kufanya hii biashara!Mkuu umefikia wap, nataka kuanzisha huu mradi dodoma nipe changamoto zake
Unaweza au una xprience nkutumie mzigo kutoka nyumba ya Mungu KilimanjaroUko wapi na soko unalolenga ni lipi mfno ukitaka msambazaji kwa Dar hta mm tunaweza ku partnership na kuhusu vibari changamoto hapo sna ujuzi napo