Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 18,373
- 37,194
Kama ujinga ni mbegu, wewe ungekuwa shamba la mfano ( shamba darasa)Uliona wapi mkristor anaakili
Kama ujinga ni mbegu, wewe ungekuwa shamba la mfano ( shamba darasa)Uliona wapi mkristor anaakili
AiseeeUliona wapi mkristor anaakili
Usisahau soko la wapumbavu wa imani ni kubwa.Siku za hivi karibuni amemfungulia mke wake ambaye ameonekana ku- trend na shuhuda tata,kama vile kujaza mtungi wa gas kwa kupulizia na mdomo,kuwachukia wanaume wanaolala kwamba bora wakazini na kumtishia dereva wake siku akimuona analala atamuua.
Pia kuna video fupi inaonesha akishuhudia kwamba kila akitoka safari anawachapa watoto bila sababu ili wamwambie walifanya makosa gani.
Ninavyojua waumini wake wengi ni wanavyuo ambao wengi huenda kanisani hapo kubahatisha huenda
atapata demu au demu atapata mchumba.
Lakini kwa hali hii ya mke wa Tony jinsi anavyoharibu na Tony mwenyewe alivyokuja kujiinua na kuwatukana washirika wake kuwa hawana hela ni maskini wakubwa,
Ninaanza kuona jinsi kiburi kitakavyoamua anguko lake.
Biashara yake sio muda mrefu inaweza kuharibika
Kama wale makerubi wa mfalme Zumeridi😎😎😎😎Biashara yake ndio itakua , walokole hata ukiwachapa makofi watakuja tu
Unajua hata hao watumishi amabao mnaamini they are perfect wanaweza kuwa ni zaidi ya zumaridi.Kama wale makerubi wa mfalme Zumeridi😎😎😎😎
Ujumbe uwafikie wanaoamini watumishi!!Unajua hata hao watumishi amabao mnaamini they are perfect wanaweza kuwa ni zaidi ya zumaridi.
Duuuuh wapo wenye akili saana tu but bado kizindukaUliona wapi mkristor anaakili
Tunajua umeyashika sana mafundisho ya Balaamu, yeye aliyemfundisha Balaki atie ukwazo mbele ya Watu walio kubali kumfuata Yesu Kristo. Unataka wayashike mafundisho ya Wanikolai huku umejivika roho ya Yezebeli uwafundishe watumishi wa Yesu Kristo na kuwapoteza, ili wazini na kugeukia ibaada za sanamu.Uliona wapi mkristor anaakili
na nyie wazee wa mdebwedo ndio maana waarabu waliwaacha mbumbumbu tu! labda kupigana tigo ndio zawadi yenuUliona wapi mkristor anaakili