Biashara ya Pastor Tony iko mashakani

Biashara ya Pastor Tony iko mashakani

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,289
Reaction score
5,741
Siku za hivi karibuni amemfungulia mke wake ambaye ameonekana ku- trend na shuhuda tata,kama vile kujaza mtungi wa gas kwa kupulizia na mdomo,kuwachukia wanaume wanaolala kwamba bora wakazini na kumtishia dereva wake siku akimuona analala atamuua.

Pia kuna video fupi inaonesha akishuhudia kwamba kila akitoka safari anawachapa watoto bila sababu ili wamwambie walifanya makosa gani.

Ninavyojua waumini wake wengi ni wanavyuo ambao wengi huenda kanisani hapo kubahatisha huenda
atapata demu au demu atapata mchumba.

Lakini kwa hali hii ya mke wa Tony jinsi anavyoharibu na Tony mwenyewe alivyokuja kujiinua na kuwatukana washirika wake kuwa hawana hela ni maskini wakubwa,

Ninaanza kuona jinsi kiburi kitakavyoamua anguko lake.
Biashara yake sio muda mrefu inaweza kuharibika
 
Kapora hategemei hilo kanisa kuendesha MAISHA yake.

Ni Kama unvyoona wale vijana wa Makumbusho wanauza Simu mbili katika frame .

Maana hao Jobless na wanafunzi wa Chuo unafikiri wanaweza kutoa sadaka kiasi gani ambayo itamfanya anunue gari la 300M
 
Siku za hivi karibuni amemfungulia mke wake ambaye ameonekana ku- trend na shuhuda tata,kama vile kujaza mtungi wa gas kwa kupulizia na mdomo,kuwachukia wanaume wanaolala kwamba bora wakazini na kumtishia dereva wake siku akimuona analala atamuua.

Pia kuna video fupi inaonesha akishuhudia kwamba kila akitoka safari anawachapa watoto bila sababu ili wamwambie walifanya makosa gani.

Ninavyojua waumini wake wengi ni wanavyuo ambao wengi huenda kanisani hapo kubahatisha huenda
atapata demu au demu atapata mchumba.

Lakini kwa hali hii ya mke wa Tony jinsi anavyoharibu na Tony mwenyewe alivyokuja kujiinua na kuwatukana washirika wake kuwa hawana hela ni maskini wakubwa,

Ninaanza kuona jinsi kiburi kitakavyoamua anguko lake.
Biashara yake sio muda mrefu inaweza kuharibika
Game over.. !!!!
 
Wale wanaosali kwa Tony hawajielewi na ni mateka wake.
Wanakataa kwamba gesi haiwezi kujazwa kwa kupuliza na kwamba huo ni uongo.
Ila wanakubali kwamba Tony anaweza kuwapa kazi, vyeo, nyumba na magar kimiujiza ujiza tu pasi hata na kufana kazi.
Tony anatakiwa awachape kabisa hawa misukule, haiwezekani jitu limesoma halafu linashindwa kujua baya na Zurich kweli
 
Siku za hivi karibuni amemfungulia mke wake ambaye ameonekana ku- trend na shuhuda tata,kama vile kujaza mtungi wa gas kwa kupulizia na mdomo,kuwachukia wanaume wanaolala kwamba bora wakazini na kumtishia dereva wake siku akimuona analala atamuua.

Pia kuna video fupi inaonesha akishuhudia kwamba kila akitoka safari anawachapa watoto bila sababu ili wamwambie walifanya makosa gani.

Ninavyojua waumini wake wengi ni wanavyuo ambao wengi huenda kanisani hapo kubahatisha huenda
atapata demu au demu atapata mchumba.

Lakini kwa hali hii ya mke wa Tony jinsi anavyoharibu na Tony mwenyewe alivyokuja kujiinua na kuwatukana washirika wake kuwa hawana hela ni maskini wakubwa,

Ninaanza kuona jinsi kiburi kitakavyoamua anguko lake.
Biashara yake sio muda mrefu inaweza kuharibika
Ni kweli yeye ndo mwenye iyo Calling Sasa akiendelea kumwendekeza uyo manzi wake kwa jukwaa...atapeperusha njiwa porini...
Kwa ufupi hasimjaribu shetani.
 
Siku za hivi karibuni amemfungulia mke wake ambaye ameonekana ku- trend na shuhuda tata,kama vile kujaza mtungi wa gas kwa kupulizia na mdomo,kuwachukia wanaume wanaolala kwamba bora wakazini na kumtishia dereva wake siku akimuona analala atamuua.

Pia kuna video fupi inaonesha akishuhudia kwamba kila akitoka safari anawachapa watoto bila sababu ili wamwambie walifanya makosa gani.

Ninavyojua waumini wake wengi ni wanavyuo ambao wengi huenda kanisani hapo kubahatisha huenda
atapata demu au demu atapata mchumba.

Lakini kwa hali hii ya mke wa Tony jinsi anavyoharibu na Tony mwenyewe alivyokuja kujiinua na kuwatukana washirika wake kuwa hawana hela ni maskini wakubwa,

Ninaanza kuona jinsi kiburi kitakavyoamua anguko lake.
Biashara yake sio muda mrefu inaweza kuharibika
Ameamua kupuyanga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom