Biashara ya nafaka Dar ipoje

Fursa zipo kwenye kilimo ila uvumilivu ndio unahitajika.
Uko kwenye ufuta kukoje...uje Kuna mtu uku kanigusia ila kawa mchoyo wa taarifa kasema uko Hela inazaa Hela...alishakuwepo uko mwaka Jana akapata..nasasa hivi anataka auze kunia zake mia200 za mpunga awahi uko lindi mwezi wa5 anasema msimu ndo unaanza wamavuno kwaiyo anawahi kabla walanguzi matajiri Toka dar,mbeya,arusha hawajakuja kupandilia Bei
 
Njoo kilwa ununue ufuta kuanzia mwezi wa tano mkuu hautojuta tena anza na mtaji wowote ule kuanzia laki sita kama unajitafuta au mtaji upo anza hata na million mbili,tatu,tano,kumi yani ww tu na mtaji wako.
Mkuu nimeamini usemacho kuhusu ufuta..hapa Kuna mtu nafamiana nae kasema hivo hivo kama unavosema ila kawa mchoyo wa taarifa anadai anaenda lindi mwezi wa Tano ndo mwanzo mwa msimu Bei huwa chini kabla ya walanguzi hawajavamia
 
Kijana mdogo wa miaka 21 kawazidi mbali sana vijana wetu hawa wanakulia mashuleni mavyuoni huko wanahitimu na wanatoka bila kitu wanakaa nyumbani kusubiri ajira pambana Sana kijana
Ukute hata wewe huwa unaisikia kwenye matangazo ya biashara tu!!. Kusoma na kupata pesa ni vitu viwili tofauti.
 
Tena kama unakuja Lindi dada yangu njoo wilaya ya kilwa tarafa ya njinjo na kata ya miguruwe kuna kijiji kama zinga kitongoji cha nanyumbu huko watu wanalima ufuta balaa tena wapo wasukuma wanapata mpaka gunia mia moja halafu hawapendi kwenda kuuzia kwenye maghala waanze kusubiri hela wiki mzima wao wanauza chomachoma tu ufuta wao.KILIMO NI UTAJIRI
ukipata muda tafadhali PM Me kuna issue nikuulize kama hutojali, naona PM yako ipo locked..!!
 
Mahindi achana nayo, saizi Dar bei ni 550 mpk 500 kwa kilo. Hata uende viwandani au masokoni. Hamia kwenye Ufuta,mchele na maharage
 
Mimi sio dalali ila ninachokuambia ni ukweli kama kwasasa watu wanakopesha kula maua kwa bei ya 1000 kwa kilo labda wewe ndie unachanganya mambo,mkulima hawezi kukuuzia wewe ufuta ulio tayari kwa bei ya 1000 wakati tayari ameshajua bei ya mnada kuwa ni 3500
FUngua pm mkuu
 
Back
Top Bottom