Biashara ya miili Iringa noma

Dawa za kupunguza makali ya Virusi zinapatikana BURE kabisa.
 
na efd ihusike
 
Umeongea kweli. Iringa hakuna sehemu ya machangudoa kama dar. Wale ni wahudumu wa bar
 
Angalau wapate kodi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha zalau fala wewe unauhakika walimu wanalipwa 3k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si maadili ya love Afrika
 
Umesema holiday inn na Kimboka. Pengine ni wapi penye dada utamu mkuu
 
Biashara kongwe kuliko zote duniani.

Sent using my NOKIA torch
 
Wakabidhiwe na machine za efd ili watupatie receipts na serikali ikusanye kodi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…