MR.NOMA
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 339
- 511
Kama Buguruni, Kimboka na Sinza Dar; mjini Iringa ukahaba wazi wazi tena huku ni zaidi ya Dar. Ufuska unafanywa mchana kweupe. Nenda Holiday-in bar Frelimo bei ni kuanzia 15,000 na kuendelea hapo ni pamoja na room. Pia kuna tetesi kuwepo madanguro ya siri maeneo mengi ikiwemo Kihesa.
Serikali ihalalishe tu uuzaji wa miili maana imefumbia macho suala hilo.
Serikali ihalalishe tu uuzaji wa miili maana imefumbia macho suala hilo.