Biashara ya Madawa ya Kulevya: S.H. AMON atajwa!

Kuna watu wanatumika na wafanyabiashara wachafu kumchafua A.S. AMON Maarufu kwa jina la Pataya mmiliki wa hotel za Land Mark zilizopo katika mikoa ya Dsm na Mby kuwa eti ni miongoni mwa wauza madawa ya kulevya nchini, hizi ni hujuma za kibiashara kwa Saul

wewe ni nani mpaka utoke povu hivyo?
 
Angali umeingia humu lini! Au ndiye mwenyewe umeamua kuajili mtu wa kukujibia maanake mabuku 7 wapo wengi sana humu.
 
Unamjua sana!! Nenda Tukuyu utapelekwa hadi Landmark Hotel ya tukuyu utalala bure wakati ukimsubiri.

Yaani Ritz anataka kusema hamjui public figure mwenzake, ama jamaa anaweza akawa hasimu wake kibiashara nini Ritz usitutanie unamjua sana shauri huyo ni mdau mwenzako bwana....!
 
ulintungulu , twesa tummenye sauli , lelo tubapilikisyege na abhangi ! Pamo papo kwa kukaja ?

Mma nakamo gwe,ambandu bha munjini ubamenye? Ukuti kilu umundu gwa maendeleo ikuulisya nkota? Saul ikubombi imbhombo,gwa mmasoko jura.
 
acheni ujinga

SH Amon alipata utajiri wake kupitia almas Shinyanga
Dada yake alikua ameolewa na askari mlinzi wa pale, ambae alikua anaiba almasi ndani yamgodi na kuzificha katika kikopo ndani. Mzigo ulipokua wa kutosha, akamuita mdogo wake , akatoroka na kikopo mpaka zambia
Baada ya miaka kadhaa , ndio akarudi Mbeya na kuanza kufanya biashara za kufa mtu
Jamaa anayo hela, na wala haihusiani na madawa
Na ni kweli ni mzinzi, ana UKIMWI. So, haoni tabu kufungua suruali ukizingatia pesa anayo

Mkuu ana UKIMWI wewe umejuaje? Kwa taarifa tuu vicheche ndo huwa wanapona ngoma.
 
Mnamezeshwa upuuzi sauli hizo biashara alifanya wewe ulikuwepo? Kuchafuana tu,fanyeni kazi acheni majungu watanzania msione mtu ana ghorofa basi knatafuta ya kusema.....nyambafu
 
Mmnh hzo data zenu kuchafuana na mtu humfahamu umekazana sembe sembe ngoja nilale nisije nikakutusi burw
 
Acha watu watafute pesa ilimradi usishikwe tu. Kwani wakikuuzia sembe wanakulazimisha utumie!? BTW sembe ikishikwa hao hao watu wa kupambana na sembe wanaanza kuiuza, unajua sembe huwa inaenda wapi baada ya kushikwa au umewahi sikia mahala wanapohifadhi sembe zilizoshikwa..
 
hivi hawa TISS wanafanya nini mi naamini wanaweza kufanya mabadiliko wakiamua piga risasi tu hawa watu Kama china mbo wanaua raia wengine Wema tu

TISS hizi mambo haziwahusu wao ukitaka ujue wako active we ongelea maandamano ya baadaye hapao jangwani otherwise ishu za Ephedrine au panadol sio big deal sana kwao
 
Mma nakamo gwe,ambandu bha munjini ubamenye? Ukuti kilu umundu gwa maendeleo ikuulisya nkota? Saul ikubombi imbhombo,gwa mmasoko jura.

Ko kuti fiki pakuti anioleghe abha lumbu vitu, avakasi va vandu papo ali ni tovole? Ikulya mumo ighaniile. Utajiri wake umetokana na uuzaji vipodozi feki kutokea JOBEKI(ku-jhoni). Kuhusu sembe, sijui maana hakuna aliye msafi na siku hazigandi. Tabia ya jana siyo ya leo. Msitoke povu kumtetea wakati hamna facts kama anauza au la!
 
Back
Top Bottom