Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

Mbegu 10=10,000[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na kutuma 15,000!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani bila kujali uko Dsm mteja yuko Moro ila bei ya kutuma ni fixed[emoji23] [emoji23]

Wajinga ndio waliwao
 
Ninazo mimi nitawapa bure labda nauli yako tu ya kukutumia pale ulipo. Acheni utapeli
 
Bei ya mafuta haya iko juu sana kwa wanaoifahamu ila kwakuwa biashara ni changa, mimi nitawauzia Sh 50,000/=(hamsini elfu) kwa lita moja.
Unaweza kutupa ELIMU hiz mbegu zinakamuliwa vp mafuta
 
Mlonge una jumla ya virutubishi 92, mmea au mti mwingine wenye virutubishi vingi baada ya mlonge una virutubishi 48. Mlonge una viondoa sumu 46 na viondoa uvimbe mbalimbali mwilini 36, una asidi amino 18 na asidi amino mhimu zaidi 9 ambazo miili yetu haina uwezo wa kuzitengeneza.
Unga wa majani ya mlonge unao uwezo wa kutibu magonjwa zaidi ya 300 mwilini,

ni WhatsApp kwa maelezo Zaid 0719050601
a849f1ff4c73eb1e547f7d87d75f0351.jpg
Bei yake ikoje?
 
Hayo majani yameongezwa kitu kingine au ni majani pekee?
Kwangu kuna mlonge, nikihitaji naweza kukausha majani na kuya-meza au lazima kuyanunua kwako?
 
Mimi ni binti..najishughulisha na uuzaji wa mlonge..ninaundaa vzuri na katika halo ya usafi..kwa yoyote anaejua masoko ya nje ya mlonge(nahitaji kuuza nje ya nchi) msaada tafadhali..MUNGU awabariki
 
Unajihusisha na mlonge sio? Sasa ni mbegu, majani, magamba ama mizizi yake?
 
Ungefafanua vizuri na kama una vibali vyote vya kuuza nje pia ungeweka na tupicha basi
 
Back
Top Bottom