Biashara ya kuuza gesi za kupikia

CONTROLA unajua kuhamasisha. Huyo jamaa asipowekeza kwenye gesi hiyo 500k yake basi ina maana hakuwa na huo mtaji
N wajibu wangu kumtia moyo kila anae onyesha nia ya dhati kufanya jambo Flani.

Napenda kuona vijana tukipambana tukiondoka kwenye kuajiriwa,mtu hata awe na mtaji mdogo bado ana uwezo wa kufanya biashara ya ndoto yake kwa kuanza na alichonachom

Kukatishana tamaa kwa kusubiri mtu uwe na mamilioni ni Ushamba na ni uzamani,Watu wanaotaka kufanya biashara wakiwa na mitaji mikubwa huwa nawasikitikia sana sana.

Kuna siri kubwa sana ktk huku kudharauliwa kwa wenye mitaji midogo,laiti wafanyabiashara na wajasiriamali wangeijua hii siri,wangeficha mapesa yao Bank halafu wakaanza biashara kwa UDOGO wake.

kuna raha kuanzia chini,Tuzidi kupeana moyo na kuonyeshana Njia kwa wenzetu wenye uhitaji.
 
We jamaa akili kubwa sana. Hope hautakufa masikini, nakutabiria makubwa.
Amen Kubwa ndugu yangu kiboboso nautamani sana utajiri, naamini kwa baraka hizo alie Juu atanipa tu maana ndio shauku yangu siku 1 kuketi na wafalme wa Dunia hii.

Kusaidia wengi na wanaopta ktk mazingira magumu,najua This word is a better place for everyone, and i will make it real.

if not everyone but atleast anyone around me, To Put a smile kwenye kila sura ya kiumbe kitakachonifahamu CONTROLA .
 
Ndugu yangu anafanya hii biashara na amepata pesa ya kutosha kwenye gas
Anauwezo wa kuuza mitungi 100 kwa wiki
Nasikitika pombe inamrudisha nyuma hadi anapoteza mitungi na pea
Pesa ya Gas naifananisha na pesa ya Madini au pesa ya wauza madawa ya kulevya.

Ni biashara yenye pesa za uhakika hasa ukikamata soko,ni ngumu sana kumtoa nfugu yenu huko alipoangukia.

Maana ana uhakika kesho ikifika Atapga tu mitungi kadhaa uhakika wa kukaa mahali kufungua vizibo Upo 90%

Hii biashara ukianza ukafanikiwa kama n kijana mpenda anasa Unapoteza huvuki miaka 40 tunakuzika.

Ipo kama Trafiki anamwambia wife akoleze jiko aktoka road anapungia gari 1 tu anapata hela ya mboga, Ndio GAS sasa.
 
Mm hapa kijna miaka 22 naomba namba yako unipe madini kidogo bro mm mgeni kwenye swala la biashara
Madini yapo humu humu boss uliza maswali kuptia thread za kwenye jukwaa la biashara Utapata majibu stahiki utakayoshiba na akili yako.
 
Ndugu yangu anafanya hii biashara na amepata pesa ya kutosha kwenye gas
Anauwezo wa kuuza mitungi 100 kwa wiki
Nasikitika pombe inamrudisha nyuma hadi anapoteza mitungi na pea
Yeye anachukulia depo/kiwandani au Kwa mawakala?
 
Pesa ya Gas naifananisha na pesa ya Madini au pesa ya wauza madawa ya kulevya.

Ni biashara yenye pesa za uhakika hasa ukikamata soko,ni ngumu sana kumtoa nfugu yenu huko alipoangukia.

Maana ana uhakika kesho ikifika Atapga tu mitungi kadhaa uhakika wa kukaa mahali kufungua vizibo Upo 90%

Hii biashara ukianza ukafanikiwa kama n kijana mpenda anasa Unapoteza huvuki miaka 40 tunakuzika.

Ipo kama Trafiki anamwambia wife akoleze jiko aktoka road anapungia gari 1 tu anapata hela ya mboga, Ndio GAS sasa.
Kweli kaka
Pia anatengeneza majiko ya gesi
Huko ndo anapga pesa zaidi sababu huko hakuna cha bei elekezi
 
Mimi nauza pc na sim niingie kwa hii biashara
Sijapata tu mteja ila naitamani mno
Usianze biashara yyte utakayo ambiwa ina faida au inalipa sana

kabla hujafanya research ya kutosha,sio kila biashara inalipa kwa kila mtu

kuna biashara itamlipa sana mwenzako kutokana na nature ya mazingira yake

uki iga na wewe kwa kumuangalia yule,Utaumia sana.Hivyo nakushauri kabla hujauza

PC yako na Simu yako anza kwanza kufanya Tafiti za biashara husika,eneo utakalofanyia biashara yako,Matumizi yako kwa siku.

Kokotoa kisha ukpata jibu ndio uanze biashara husika,usije ukapoteza hiyo PC na CM yako halafu uje useme tulikupanga.

Biashara zote chini ya jua zinalipa
 
Sawa mkuu ndo nafanya research kwanza ya eneo nililopo
Pia nimeanza kufuatilia hii biashara kwa muda kidogo
Naona ni wakat sahihi nijarbu bahati yangu
Nipo tayari kwa lolote tu saiv
 
Kaka naomba ushauri ni mazingira yapi mazuri kwa kufanyia hii biashara yaani barabarani au uswahilini??pili je kuna upinzani wowote kutoka kwenye aya maduka ya vitu vidogodogo wanaouza gas pia kwa wewe ambaye unauza gas tu?

swali zuri sana hili mkuu controla naomba jibu
 
mkuu kuna swali hapo jamaa kauliza,biashara ya gesi inafaa mazingira gani? mtaani kwenye makazi ya watu? au barabarani?
 
Biashara ya gas inafaa maeneo yote kutegemea na wapi ipo,kuna maeneo barabarani gas inatoka na kuna maeneo mitaani gas inatoka.

Kabla hujafungua biashara fanya research ya kutosha wateja wako ni akina nani na watatokea wapi.

Mtaani ni sawa
Barabarani ni sawa

Hakuna jibu la moja kwa moja kwenye hili swali mkuu,muhimu zingatia hayo kabla hujaanza biashara yako ya gas.
 
Back
Top Bottom