CONTROLA unajua kuhamasisha. Huyo jamaa asipowekeza kwenye gesi hiyo 500k yake basi ina maana hakuwa na huo mtajiUnafanya kwa Ukubwa mzuri sana sana,Fanya mzee
Gas is the REAL BUSINESS, mwanzo mgumu ila gas n biashara inayomfuta mtu machozi kwa haraka SANA no matter what...
N wajibu wangu kumtia moyo kila anae onyesha nia ya dhati kufanya jambo Flani.CONTROLA unajua kuhamasisha. Huyo jamaa asipowekeza kwenye gesi hiyo 500k yake basi ina maana hakuwa na huo mtaji
Amen Kubwa ndugu yangu kiboboso nautamani sana utajiri, naamini kwa baraka hizo alie Juu atanipa tu maana ndio shauku yangu siku 1 kuketi na wafalme wa Dunia hii.We jamaa akili kubwa sana. Hope hautakufa masikini, nakutabiria makubwa.
Pesa ya Gas naifananisha na pesa ya Madini au pesa ya wauza madawa ya kulevya.Ndugu yangu anafanya hii biashara na amepata pesa ya kutosha kwenye gas
Anauwezo wa kuuza mitungi 100 kwa wiki
Nasikitika pombe inamrudisha nyuma hadi anapoteza mitungi na pea
Madini yapo humu humu boss uliza maswali kuptia thread za kwenye jukwaa la biashara Utapata majibu stahiki utakayoshiba na akili yako.Mm hapa kijna miaka 22 naomba namba yako unipe madini kidogo bro mm mgeni kwenye swala la biashara
Yeye anachukulia depo/kiwandani au Kwa mawakala?Ndugu yangu anafanya hii biashara na amepata pesa ya kutosha kwenye gas
Anauwezo wa kuuza mitungi 100 kwa wiki
Nasikitika pombe inamrudisha nyuma hadi anapoteza mitungi na pea
Kweli kakaPesa ya Gas naifananisha na pesa ya Madini au pesa ya wauza madawa ya kulevya.
Ni biashara yenye pesa za uhakika hasa ukikamata soko,ni ngumu sana kumtoa nfugu yenu huko alipoangukia.
Maana ana uhakika kesho ikifika Atapga tu mitungi kadhaa uhakika wa kukaa mahali kufungua vizibo Upo 90%
Hii biashara ukianza ukafanikiwa kama n kijana mpenda anasa Unapoteza huvuki miaka 40 tunakuzika.
Ipo kama Trafiki anamwambia wife akoleze jiko aktoka road anapungia gari 1 tu anapata hela ya mboga, Ndio GAS sasa.
Anachukulia kwa agents tuYeye anachukulia depo/kiwandani au Kwa mawakala?
Hongera kwake, Ila kama ana uhakika wa kuuza mitungo 100+ Kwa week naona ni vyema akachanga karata vizuri zaidi akachukulie kiwandani kabisa ili apate super profit margin.Anachukulia kwa agents tu
Usianze biashara yyte utakayo ambiwa ina faida au inalipa sanaMimi nauza pc na sim niingie kwa hii biashara
Sijapata tu mteja ila naitamani mno
Sawa mkuu ndo nafanya research kwanza ya eneo nililopoUsianze biashara yyte utakayo ambiwa ina faida au inalipa sana
kabla hujafanya research ya kutosha,sio kila biashara inalipa kwa kila mtu
kuna biashara itamlipa sana mwenzako kutokana na nature ya mazingira yake
uki iga na wewe kwa kumuangalia yule,Utaumia sana.Hivyo nakushauri kabla hujauza
PC yako na Simu yako anza kwanza kufanya Tafiti za biashara husika,eneo utakalofanyia biashara yako,Matumizi yako kwa siku.
Kokotoa kisha ukpata jibu ndio uanze biashara husika,usije ukapoteza hiyo PC na CM yako halafu uje useme tulikupanga.
Biashara zote chini ya jua zinalipa

Usianze biashara yyte utakayo ambiwa ina faida au inalipa sana
kabla hujafanya research ya kutosha,sio kila biashara inalipa kwa kila mtu
kuna biashara itamlipa sana mwenzako kutokana na nature ya mazingira yake
uki iga na wewe kwa kumuangalia yule,Utaumia sana.Hivyo nakushauri kabla hujauza
PC yako na Simu yako anza kwanza kufanya Tafiti za biashara husika,eneo utakalofanyia biashara yako,Matumizi yako kwa siku.
Kokotoa kisha ukpata jibu ndio uanze biashara husika,usije ukapoteza hiyo PC na CM yako halafu uje useme tulikupanga.
Biashara zote chini ya jua zinalipa
swali zuri sana hili mkuu controla naomba jibuKaka naomba ushauri ni mazingira yapi mazuri kwa kufanyia hii biashara yaani barabarani au uswahilini??pili je kuna upinzani wowote kutoka kwenye aya maduka ya vitu vidogodogo wanaouza gas pia kwa wewe ambaye unauza gas tu?
mkuu kuna swali hapo jamaa kauliza,biashara ya gesi inafaa mazingira gani? mtaani kwenye makazi ya watu? au barabarani?Usianze biashara yyte utakayo ambiwa ina faida au inalipa sana
kabla hujafanya research ya kutosha,sio kila biashara inalipa kwa kila mtu
kuna biashara itamlipa sana mwenzako kutokana na nature ya mazingira yake
uki iga na wewe kwa kumuangalia yule,Utaumia sana.Hivyo nakushauri kabla hujauza
PC yako na Simu yako anza kwanza kufanya Tafiti za biashara husika,eneo utakalofanyia biashara yako,Matumizi yako kwa siku.
Kokotoa kisha ukpata jibu ndio uanze biashara husika,usije ukapoteza hiyo PC na CM yako halafu uje useme tulikupanga.
Biashara zote chini ya jua zinalipa
Biashara ya gas inafaa maeneo yote kutegemea na wapi ipo,kuna maeneo barabarani gas inatoka na kuna maeneo mitaani gas inatoka.mkuu kuna swali hapo jamaa kauliza,biashara ya gesi inafaa mazingira gani? mtaani kwenye makazi ya watu? au barabarani?