ww si uanza sasa.........maana hyo ndo opportunity yenyewe..........
Mkuu usiseme mlolongo ni taratibu waliojiwekea kuhakikisha bidhaa inayoingia soko lao imekidhi ubora.niliona mlolongo wa mpaka kuuza embe UK nikaona ni bora niangalie soko la ndani tu
Quality matters! unayoona mtaani unatakiwa na yale unayoyaaona UK! Matunda si kununua tu na kusafirsha lazima yatunzwe ili hata mnunuaji afurahi, sisi hapa hayo hatuangalii, ndo maana hata ya mtahani hayo kuyanunua pia hayatamaniki. Matunda yetu hayamwagiwi dawa hivyo utakuta mengi ya midoa kibao. sasa utachagua mpaka lini upate mazuri ya kusafirisha_Wakuu naomba ushauri wenu.
Nimekuwa nitembelea maduka mbali mbali katika nchi za Ulaya hasa UK na kukuta bidhaa kazaa za kutoka Uganda na Kenya lakini sijawahi kuona bidhaa zozote kutoka Tanzania katika maduka ya UK. Nikiwa Tanzania naona kuna matunda mengi kama Machungwa, Mahembe, Nanasi, Mapalachichi, nk zimerundikwa tu barabarani na vinauzwa kwa bei ya chini sana kulinganisha na bei ya Ulaya. Je kwa nini Watanzania hatuna akili ya kuweza kupeleka hivi vitu Ulaya na kupata soko zuri.
Mimi napenda sana ndizi Bukoba na huwa nazipata kwa urahisi sana katika Maduka ya UK zikiwa zina nembo ya (Product of Uganda). Hawa jamaa wananunua ndizi hata kutoka Bukoba na Karagwe. Sisi kwa nini tusifanye hivyo tena kutoka hata Mbeya? Waganda wanauza majimbi, viazi na hata nyanya chungu katika soko la Ulaya. Sisi tumelogwa?
Wakenya wametawala soko la maua, sisi kwa nini hatuwezi?
Naomba mawazo yenu
wakuu naomba ushauri wenu.
Nimekuwa nitembelea maduka mbali mbali katika nchi za ulaya hasa uk na kukuta bidhaa kazaa za kutoka uganda na kenya lakini sijawahi kuona bidhaa zozote kutoka tanzania katika maduka ya uk. Nikiwa tanzania naona kuna matunda mengi kama machungwa, mahembe, nanasi, mapalachichi, nk zimerundikwa tu barabarani na vinauzwa kwa bei ya chini sana kulinganisha na bei ya ulaya. Je kwa nini watanzania hatuna akili ya kuweza kupeleka hivi vitu ulaya na kupata soko zuri.
Mimi napenda sana ndizi bukoba na huwa nazipata kwa urahisi sana katika maduka ya uk zikiwa zina nembo ya (product of uganda). Hawa jamaa wananunua ndizi hata kutoka bukoba na karagwe. Sisi kwa nini tusifanye hivyo tena kutoka hata mbeya? Waganda wanauza majimbi, viazi na hata nyanya chungu katika soko la ulaya. Sisi tumelogwa?
Wakenya wametawala soko la maua, sisi kwa nini hatuwezi?
Naomba mawazo yenu
Nimeshawah kujaribu iyo biznes dah its complicated kufanya individual labda uwe na mtaji mkubwa sana ki2 ambacho wengi ha2na,wenzetu kenya na uganda wanaweza coz wanapata sapoti kubwa kutoka serikali zao ili uweze kuuza uk ni lzm uwe na certified packing house then tz hapa logistics ni tabu sana km unasafirisha kwa air freight 2na depend kwa kenya airways ambao wanawapendelea wakenya wenzao na emirates,british,klm ni expensive haitokulipa vzuri then ha2na exposure kwa kweli coz pale unapohtaj msaada wa government officials respond haiwi nzuri sana coz they dnt i understand what kind of biznes it this so dispointing kwa kweli
Wakuu naomba ushauri wenu.