Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

Mkuu kamusi njoo Turiani utapata mahindi mengi tu. Mimi nitakuwa mwenyeji wako kwa maana ya kukuonesha vijiji wazalishaji wakubwa/ wanaotegemea kupata mahindi kwa wingi mwaka huu. Kwakuwa mahindi ni machache msimu huu tarajia bei itakuwa juu kidogo kuliko kawaida. Maana tulizoea msimu wa kilimo huko nyuma yalikuwa yanashuka hadi sh28000 kwa roba la debe7.

Mwaka huu itapanda kidogo make mvua ziliwayumbisha sana wakulima. Ila kiujumla ni deal sana mkuu hakika mtaji wako unatosheleza na lazima utatoboa yaani utakuwa mcharooo hatari!

Karibu sana mkuu, habari hii haina ubabaishaji. Fanya fasta usilale.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ndio biashara na ndio " Reality " Unajua Ku bargain?

Uwezo wako wa kushawish ndio faida yako la sivyo rudi ofisini

Mi niko ofcn mkuu nimeona vyema nifanye na busness. Thanks kwa ushauri tayari nilishanegotiate sn tu na bado naendelea kunegotiate.
 
mi niko ofcn mkuu nimeona vyema nifanye na busness. thx kwa ushauri tayari nilishanegotiate sn tu na bado naendelea kunegotiate

Na pakuuza usitegemee sehemu moja, tafuta masoko zaid ya hata ya kumi sehemu tofaut tofaut inshort unda network yako , Huenda kuna sehemu nyingne kwa kupitia bei hyo hyo uliyotaja ukapata faida nzur hata Mara mbil zaid ya hii uliyoiona sasa
 
Mkuu kamusi Njoo Turiani utapata mahindi mengi tu. Mimi nitakuwa mwenyeji wako kwa maana ya kukuonesha vijiji wazalishaji wakubwa/ wanaotegemea kupata mahindi kwa wingi mwaka huu. Kwakuwa mahindi ni machache msimu huu tarajia bei itakuwa juu kidogo kuliko kawaida. Maana tulizoea msimu wa kilimo huko nyuma yalikuwa yanashuka hadi sh28000 kwa roba la debe7. Mwaka huu itapanda kidogo make mvua ziliwayumbisha sana wakulima. Ila kiujumla ni deal sana mkuu hakika mtaji wako unatosheleza na lazima utatoboa yaani utakuwa mcharooo hatari!

Karibu sana mkuu, habari hii haina ubabaishaji. Fanya fasta usilale!!!

Thanks kwa information nzuri na kunipa moyo. Huko Turiani vipi, bado kuvuna mkuu?
Mkuu vp na ww unafanya hii biashara au ni mkulima? Vipi kuhusu usafiri kutoka huko turiani hadi dar ni sh. ngapi kwa gunia?
 
Last edited by a moderator:
Na pakuuza usitegemee sehemu moja , tafuta masoko zaid ya hata ya kumi sehemu tofaut tofaut inshort unda network yako, Huenda kuna sehemu nyingne kwa kupitia bei hyo hyo uliyotaja ukapata faida nzur hata Mara mbili zaidi ya hii uliyoiona sasa.

Sawa mkuu asante sana nitafuata ushauri wako. Vipi wewe unafahamu sehemu yanakopatikana mahindi kwa urahisi?
 
Thx kwa information nzuri na kunipa moyo. huko turiani vp bado kuvuna mkuu?
mkuu vp naww unafanya hii biashara au ni mkulima? vp kuhusu usafiri kutoka huko turiani hadi dar ni sh. ngapi kwa gunia?

Mkuu mimi ni mkulima ila sio wa mahindi. Kwa Dar fuso linaruka hadi sh 750k, jaribu kuulizia linauwezo wa kubeba shehena ya magunia mangapi ili ujue @.

Sijawahi kusafirisha mahindi so nachelea kukuingiza chaka! Ila kiujumla mwaka huu dodo umelenga mle mle!!

Huu ndo wakati haswaa wakulima wanajiandaa kuvuna. Ukiwahi ndo vzr make wengi wao watahitaji hela ya kuvunia na maroba, hivyo ni rahisi kuandaa mazingira mazuri ya kupata mzigo kwa bei ya chini kuliko aliyechelewa na kukuta wameshavuna.

Njoo week hii wala usingoje kengele!
 
Mkuu mimi ni mkulima ila sio wa mahindi. Kwa Dar fuso linaruka hadi sh 750k, jaribu kuulizia linauwezo wa kubeba shehena ya magunia mangapi ili ujue @.

Sijawahi kusafirisha mahindi so nachelea kukuingiza chaka!
Ila kiujumla mwaka huu dodo umelenga mle mle!!

Huu ndo wakati haswaa wakulima wanajiandaa kuvuna. Ukiwahi ndo vzr make wengi wao watahitaji hela ya kuvunia na maroba, hivyo ni rahisi kuandaa mazingira mazuri ya kupata mzigo kwa bei ya chini kuliko aliyechelewa na kukuta wameshavuna.

Njoo week hii wala usingoje kengele!!

Ok thx mkuu, nashukuru kwa maelezo mazuri. Nataka nijaribu bahati yangu mkuu. Thx a lot.
 
ok thx mkuu nashukuru kwa maelezo mazuri. nataka nijaribu bahati yangu mkuu.thx a lot

Karibu sana na ufanye kweli sio kujaribu tena mbona iko wazi utapata hela!
Hakikisha bajeti ya pikipiki iwe first priority ili uweze kumudu kuwafikia wakulima kwa wakati na kurahisisha ukisanyaji wa mizigo yako.
 
Thx kisima nimekutumia pm sijui umeiona kakangu? Nitawapa feedback itakavyokuwa.
 
[QUOTE=kamusi; gunia linasafirishwa kwa bei gani ukitumia usafiri wa fuso alipoandika sh 750 k cjamuelewa aisee
 
Kuna watu wanapotosha kweli,kla sehem kna standard price ya kusafirisha mzgo syo kama wanavyopotosha wengine,eg,mzgo ktoka mwanza to rukwa kwa tone 10 lazma uache 1.8 m,malor meng watakpa bei hyo,kama una mzgo mdogo itakbd mjoin na mtu ili mfkshe hzo tone kmi then mtapga hesab yenu jns gan mchangie naul ya mzgo.ila buzness ya mahnd inalpa sana coz unaweza kpata faida ya 1 m kwa kla tone 10 kama utajpanga vzr pia na watu unaofanya nao buznes
 
Back
Top Bottom