Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 3,987
- 2,493
Mkuu nitakutembelea unipe maujuzi zaidiBiashara ya mchele ipo hivi ndg yangu kwa sisi tuliopo huku mikoani esp km hapa mkoa mpya wa Songwe ktk wilaya ya Momba kuna vijiji wao wanalima mpunga kwa sana vijiji km Kamsamba na Chitete mpunga una mbegu zaidi ya mbili tunachokifanya huku km kipindi hiki cha mavuno tunaenda vijijin tunanunua mpunga kwa wakulima kwa debe elfu3 mpk4 kwa gunia linaingia debe10 tunakuja kuuifadhi tukija kuukoboa tunauza debe1 kuanzia elfu25mpk30 hatuleti mjini bali nyie wa mjini mnakuja kununua huku kwetu