Hili swala la Inalipa ndo hufanya watu wakimbie biashara ndani ya miezi kadhaa, Unapo ingia kwenye biashara kwa kuangali kama inalipa au la ni tatizo.
KUHUSU NAFAKA
-Wakati umefika sasa wabongo tuwe wabunifu, make tuna tatizo kubwa sana kwenye ubunifu, unapo nunua nafakaeti uzifiche na baadae kuziuza ni biashara za kizamani sana, na sijui kama wanao fanya hivyo hucalculate TIME pamoja MFUMUKOWA BEI, make ukiweka vyote utakuta ni hakuna kitu.
NINI CHA KUFANYA
- Ni lazima watu wajikite katika kuongeza thamani mazao, kununua mahindi a kuyauza kama yalivyo hakuna kitu ulichoongeza hapo, but ukanunua na kukoboa, kusaga na kupak tiyari umeisha ongeza thamani,
Hivyo ni wakati wa kongeza thamani product zetu, iwe ni kuku, nafaka na kazalika, bila hivyo tutaachwa nyuma na kuishia kulalamika ni kwa nini Supermarket kama Shoprite waagize nyama kutoka nje? Ni kwa nini waagize Matunda, nyama kuku kutoka nje? Hayo nd malalamiko yetu, But Shoprite hawawezi enda Buchan kupanga foleni ya kununua nyama.
HIVYO WAKUU TUJARIBU KUWA TUNAONGEZA SOME THING KATIKA BIDHAA NA HUDUMA ZETU