Biashara ya kunenepesha mbuzi na ngo’mbe

Duh kuna wahuni nasikia wananenepesha kuku na nguruwe kwa vidgo vya uzazi wa mpango na ARV kama ni kwel tumekwisha.
 
Mkuu Ranchi ya Taifa wanafanya Hiyo kazi pale ruvu,kama sikosei unawapeleka pale unatoa gharama za malisho Kwa miezi mitatu wakishanawiri unaweza wauzia wao au kufanya utakavyoamua.Ila nahisi pia Uyole chuo Cha kilimo wanafanya nenda pale mkuu ukaulize hutakosa kitu.
 
Asante sana mkuu

Ubarikiwe
 
Duh kuna wahuni nasikia wananenepesha kuku na nguruwe kwa vidgo vya uzazi wa mpango na ARV kama ni kwel tumekwisha.
sina hakika ngoja tumsubiri wajuvi wa mambo au ndio kwasabb nyama ya hizo vitu ni tamu balaa siku izi..
 
Duh kuna wahuni nasikia wananenepesha kuku na nguruwe kwa vidgo vya uzazi wa mpango na ARV kama ni kwel tumekwisha.
Wengine wanawapa na Viagra wanachanganya na mbolea ya mahindi
Yaani mardhi mtakayopata wataalamu watasema ni ugonjwa mpya na hawatajua umekujaje
 
Habari zenu wadau.

Naomba kupata elimu ya Biashara ya kunenepesha mbuzi ili nije kuuza kwa faida.

Nipo mkoa wa Mbeya.

Kama kuna mtu anafanya iyo biashara Naomba connection.
Hapa ni Lazima upate Elimu Ndugu!

Nenda kwa Wataalamu wa Mifugo wa Wilaya uliyoko uombe Elimu.

Au utafute Wataalamu wa Makampuni ya Koudjis au Trow Nutrition.

Utaelimika na utafundishwa kwa Vitendo.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom