Jamani ninataku kuanzisha biashara ya internet cafe maeneo ya chuo kimoja hapa jijini, naomba munisaidie nitumie inetrnet service provider wapi wazuri ambayo watanipa speed nzuri kwa ajiri ya wateja wangu kwa gharama inayofanana na huduma wanayonipatia. Nimepita kwenye sasatel, vodacom, zantel huko kote pasua kichwa. Tyari nimeishalipia pango la mwaka mmoja lkn nimeshindwa endelea maana service providers waote niliowaorodhesha hapo pasua kichwa. Wanaofanya hii business naomba msaada wenu
asante sana mkuu kwa wazo zuri hili,,bila shaka yeyote nitalifanyia kazi.Biashara ya internet sio lazima hapa Dar ,nilikuwa Morogoro Ifakara kuna Internet Cafe moja tu na kuna wateja kibao
nashukuru sana mkuu belo kwa machango mzuri.Biashara ya internet sio lazima hapa Dar ,nilikuwa Morogoro Ifakara kuna Internet Cafe moja tu na kuna wateja kibao
Inalipa ukipata eneo ambalo computer inatumika muda mrefu....labda si chini masaa 8 hivi kwa siku yaani tangu saa 2 asubuhi na saa 4 usiku,ukiwa na pc kama 5 hivi ina maana 500*5*8 unapata 20,000 kila siku,kwa mwezi unapata 600,000/ hy upande wa internet
ninataraji kuwa na compyuta kama 10.kitu ambacho sijui ni namna ya kupata zile connection yaan kama ni ya TTCL au zile za sasatel,sifahamu zipi zinafaa.
ukitaka fanya biashara vizuri hakikisha una walau knowledge flani ya mambo ya comp. Hakikisha internet speed iko fast walau 250kb/sec.
Mimi hapa nauza pia software, cd za windows na mtu akitaka update antivirus pia analipia ela tofauti ambayo ni 3000.
mimi nina computer 6 kwa siku sikosi elfu 30000 sometime hadi napata 90 au hata laki kwa kuwa mimi nauza pia movie mpya ninazo download toka internet na softwares pia na kila movie mpya mtu akitaka namuuzia 5000 moja kwa 3000 kama anachukua zaidi ya 5.
Ubunifu wako kaka
umeniimpress mkuu..ofkoz nina knowledge na mambo hayo maana niliyasomea pia.nimependa suala zima la ubunifu lilivyotumika hapa,,,,,,,,,,kwamba naweza lets say jumamos 1 nikaweka bango 'surf 3hours get one free'... au labda naweka tangazo la movie mpya ilivozinduliwa jan ayakwe kwenye theatre marekani 'get it now on ur screen'..na mambo mengine kama hayo...safi sana mkuu!!watu tunaweza tukiweka longolongo kando na kuwa comitted...hongera sana kutengeneza laki kwa siku.
ukitaka fanya biashara vizuri hakikisha una walau knowledge flani ya mambo ya comp. Hakikisha internet speed iko fast walau 250kb/sec.
Mimi hapa nauza pia software, cd za windows na mtu akitaka update antivirus pia analipia ela tofauti ambayo ni 3000.
mimi nina computer 6 kwa siku sikosi elfu 30000 sometime hadi napata 90 au hata laki kwa kuwa mimi nauza pia movie mpya ninazo download toka internet na softwares pia na kila movie mpya mtu akitaka namuuzia 5000 moja kwa 3000 kama anachukua zaidi ya 5.
Ubunifu wako kaka[/
QUOTE]
Mkuu El unapatikanaje? naomba uni-pm contacts zako tafadhari. Ahsante