Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

Naomba nikuulize hapo ulipo dagaa zipo? if yes, basi nakuhakikishia kuwa hiyo biashara ina lipa sana cha muhimu uwe makini kwenye packing

Vp Mkuu na biashara ya samaki Sato na sangara kuwaletA dar? Usafirishaji na mtaji km sh ngap hivi unatosha? Naomba mchanganuo kidogo nataka nijaribu na mm.
 
Hii normal waweza elezea vizur kaka.....yaan wanao fwata bidhaa polini,..wananunua bei gan kwa wavuvi mpk kuleta kwa wafanya biashara wakubwa na soko lao huwa vip??
 
Hizi ndizo fursa za kushirikishana hongera mleta mada naona umetumia mtandao vizuri
Ngoja tujipange tuchangamkie fursa
 
HABARI ZENU WAKUU
Ni Muda WA Miezi Mitano sasa Toka nihitimu Chuo pale Chuo kikuu cha Mtakatifu Agostino (Mwanza) Tawi kuu. Namshukru Mungu nkapata Degree yangu ya Kwanza ya Falsafa na Elimu, lakini kwa kipindi chote hicho mpaka Sasa hivi nafanya Temporary work kwa Rafiki yang kipenzi (Boss Fulani) mmiliki WA Magari kadhaa ya mizigo na Mnunuzi WA Tani za Dagaa kutoka mikoa ya Mara na Mwanza.

Kiukweli Nje ya Business ya Magari ya Mizigo ( Semi - Trailers) especially Scania R 420 , 114 n.k Jamaa hyu Business ya Dagaa inamlipa Sana kuliko Magari na PIA sisi kama wasimamizi wake Maisha yanaenda japo kazi Ni Ngumu ILA masilahi yapo .
Biashara hii Dagaa hufanywa kwa kuchukua Dagaa kutoka huku na kupelekwa Dar, Congo, Tunduma, Arusha na kwingineko Na inalipa Sana ukizingatia yafuatayo, Mtaji, Soko, Muda WA kusimamia na juhudi na watu (Social capital), n.k

Mimi kesho na kesho na kesho ntaka Nijipange na nianze Mdogo mdogo
Karibuni Musoma karibuni Kwenye Dagaa. Tafadhali Mchanganuo kama ifuatavo; Dagaa inayonunulia Ni Dagaa chafu (Chakula ya kuku) na Dagaa safi Chakula ya Binadam
1. Chakula ya kuku Inauzwa kwa Dumu Yan ndoo ya Litre 20 , Mara nyingi dagaa hii ya Chakula ya kuku huuzwa kwa Tsh. Elfu 10,000/= mpaka Elfu sita na Mia Tano kwa Kama Dagaa imepatikana nyingi Sana bei yake hususha Automatically Kwan kwenye Masoko Hufurika Sana.

UANDAAJI Chakula ya kuku huandaliwa kwa kuwekwa kwenye Gunia kubwa ambapo Kila gunia hubeba Dumu 21 na @ Gunia likipimwa hutoa kilo kuanzia 120- 95.

USAFIRI Baada ya kuandaliwa na kuwa tayari hupakiwa kwenye Magari ya mizigo na kupelekwa Kwenye Masoko kama vile Dar, Congo,Tunduma, Arusha n.k . bei ya Usafiri Inategemea Mzigo Wako na PIA Maelewano na Mwenye Gari lakini kama Semi- Trailer lenye Contena Kama vile Scania R420 Mara nyingi hubeba Gunia 270 na hapo hutegemea upakiaji WA Makuli husika Na bei hapa Kwa Gari huwa Ni one million and point six 1,600,000/=.

BEI kiwandani dagaa hizi huuzwa kwa kilo ambapo Kilo Ni 3500- 2500 Inategemea Upatikanaji WA Bidhaa na Kiwanda husika.
Kwa hyo gunia Lenye Dumu 21, Na lenye Thamani ya Tsh. 210,000= na Gharama ya 25,000 Uaandaji usafiri , ushuru na Mengineyo na lenye kilo 120 Ambapo @ kilo 3500- 2500 .
Hapo ukipiga Hesabu utakuta kwamba Ni
120*3500= 420000
420000- 235000= 185000
Au 95*2500= 237500 Kama Dagaa umeinunua kwa bei nzuri na umebana Mapato saswa Sawa.

MASOKO
kwa Dar ndo habari yake Kwan ndo Viwanda vingi vya Chakula ya kuku hupatikana Hasa kwa Falcon, Kitunda kwa Matinde few to mention just Na hapa kwenye vizuri kufatilia mwenyewe kuepusha madalali na matapeli WA mujini , Nakaribisha Kitu Maswali, Matusi,Kejeli na Mengine

MAWASILIANO

0767258286/0789258286/0673258086

KARIBUNI MUSOMA KWENYE DAGAA WA CHAFU (CHAKULA YA KUKU).
safi sana mkuu kuna kiwanda kingine cha chakula cha kuku kipo tegeta kama siyo basihaya au nyaishozi..ni cha kutengeneza chakula cha kuku wananunua sana hata mahindi..mashudu
 
Nashukuru kwa kutupa somo I real appriciete this thing
 
Hii normal waweza elezea vizur kaka.....yaan wanao fwata bidhaa polini,..wananunua bei gan kwa wavuvi mpk kuleta kwa wafanya biashara wakubwa na soko lao huwa vip??
Ntafte kwenye namba zangu hapo juu ntakuelekeza kwa ufasaha zaidi.

Karibu.
 
HABARI ZENU WAKUU
Ni Muda WA Miezi Mitano sasa Toka nihitimu Chuo pale Chuo kikuu cha Mtakatifu Agostino (Mwanza) Tawi kuu. Namshukru Mungu nkapata Degree yangu ya Kwanza ya Falsafa na Elimu, lakini kwa kipindi chote hicho mpaka Sasa hivi nafanya Temporary work kwa Rafiki yang kipenzi (Boss Fulani) mmiliki WA Magari kadhaa ya mizigo na Mnunuzi WA Tani za Dagaa kutoka mikoa ya Mara na Mwanza.

Kiukweli Nje ya Business ya Magari ya Mizigo ( Semi - Trailers) especially Scania R 420 , 114 n.k Jamaa hyu Business ya Dagaa inamlipa Sana kuliko Magari na PIA sisi kama wasimamizi wake Maisha yanaenda japo kazi Ni Ngumu ILA masilahi yapo .
Biashara hii Dagaa hufanywa kwa kuchukua Dagaa kutoka huku na kupelekwa Dar, Congo, Tunduma, Arusha na kwingineko Na inalipa Sana ukizingatia yafuatayo, Mtaji, Soko, Muda WA kusimamia na juhudi na watu (Social capital), n.k

Mimi kesho na kesho na kesho ntaka Nijipange na nianze Mdogo mdogo
Karibuni Musoma karibuni Kwenye Dagaa. Tafadhali Mchanganuo kama ifuatavo; Dagaa inayonunulia Ni Dagaa chafu (Chakula ya kuku) na Dagaa safi Chakula ya Binadam
1. Chakula ya kuku Inauzwa kwa Dumu Yan ndoo ya Litre 20 , Mara nyingi dagaa hii ya Chakula ya kuku huuzwa kwa Tsh. Elfu 10,000/= mpaka Elfu sita na Mia Tano kwa Kama Dagaa imepatikana nyingi Sana bei yake hususha Automatically Kwan kwenye Masoko Hufurika Sana.

UANDAAJI Chakula ya kuku huandaliwa kwa kuwekwa kwenye Gunia kubwa ambapo Kila gunia hubeba Dumu 21 na @ Gunia likipimwa hutoa kilo kuanzia 120- 95.

USAFIRI Baada ya kuandaliwa na kuwa tayari hupakiwa kwenye Magari ya mizigo na kupelekwa Kwenye Masoko kama vile Dar, Congo,Tunduma, Arusha n.k . bei ya Usafiri Inategemea Mzigo Wako na PIA Maelewano na Mwenye Gari lakini kama Semi- Trailer lenye Contena Kama vile Scania R420 Mara nyingi hubeba Gunia 270 na hapo hutegemea upakiaji WA Makuli husika Na bei hapa Kwa Gari huwa Ni one million and point six 1,600,000/=.

BEI kiwandani dagaa hizi huuzwa kwa kilo ambapo Kilo Ni 3500- 2500 Inategemea Upatikanaji WA Bidhaa na Kiwanda husika.
Kwa hyo gunia Lenye Dumu 21, Na lenye Thamani ya Tsh. 210,000= na Gharama ya 25,000 Uaandaji usafiri , ushuru na Mengineyo na lenye kilo 120 Ambapo @ kilo 3500- 2500 .
Hapo ukipiga Hesabu utakuta kwamba Ni
120*3500= 420000
420000- 235000= 185000
Au 95*2500= 237500 Kama Dagaa umeinunua kwa bei nzuri na umebana Mapato saswa Sawa.

MASOKO
kwa Dar ndo habari yake Kwan ndo Viwanda vingi vya Chakula ya kuku hupatikana Hasa kwa Falcon, Kitunda kwa Matinde few to mention just Na hapa kwenye vizuri kufatilia mwenyewe kuepusha madalali na matapeli WA mujini , Nakaribisha Kitu Maswali, Matusi,Kejeli na Mengine

MAWASILIANO

0767258286/0789258286/0673258086

KARIBUNI MUSOMA KWENYE DAGAA WA CHAFU (CHAKULA YA KUKU).
Ubarikiwe bro..haya ndo mawazo vijana tunapaswa kuwaza
 
Wakati naletwa musoma kikazi sikuwahi kuona fursa yeyote kwani maisha ni magumu kimtindo halafu ni expensive. Mzunguko wa pesa ni mdogo , kila kitu bei juu. Hapo mwigobero sikuwahi kujua kwamba kuna madini kihivyo. Ambaye anahitaji msaada wa kukusanya mzigo naweza kumsaidia ila itabidi anilipe lol!
 
Ndugu yangu Acha kuniletea Hasira zako za Mwendo Kasi hapa Ni wap nimesema uongo, onesha hicho Kipande hapa please kama huna Busara nenda kapande Gari za Mwendo Kasi ukale mbele .
Huyu ni mfanya biashara hiyo tayari, hapa anatafuta namna ya kuvuruga mada wengine wasifuguke macho
 
HABARI ZENU WAKUU
Ni Muda WA Miezi Mitano sasa Toka nihitimu Chuo pale Chuo kikuu cha Mtakatifu Agostino (Mwanza) Tawi kuu. Namshukru Mungu nkapata Degree yangu ya Kwanza ya Falsafa na Elimu, lakini kwa kipindi chote hicho mpaka Sasa hivi nafanya Temporary work kwa Rafiki yang kipenzi (Boss Fulani) mmiliki WA Magari kadhaa ya mizigo na Mnunuzi WA Tani za Dagaa kutoka mikoa ya Mara na Mwanza.

Kiukweli Nje ya Business ya Magari ya Mizigo ( Semi - Trailers) especially Scania R 420 , 114 n.k Jamaa hyu Business ya Dagaa inamlipa Sana kuliko Magari na PIA sisi kama wasimamizi wake Maisha yanaenda japo kazi Ni Ngumu ILA masilahi yapo .
Biashara hii Dagaa hufanywa kwa kuchukua Dagaa kutoka huku na kupelekwa Dar, Congo, Tunduma, Arusha na kwingineko Na inalipa Sana ukizingatia yafuatayo, Mtaji, Soko, Muda WA kusimamia na juhudi na watu (Social capital), n.k

Mimi kesho na kesho na kesho ntaka Nijipange na nianze Mdogo mdogo
Karibuni Musoma karibuni Kwenye Dagaa. Tafadhali Mchanganuo kama ifuatavo; Dagaa inayonunulia Ni Dagaa chafu (Chakula ya kuku) na Dagaa safi Chakula ya Binadam
1. Chakula ya kuku Inauzwa kwa Dumu Yan ndoo ya Litre 20 , Mara nyingi dagaa hii ya Chakula ya kuku huuzwa kwa Tsh. Elfu 10,000/= mpaka Elfu sita na Mia Tano kwa Kama Dagaa imepatikana nyingi Sana bei yake hususha Automatically Kwan kwenye Masoko Hufurika Sana.

UANDAAJI Chakula ya kuku huandaliwa kwa kuwekwa kwenye Gunia kubwa ambapo Kila gunia hubeba Dumu 21 na @ Gunia likipimwa hutoa kilo kuanzia 120- 95.

USAFIRI Baada ya kuandaliwa na kuwa tayari hupakiwa kwenye Magari ya mizigo na kupelekwa Kwenye Masoko kama vile Dar, Congo,Tunduma, Arusha n.k . bei ya Usafiri Inategemea Mzigo Wako na PIA Maelewano na Mwenye Gari lakini kama Semi- Trailer lenye Contena Kama vile Scania R420 Mara nyingi hubeba Gunia 270 na hapo hutegemea upakiaji WA Makuli husika Na bei hapa Kwa Gari huwa Ni one million and point six 1,600,000/=.

BEI kiwandani dagaa hizi huuzwa kwa kilo ambapo Kilo Ni 3500- 2500 Inategemea Upatikanaji WA Bidhaa na Kiwanda husika.
Kwa hyo gunia Lenye Dumu 21, Na lenye Thamani ya Tsh. 210,000= na Gharama ya 25,000 Uaandaji usafiri , ushuru na Mengineyo na lenye kilo 120 Ambapo @ kilo 3500- 2500 .
Hapo ukipiga Hesabu utakuta kwamba Ni
120*3500= 420000
420000- 235000= 185000
Au 95*2500= 237500 Kama Dagaa umeinunua kwa bei nzuri na umebana Mapato saswa Sawa.

MASOKO
kwa Dar ndo habari yake Kwan ndo Viwanda vingi vya Chakula ya kuku hupatikana Hasa kwa Falcon, Kitunda kwa Matinde few to mention just Na hapa kwenye vizuri kufatilia mwenyewe kuepusha madalali na matapeli WA mujini , Nakaribisha Kitu Maswali, Matusi,Kejeli na Mengine

MAWASILIANO

0767258286/0789258286/0673258086

KARIBUNI MUSOMA KWENYE DAGAA WA CHAFU (CHAKULA YA KUKU).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom