Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

USHAURI: MTAJI, FAIDA NA USIMAMIZI

Nitatoa maelezo kulingana nauelewa wangu na uzoefu wangu japo si sana.

Kuhusu mtaji
Mtaji unatofautina kulingana na uwezo wa mtu as wapo wenye mitaji midogo na mikubwa! Wapo wanaoanza ata na laki 2 na kuendelea na wapo wasafirisha kupeleka huko Mtwara, Tunduma adi congo lakini hao ni wenye mitaji mikubwa na pia inahitajika uwe na soko ambapo ukichukua mzigo unajua utapeleka wapi nautakua ni kiasi gani cz huwezi kuchukua tu mzigo na kusema napeleka dodoma itakula kwako cz watu wengi wanakua wanachukua mizigo kwa oda na pia kulingana na soko alilonalo.

Kuhusu faida
Kiukweli dagaa inafaida tena nzuri tu sema inategemea na ukubwa wa mzigo na ubora mda unaokua umetumia kuanzia kununua, kusafirisha adi kuuza na pia wanaochukua mizogo mikubwa hua wanakua na faida kubwa na pia faida inatofautiana kulingana na mzigo uliochukua na bei ya soko unapouzia as bei zinatofautina sehemu na sehemu cz bei ya dom na Dar ni tofauti kabs kadhalika na masoko mengine.

Kuhusu uzimamizi
Usimamizi unahitajika sana hasa wakati wa ununuaji wa mzigo cz ndo wakti unapotakiwa kuangalia ubora wa mzigo nikimaanisha wa wawe wamekauka vizuri, wasiwe na mchanga mwingi na pia!! Usimamizi unahitajika wakati wa kupakia mzigo kwenye gari as mpakiaj anatiwa ahakikishe anamkabidhi dereva au mpakiaji kwa maandishi pia inatakiwa mpokeaji ajulikane na unakabidhi mawasiliano yako!!!! Vikwzo vipo kwenye sana kwenye kupata mtu mwaminifu ambaye unaweza kufnya nae kazi na pia mchanga hua unasumbua saaana.

Kwa maelezo hayo machache ni matumaini yangu kua mtakua mmepata mwanga na pia kama yupo mwenye maelezo ya tofauti au nyongeza anakaribishwa.

Kwa maelezo ziada kama bado unamaswali namba yangu nimeshaitoa call me me any time.

Karibuni
 
hiv mkuu je wale wakukaanga naweza kuwapa?

Mkuu wanapatikana sema ndio kama hao wakavu lazima uwe na soko la uhakika ujue unawapeleka wapi na kwa bei gani na km unawahitaji embu chukua mawasilian yangu apo juu tuwasiliane kwa maelezo zaidi.
 
Sorry kaka eti dagaa wabichi kwasasa kisado kimoja ni bei gani kwa ziwani, na sokoni?
 
Sawa wakuu!

Nitatoa maelezo kulingana nauelewa wangu na uzoefu wangu japo si saaana.

Kuhusu mtaji
Mtaji unatofautina kulingana na uwezo wa mtu as wapo wenye mitaji midogo na mikubwa! Wapo wanaoanza ata na laki2 na kuendelea na wapo wasafirisha kupeleka huko mtwara, tunduma adi congo lakini hao ni wenye mitaji mikubwa na pia inahitajika uwe na soko ambapo ukichukua mzigo unajua utapeleka wapi nautakua ni kiasi gani cz huwezi kuchukua tu mzigo na kusema napeleka dodoma itakula kwako cz watu wengi wanakua wanachukua mizigo kwa oda na pia kulingana na soko alilonalo.

Kuhusu faida
Kiukweli dagaa inafaida tena nzuri tuu sema inategemea na ukubwa wa mzigo na ubora mda unaokua umetumia kuanzia kununua, kusafirisha adi kuuza na pia wanaochukua mizogo mikubwa hua wanakua na faida kubwa na pia faida inatofautiana kulingana na mzigo uliochukua na bei ya soko unapouzia as bei zinatofautina sehemu na sehemu cz bei ya dom na dar ni tofauti kabs kadhalika na masoko mengine.

Kuhusu uzimamizi
Usimamizi unahitajika sana hasa wakati wa ununuaji wa mzigo cz ndo wakti unapotakiwa kuangalia ubora wa mzigo nikimaanisha wa wawe wamekauka vizuri, wasiwe na mchanga mwingi na pia!! Usimamizi unahitajika wakati wa kupakia mzigo kwenye gari as mpakiaj anatiwa ahakikishe anamkabidhi dereva au mpakiaji kwa maandishi pia inatakiwa mpokeaji ajulikane na unakabidhi mawasiliano yako!!!! Vikwzo vipo kwenye sana kwenye kupata mtu mwaminifu ambaye unaweza kufnya nae kazi na pia mchanga hua unasumbua saaana.

Kwa maelezo hayo machache ni matumaini yangu kua mtakua mmepata mwanga na pia kama yupo mwenye maelezo ya tofauti au nyongeza anakaribishwa.

Kwa maelezo ziada kama bado unamaswali namba yangu nimeshaitoa call me me any time.

Karibuni

Mkuu Kama unaweza hebu weka actual figures
kwa mfano MTU Ana mtaji Wa mil 6

1. Ni kiasi gani cha dagaa anaweza kununua (tonne ngapi)
2. Gharama ya usafiri atakazo ingia (let say anatoa mwanza kupeleka Dar)
3. Ushuru anaopaswa kulipia wakati anafanya manunuzi au mauzo
4. Atatumia muda gani kukusanya mzigo wote
5. Gharama yeyote nyingine inayoweza kujitokeza (kupakia na kupakua)
6. Bei ya kuuzia
7. Aina ya malipo baada ya kuuza (cash au?)
 
Hapa patamu sana.

Sasa nina soko, sina mtaji. Tunaweza kuwa joint? what i mean nipate % ya mauzo?
Nipo DAR.

Kuanzia hapo tunaweza ongea vizuri.
 
sorry kaka eti dagaa wabichi kwasasa kisado kimoja ni bei gani kwa ziwani,na sokoni?

zinatofautiana siku na siku ila kulingana na upatikanaji but inachezea elfu tano adi 7 kwa sehem niliyopo so sijui kama ni sawa na sehem nyingine
 
Mkuu Kama unaweza hebu weka actual figures
kwa mfano MTU Ana mtaji Wa mil 6
1. ni kiasi gani cha dagaa anaweza kununua (tonne ngapi)
2. Gharama ya usafiri atakazo ingia (let say anatoa mwanza kupeleka dar)
3. Ushuru anaopaswa kulipia wakati anafanya manunuzi au mauzo
4. Atatumia muda gani kukusanya mzigo wote
5. Gharama yeyote nyingine inayoweza kujitokeza (kupakia na kupakua)
6. Bei ya kuuzia
7. Aina ya malipo baada ya kuuza (cash au?)

Mkuu naomba unipe mda kidogo nitakuja na majibu
 
nashukuru sana mkuu maana kuna mtu hapa aliniambia kisado kimoja cha dagaa wabichi kinauzwa elf 20,
 
Habari za asubuhi wakuu?

Naomba kufahamishwa aina ya hii ya dagaa kutoka kigoma inafanyikae kwa upande wa huko?

Hali ya soko lake iko kwa sasa? Bei yake kwa kuanzia ngazi ya gunia moja kwa huko kigoma na mpaka kuja kuuza miji mikubwa kama dar es salaam, mwanza, tanga na mikoa mingine, bei zake zikoje na hali ya soko kiujumla ikoje wadau?

Ahsanteni!
 
wadau, hivi kweli hamna mwenye information zozote kuhusiana na hii biashara?
 
Unajua hii Biashara hii kwanza angalia washindani wako kwa soko la Dar.
Dagaa wa Kigoma wanatofautiana kwenye Packaging.
Nenda Pale Ibitungwa Magomeni.
Wale Jamaa ni wa Kigoma,maana hata Dagaa au samaki wabichi wa Kigoma unawapata Pale na bidhaa zote za Kigoma pale zipo,wamejipanga vizuri sana.
Hapo utapata mwanga
 
JF natumaini nitapata mchanganua wa biashara hii, nipo mbioni kuijaribu mimi nipo Mbeya nataka nitoe Mwanza to Mbeya. naweza pata utaratibu wake na je nilazima niwe na kibali, pia changamoto zike ni zipi. pia napenda nikutane na muuzaji si dalali. kwa anayemjua muuzaji kwa mwanza anipe namba yake. tufanye kazi.
 
Wakuu hbr za leo napenda kutambulisha biashara yangu ya dagaa safi wasio na mchanga, hawa ni dagaa wa ziwa victoria lakini wanakahushwa kwa mashine na kufanyiwa packing ktk pack za ujazo tofauti tofauti, bei ya KG moja kwa Dar ni Tzs 3500 hii ni bei ya jumla mwenye kuhitaji ntaomba aweze ku ni pm then tufanye discussion
 
Natoa heshima kubwa mbele yenu waheshimiwa na members woote wa JF, napenda kutambulisha biashara yangu mpya ya dagaa safi wasi wasio na mchanga, dagaa hawa tayali wanawekwa viungo kama chumvi, tangawizi, ndimu na pilipili kwa mbali, aina hii ya dagaa wanakahushwa na automatic dryer machine kwa kiwango cha juu kabisa, moisture content inayobaki ktk dagaa baada ya kukahushwa ni chini ya 3% of total wetness baada ya kuvuliwa.

Kuweka hapa tunategemea kuanza uzalishaji week hii, naomba kama kutakuwa na mtu anayehitaji basi aweze ku pm, bei ya kuanzia kuuza mzigo ni TZs 4500 kwa kg, bei hii ni door delivery kwa wateja wooote waliopo njia ya kwenda Dar es salaam kutokea Mwanza, kwa maana ya wateja wa kuanzia Shinyanga, Singida, Dodoma, Morogoro na pia Dar es salaa. karibuni kwa mchango wenu wana JF, nawakilisha
 
Weka picha tuone hao dagaa wenyewe,


maana siku hizi mtu anaenda kariakoo ananunua vidaa mchanga vile anapaka mafuta na kupaki kisha anaingiza sokoni. wizi mtupuuuuu!!!!!!

Weka sim ya biashara basi.
 
Weka picha tuone hao dagaa wenyewe,


maana siku hizi mtu anaenda kariakoo ananunua vidaa mchanga vile anapaka mafuta na kupaki kisha anaingiza sokoni. wizi mtupuuuuu!!!!!!

Weka sim ya biashara basi.

Nadhani umeona hapo kuwa itaanza na sio imeanza so mleta uzi katoa tangazo mapemaaa ili mjiandae. Muvimba sema kama sijakuelewa vizuri.

Pangu Pakavu
 
[QUOTE=muvimba;12924435]Natoa heshima kubwa mbele yenu waheshimiwa na members woote wa JF, napenda kutambulisha biashara yangu mpya ya dagaa safi wasi wasio na mchanga, dagaa hawa tayali wanawekwa viungo kama chumvi, tangawizi, ndimu na pilipili kwa mbali, aina hii ya dagaa wanakahushwa na automatic dryer machine kwa kiwango cha juu kabisa, moisture content inayobaki ktk dagaa baada ya kukahushwa ni chini ya 3% of total wetness baada ya kuvuliwa. kwa kuweka hapa tunategemea kuanza uzalishaji week hii, naomba kama kutakuwa na mtu anayehitaji basi aweze ku pm, bei ya kuanzia kuuza mzigo ni TZs 4500 kwa kg, bei hii ni door delivery kwa wateja wooote waliopo njia ya kwenda Dar es salaam kutokea Mwanza, kwa maana ya wateja wa kuanzia Shinyanga, Singida, Dodoma, Morogoro na pia Dar es salaa. karibuni kwa mchango wenu wana JF, nawakilisha[/QUOTE]

Nadhani umeona hapo kuwa itaanza na sio imeanza so mleta uzi katoa tangazo mapemaaa ili mjiandae. Muvimba sema kama sijakuelewa vizuri.

Pangu Pakavu


Kuanza maana yake nini????????

Hao dagaa anaweweka pilipili kwa nadhalia??????

Hajaanza kuuza ila bidhaa anayo hicho ndio nilichoelewa mimi, atatangazaje biashara hadi bei wakati hajui hata dagaa atapata wapi. nilichoelewa dagaa anaziandaa ila anatafuta soko.

NOTE: Usimjibie mtu anayefanya biashara, hujui mipango yake.
 
[QUOTE=muvimba;12924435]Natoa heshima kubwa mbele yenu waheshimiwa na members woote wa JF, napenda kutambulisha biashara yangu mpya ya dagaa safi wasi wasio na mchanga, dagaa hawa tayali wanawekwa viungo kama chumvi, tangawizi, ndimu na pilipili kwa mbali, aina hii ya dagaa wanakahushwa na automatic dryer machine kwa kiwango cha juu kabisa, moisture content inayobaki ktk dagaa baada ya kukahushwa ni chini ya 3% of total wetness baada ya kuvuliwa. kwa kuweka hapa tunategemea kuanza uzalishaji week hii, naomba kama kutakuwa na mtu anayehitaji basi aweze ku pm, bei ya kuanzia kuuza mzigo ni TZs 4500 kwa kg, bei hii ni door delivery kwa wateja wooote waliopo njia ya kwenda Dar es salaam kutokea Mwanza, kwa maana ya wateja wa kuanzia Shinyanga, Singida, Dodoma, Morogoro na pia Dar es salaa. karibuni kwa mchango wenu wana JF, nawakilisha

Kuanza maana yake nini????????

Hao dagaa anaweweka pilipili kwa nadhalia??????

Hajaanza kuuza ila bidhaa anayo hicho ndio nilichoelewa mimi, atatangazaje biashara hadi bei wakati hajui hata dagaa atapata wapi. nilichoelewa dagaa anaziandaa ila anatafuta soko.

NOTE: Usimjibie mtu anayefanya biashara, hujui mipango yake.[/QUOTE]

Kuwa Mtanzania ni laana ambayo mungu kaiweka
 
Salaam wakuu.
Nina mpango wa kuwa nasafirisha dagaa kutoka Bukoba kuleta Dar.
Mwenye information kuhusu soko la dagaa hapa mjini naomba anijuze, maeneo gani naweza kuuza hawa dagaa. Niko interested sana na hii biashara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom