Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

Mi naijua vizuri Sana Kwan ndo Business ambayo Mzee Wang na Kaka wanafanya na Mimi Ni supervisor WA Company ya brother Mimi niko Musoma .
 
Wanafanyia wapi mkuu. Musoma au dar?
Yello Masai Mura Hii Business unaweza kununua kutoka Musoma - soko la Musoma linaitwa Mwigobero ukaenda kuuza Dar , Mimi mi Mhitimu WA Chuo kikuu cha Mtakatifu Augostino - Mwanza Campus lakini kwa sasa nafanya kazi ya Kusimamia na kuhakiki upimaji WA Madumu ya Dagaa , mzee Wang Mimi ndo Biashara yake na Kaka angu ananunua mpaka Tani 300 Za Dagaa anapeleka Dar kwa Falcon - Tegeta , kwa Matinde kitunda , Kibaha kwa Mama Mkuza pale Mkuza Chicks Na masoko mengineyo hii Business inahitaji Sometimes Huge amounts of money Ndo hata profit inakua maximized ILA hata wenye mitaji midogo midogo wapo na wanafanya na wanapata faida kulinga na mitaji Yao , kumbka mungu Baba ndye mtoaji WA Riziki zote.
Pia sio lazima Tu utoe Musoma PIA unaweza kutoa sehemu nyingine kama visiwani ILA kwa upande WA Musoma na Kirumba mwaloni Mimi ndo mwenyeji zaidi
 
Bro mbona kama unakisilani,umetafuniwa mke leo?!
Tata kana mi siwezi kabisa kutafaniwa Ila mi ndo natafunia watu tena angalia hata Wako naweza tafuna kosa Tu nimjue.
Afu mi sehemu nilipo tunatafna wake za watu WA aina yako na kuwapiga ( nkutema nkutemile no mukhar wawe ntombire .) kaa makini.
 
Jamani biashara hyo iko poaa mi namsaidia my father kampuni DEKALINK lakini kabla hujaanza tafta rasilimal watu wakuchukua iko vizuri sio mbaya maana watu wanapenda.
 
Pole Sana , unaumwa na huo ugonjwa WA ujinga na umaskini WA Fikita utakua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom